Raghba Studio

Raghba Studio Raghba filmworks ni studio maalumu kwa multimedia na video za digitali . Kazi yetu ni kuleta ujumbe wako wowote katika screen ya kila aina.

Kazi yetu ni kuleta ujumbe wako juu ya screen yoyote na kila aina - Kuanzia matangazo katika runinga yako, filamu katika kumbi za sinema, video za mitandaoni na video za kufurahia na marafiki moja kwa moja katika simu yako- na mengine mangi. Raghba imeanzishwa mwaka 2014, na ofisi zetu zipo kinyerezi Dar es salaam. Raghba ina timu ya watu wenye ujuzi mbalimbali kuanzia watayarishaji, waongozaji wa

filamu, wapiga picha, wabunifu , waandishi na wahariri ambao, kimkakati, watabadili wazo lako na kuwa onyesho la kuvutia katika screen yoyote kulingana na hitaji lako, kwa wakati na uwezo wa bajeti yako. Tuna shauku ya kufikia kiwango bora iwezekanavyo kwenye ulimwengu wa runinga, kwa sababu tunafurahia kazi yetu, na tunatamani sana ukaribie katika ofisi zetu ili tuzungumze na kupanga namna gani tunaweza kukusaidia kuwafurahisha walengwa wako na wapenzi wa maonyesho ya video.

Address

Kinyerezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Raghba Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Raghba Studio:

Share