Manhaj Online TV

Manhaj Online TV ๐Ÿ’ธ Support Us via M-Pesa
๐Ÿ”ข Lipa Namba: 50211673
๐Ÿงพ Account Name: Manhaj

Support yako inatusaidia kuendelea kutengeneza maudhui bora ya Kiislamu na kijamii.

Kituo Bora cha Elimu sahihi.
๐Ÿ“บ Darsa | Khutba | Mihadhara | Makala | Semina n.k

๐Ÿ’ธ Support Us via M-Pesa
- Lipa Namba: 50211673
- Account Name: Manhaj Media Production

Jitahid kufanya matendo mema katika siku 10 za mwezi unaokaribia kuingia.
24/05/2025

Jitahid kufanya matendo mema katika siku 10 za mwezi unaokaribia kuingia.

๐Ÿ“น VIDEO MPYA: "ZIJUE SABABU KUU 5 ZENYE KUSABABISHA MAGONJWA! โ€“ HASADI NA UCHAWI VINAATHIRIJE MWILI WAKO?๐Ÿ’ฌ Tazama na utu...
24/05/2025

๐Ÿ“น VIDEO MPYA: "ZIJUE SABABU KUU 5 ZENYE KUSABABISHA MAGONJWA! โ€“ HASADI NA UCHAWI VINAATHIRIJE MWILI WAKO?

๐Ÿ’ฌ Tazama na utuandikie kwenye upande wa comment changamoto ya kiafya unayopitia na unahitaji ufumbuzi wake.

๐Ÿ“Œ TAZAMA HAPA: https://youtu.be/s4CtS2Pa72Q?si=h7_Yprr2E0_xvBK5

_____________________________

๐Ÿ”” Subscribe na Bonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata updates za video k**a hii na zingine nyingi!

Subira Tiba Asilia - Wanapatika Kariakoo mtaa wa Jangwani na Ndovu jirani kabisa na Masji Omar

24/05/2025

๐Ÿ”” TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA SHEIKH WETU ABUU ZUBEIDAH MAULID HAROUN (ALLAH AMUHIFADHI).

Mnaarifiwa kuwa:
Akaunti ya Telegram ya Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun imedukuliwa na watu wasiojulikana.

Kwa hivyo:

โš ๏ธ USIAMINI UJUMBE WOWOTE UNAOTUMWA KUPITIA TELEGRAM KWA JINA LAKE.
โš ๏ธ EPUKA KUFUATA MAELEKEZO YOYOTE UTAKAYOPEWA NA MDUKUZI HUYO.

๐Ÿ“ข SHIRIKI TAARIFA HII kwa wenzako ili kuepusha madhara!

โœ๐Ÿผ Abuu Iptysaam Issa Awadhi

_______________________________
๐Ÿ’กKwa faida zaidi za Kielimu kutoka kwa Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun ungana nasi katika channel ya Telegram kupitia kiunganishi hiki:

๐Ÿ•Œ KHUTBA YA IJUMAA: MASJID IRSHAAD ILALA - DSM.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TUILINDE AMANI YETU YA TANZANIA KWA NAMNA YOYOTE!Khutba hii inasisitiz...
23/05/2025

๐Ÿ•Œ KHUTBA YA IJUMAA: MASJID IRSHAAD ILALA - DSM.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TUILINDE AMANI YETU YA TANZANIA KWA NAMNA YOYOTE!

Khutba hii inasisitiza Uthibitisho wa Uislam kuhusu ulinzi wa amani na kukataza mbinu zote zinazopelekea machafuko, hasa katika wakati huu tulionao.

โœ”๏ธ Uislam umekataza njia zote za kuharibu amani โ€“ Kwa mujibu wa Qur'an na Sunnah.
โœ”๏ธ Mtawala hapewi nasaha hadharani โ€“ Adabu za kumpa mwenyewe ushauri kwa heshima.
โœ”๏ธ Waislam hatuna maandamano โ€“ Njia mbadala za kutoa malalamiko bila ghasia.

๐ŸŽ™ Mzungumzaji: Sheikh AbduRauf Kagimbo Al-Munawiy - Allah amuhifadhi.

๐Ÿ“ป Sikiliza kupitia kiunganishi hiki: https://youtu.be/eiMQ7pb0XMs
________________________________

๐Ÿ”” SUBSCRIBE kwa mafundisho zaidi ya Kiislamu.
๐Ÿ“ฒ SHARE kwa marafiki na jamaa zako ili ujumbe uenee.
๐Ÿ’ธ Support Us via M-Pesa
- Lipa Namba: 50211673
- Account Name: Manhaj Media Production

Ikulu Tanzania Ikulu Mawasiliano Samia Suluhu Hassan

Sheikh AbduRauf Kagimbo - Allah amuhifadhi

Jitahid kuyazidi nguvu matamanio ya moyo wako vinginevyo utapotea.
23/05/2025

Jitahid kuyazidi nguvu matamanio ya moyo wako vinginevyo utapotea.

Anza na jihadi ya nafsi yako hadi isimame sawa sawa
22/05/2025

Anza na jihadi ya nafsi yako hadi isimame sawa sawa

Usilipe ubaya kwa ubaya.
21/05/2025

Usilipe ubaya kwa ubaya.

๐Ÿท Mfuko wa Maendeleo wa Manhaj MediaNini Maana ya Mfuko huu?Mfuko wa Manhaj Media ni mpango maalum wa kusaidia na kuweze...
21/05/2025

๐Ÿท Mfuko wa Maendeleo wa Manhaj Media

Nini Maana ya Mfuko huu?
Mfuko wa Manhaj Media ni mpango maalum wa kusaidia na kuwezesha kazi ya Daโ€™wah kupitia uzalishaji wa maudhui ya Kiislamu kwa njia ya kisasa. Kupitia mfuko huu, tunahamasisha Waislamu kushiriki ili kusaidia kueneza elimu sahihi ya Dini kupitia teknolojia ya media.

๐ŸŽฏ Malengo ya Mfuko
Kuchangia gharama za uzalishaji wa vipindi vya elimu ya Kiislamu.

Kufanikisha usambazaji wa maudhui ya Dini kupitia YouTube, mitandao ya kijamii, na majukwaa mengine.

Kuendeleza na kuboresha studio na vifaa vya kisasa kwa ajili ya kazi ya Daโ€™wah.

๐ŸŒฑ Faida za Ushiriki
Unapata fursa ya kuwa sehemu ya Daโ€™wah na kusambaza elimu kwa maelfu ya Waislamu kwa njia ya media.

Unashiriki thawabu za kila Kheri na Elimu itakayofikishwa kupitia mchango wako. Na faida zingine nyingi...

๐Ÿค Ungana Nasi Leo

Daraja ya juu ya ukweli.
20/05/2025

Daraja ya juu ya ukweli.

๐Ÿ”ฅ MAKOSA MAKUBWA YA DR. SULE YA USOMAJI WA QUR'AAN | USOMAJI WAKO UNAUMIZA!Je! Huyu ni Sheikh na huo Usheikh ameutoa wap...
20/05/2025

๐Ÿ”ฅ MAKOSA MAKUBWA YA DR. SULE YA USOMAJI WA QUR'AAN | USOMAJI WAKO UNAUMIZA!

Je! Huyu ni Sheikh na huo Usheikh ameutoa wapi?

๐Ÿ“ป Bonyeza kiunganishi (link) hiki kusikiliza: https://youtu.be/tPiKODoc4ko

_________

๐Ÿ”” SUBSCRIBE kwa Elimu zaidi ya Dini!
๐Ÿ’ฌ COMMENT chini maoni yako

Jifunze au nyamaza - usiharibu! Usomaji wako unaumiza.

Address

Dar Es Salaam
NOT-APPLICABLE

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manhaj Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manhaj Online TV:

Share