News globally.

News globally. LIKE PAGE YETU KWA TAARIFA MBALIMBALI DUNIANI.

Subscribe chaneli yetu ili kupata burudani na muvi kali zikiwrmo za lufufu👇👇
01/11/2023

Subscribe chaneli yetu ili kupata burudani na muvi kali zikiwrmo za lufufu👇👇

Subscribe chaneli yetu kwa video za vichekesho, muvi za lufufu, sizoni, siasa na habari mbalimbali za michezo na burudani.

07/09/2023
07/09/2023
07/09/2023
07/09/2023
07/09/2023
Hivi ni submarine ya URUSİ, inuwezo wa kulipua nusu ya ulaya ndani ya dakika mbili tu. İnabeba mabomu 86 ya nuclear....🤣...
05/03/2022

Hivi ni submarine ya URUSİ, inuwezo wa kulipua nusu ya ulaya ndani ya dakika mbili tu. İnabeba mabomu 86 ya nuclear....🤣🤣

02/02/2022

Magari mawili aina ya Toyota Alphard mbili Zanzibar yenye namba Z141 LD na Z180LP yamegongana uso kwa uso barabara ya Pwani Mchangani kuelekea Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na kusababisha vifo vya Watu wawili ambao wote ni madereva wa magari hayo huku Abiria wawili wakijeruhiwa na sasa wanapatiwa matibabu Katika hospitali ya Kivungu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja Martin Otieno amesema inasemekana moja ya magari hayo likitokea Pwani mchangani lilikuwa linakwenda kufata Watalii Airport, Madereva wote wamefariki wakiwa wanapatiwa matibabu Hospitali, chanzo cha ajali ni mwendo kasi na kushindwa kuyamudu magari yao.

31/01/2022
31/01/2022
13/09/2021

"Kwa teuzi hizi za wanawake kila siku muda si mrefu nchi yetu itageuka kuwa saluni ya Mama kimbo😂😂😂😂"

04/09/2021
FURSA FURSA FURSA  Kuna maisha baada ya siasa. Leo nakuletea fursa kwa mtaji wa sh23000 unaweza kujiingizia hadi sh9000 ...
28/08/2021

FURSA FURSA FURSA
Kuna maisha baada ya siasa. Leo nakuletea fursa kwa mtaji wa sh23000 unaweza kujiingizia hadi sh9000 kwa siku kwa kutumia smartphone yako.
Ni rahisi sana weka namba yako ya whatsap hapo kwenye comments au nitumoe meseji kwenye whatsap ili nikupe maelekezo jinsi ya kujipatia fursa hii +255754617423.

Unasubiri nini wahi wenzio wanapiga pesa.

Kwako Mama samia, Tozo zimezidi saaaana mpaka zinakera hivi rasilimali za nchi yetu zinakazi gani???? Ni wazi kuwa nchi ...
19/08/2021

Kwako Mama samia,
Tozo zimezidi saaaana mpaka zinakera hivi rasilimali za nchi yetu zinakazi gani???? Ni wazi kuwa nchi imekushinda ng'atuka usione aibu alafu usitake hadi wananchi tukuondoe kwa maandamano.

Huku ndiko tunakoelekea, tutasimama na viongozi jasiri k**a Gwajima👇👇
29/07/2021

Huku ndiko tunakoelekea, tutasimama na viongozi jasiri k**a Gwajima👇👇

.JPM aliweza kununua ndege, akajenga barabara na madaraja ya kutosha kwa kutumia pesa za ndani bila kutuumiza wananchi.L...
19/07/2021

.JPM aliweza kununua ndege, akajenga barabara na madaraja ya kutosha kwa kutumia pesa za ndani bila kutuumiza wananchi.
Leo kaja huyu mwingine ambaye aliwarudisha wakwepa kodi kwenye system akidai kuwa uchumi utapanda chakushangaza leo hata pesa ya matumizi ya kawaida ya serikali ni shida.
Nchi inakopa kutoka Benki ya dunia kila kukicha alafu hakuna kinachoendelea hata miradi ya kimakakati ni k**a imesimama kiaina.

Wale wapinzani waliokua wanamsifia samia leo wanamkataa😂😂😂😂

👉 zamani watu waliamini mtu aliyevaa miwani ni msomi kumbe ,anamatatizo ya macho👉 Unawezaje kukopa zaidi ya trilioni moj...
06/06/2021

👉 zamani watu waliamini mtu aliyevaa miwani ni msomi kumbe ,anamatatizo ya macho

👉 Unawezaje kukopa zaidi ya trilioni moja kwaajili ya umeme tena wa mkoa mmoja badala ya kumalizia mradi wa Bwawa la nyerere????

Free sabaya🇹🇿🇹🇿

👉 sijawahi kuona rais wa hovyo kuwahi kutokea k**a huyu.👉 ndani ya miezi miwili tu tayari ameshakopa zaidi ya trilioni t...
06/06/2021

👉 sijawahi kuona rais wa hovyo kuwahi kutokea k**a huyu.

👉 ndani ya miezi miwili tu tayari ameshakopa zaidi ya trilioni tatu sijui mpaka2025 itakuwaje.

👉 Kutwa anapambana na corona ambayo haipo TZ wakati pesa zinapigwa huko wizara ya fedha.

👉 Ndomana vigogo walipambana uwe m/kiti wa CCM sivyo yangekukuta ya Abdu jumbe.

Free sabaya🇹🇿🇹🇿

Machozi yetu hayakwenda bure!!
27/05/2021

Machozi yetu hayakwenda bure!!

Kazi iendelee🤣🤣🤣🤣
25/05/2021

Kazi iendelee🤣🤣🤣🤣

👉 kipindi cha JPM account za mabwenyenye wakwepa kodi zilifungwa na makusanyo ya ndani yalipanda kati ya trilioni 1.7 ha...
23/05/2021

👉 kipindi cha JPM account za mabwenyenye wakwepa kodi zilifungwa na makusanyo ya ndani yalipanda kati ya trilioni 1.7 hadi 2.

👉 Leo hao wakwepa kodi account zao zimefunguliwa na wanakumbatiwa k**a vifaranga ila chakushangaza makusanyo ya kodi kwa mwezi yameshuka hadi bilioni 300. Wanaona hadi aibu kutoa takwimu.

👉 Nchi imeshamshinda kitambo tu kutwa kucha yupo bize na corona ambayo watanzania tulishaisahau kitambo sana.

👉 Tunasubiri wabunge waje majimboni kuna kitu tutawaambia, wazalendo hatutosubiri hadi 2025 na mbunge ambaye hatofanya tutakachomuelekeza hatorudi bungeni2025.

Katiba tu ilitubana ila hapa tumepigwa.Hafai hata kuwa rais wa TFF
23/05/2021

Katiba tu ilitubana ila hapa tumepigwa.

Hafai hata kuwa rais wa TFF

✍️ kitendo alichokifanya samia cha kuiondoa PF3 kabla ya kutibiwa ni kitendo hatari sana kwasababu anarasimisha ugaidi n...
22/05/2021

✍️ kitendo alichokifanya samia cha kuiondoa PF3 kabla ya kutibiwa ni kitendo hatari sana kwasababu anarasimisha ugaidi na hata magaidi wanaotoka nje ya nchi watakimbilia kutibiwa Tanzania.

✍️ PF3 ni muhimu kabla ya kumtibu mgonjwa kwasababu inawasaidia madaktari kupata details za mgonjwa lakini pia inawasaidia polisi kupata taarifa na ushhaidi pia ikitokea aliyeumia kashambuliwa.

✍️ Tunapoelekea ni hatari mno hii inadhihirisha kuwa rais anamambo mengi asiyoyajua katika swala zima la uongozi hasa wa nchi.

✍️ Naishauri serikali kuweka kitengo cha PF3 kila eneo lenye kituo cha afya ili kurahisisha mchakato na sio kuiondoa kabla ya matibabu.

✍️ Tuna rais ambaye hana la kupoteza kwasababu hana mkataba na wananchi.✍️ Kupitia chanjo ya corona ni dhahiri kuwa tuna...
18/05/2021

✍️ Tuna rais ambaye hana la kupoteza kwasababu hana mkataba na wananchi.

✍️ Kupitia chanjo ya corona ni dhahiri kuwa tunapigwa mnada.

✍️ Inabidi wazalendo tuchukue maamuzi magumu.

✍️ Rais wetu ni muoga sana hawezi kutufikisha nchi ya ahadi.

✍️ Nchi hii inahitaji rais mzalendo, mwenye maamuzi magumu, jasiri na mwenye hofu ya Mungu ili kufika nchi ya ahadi.

✍️ Jana k**ati imependekeza matumizi ya chanjo zilizothibitishwa na WHO kwakua hazina madhara. ✍️ Vipi kuhusu chanjo ya ...
18/05/2021

✍️ Jana k**ati imependekeza matumizi ya chanjo zilizothibitishwa na WHO kwakua hazina madhara.

✍️ Vipi kuhusu chanjo ya astra zeneca ambayo inasababisha damu kuganda ?? Haijathibitishwa na WHO??

✍️ Naiomba serikali ipambane kutatua matatizo ya wananchi k**a maji safi na salama, barabara, huduma za afya, kudhibiti mauaji ya albino ambayo yameanza tena tabora nk kuliko kuharibu pesa za uma kupqmbana na corona ambayo haipo Tanzania

✍️ Anna mughwira alizaliwa 30 january 1959 kwahiyo ana umri wa miaka 62 , katolewa kuwa RC kilimanjaro kwa kigezo cha ku...
16/05/2021

✍️ Anna mughwira alizaliwa 30 january 1959 kwahiyo ana umri wa miaka 62 , katolewa kuwa RC kilimanjaro kwa kigezo cha kustaafu.

✍️ Makongoro nyerere alizaliwa 29 january 1959 hivyo ana umri wa miaka 62, ameteuliwa kuwa RC mpya Manyara.

✍️ Hapa kuna tatizo kuna kamchezo kanakochezwa ila muda utaongea

✍️ uliunda tume ya kuchunguza corona, sawa.✍️ Umeunda tume ya kumchunguza sabaya, sawa.✍️ Tunataka uunde na tume ya kuch...
16/05/2021

✍️ uliunda tume ya kuchunguza corona, sawa.

✍️ Umeunda tume ya kumchunguza sabaya, sawa.

✍️ Tunataka uunde na tume ya kuchunguza kifo cha JPM, iweje baada ya kifo cha JPM ndo corona iache kuua watu TZ????

✍️ Mambo ya hovyo k**a haya ndo yalisababisha MSOGA akapigwa mawe mbeya.

✍️ Umeshatuudhi wazalendo kwa mambo ya ajabu unayofanya angalia nawewe tusikupulize mawe siku moja.

✍️ Umeshindwa hata kulijengea kaburi la hayati muda wote upo busy kupanga safu za upigaji alafu unaudanganya umati kuwa utaipeleka TZ mbali

MENE- MENE TEKELI NA PERESI

" Najua mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mema kwakua nimeyatoa sadaka maisha yangu kwasababu ya watanzania"Leo chanjo...
11/05/2021

" Najua mtanikumbuka si kwa mabaya bali kwa mema kwakua nimeyatoa sadaka maisha yangu kwasababu ya watanzania"

Leo chanjo ya corona ipo njiani muda wowote kuanzia sasa ndege zinatua zikiwa zimejaa chanjo.

Maisha yetu yanaangamia!!

Tangu samia alipoingia madarakani hakuna jipya ninaloliona zaidi ya kuiabudu coronakusaini mikataba ya hovyohovyosafari ...
10/05/2021

Tangu samia alipoingia madarakani hakuna jipya ninaloliona zaidi ya kuiabudu coronakusaini mikataba ya hovyohovyosafari zisizo na manufaa kwa taifamatumizi mabaya ya pesa, yani mtu ambaye anaishi maisha ya peponi hapa duniani anakabidhiwa gari la mil300 ambalo thamani yake ni sawa na kituo kimoja cha afya.

"SAMIA NI KIKWETE MWANAMKE"

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255754617423

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when News globally. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share


Other News & Media Websites in Dar es Salaam

Show All

You may also like