SokaWeb +255

SokaWeb +255 TU FOLLOW KUPATA HABARI ZA KIMICHEZO, UCHAMBUZI, NA BURUDANI

Kwa matangazo 0674427576 text/call
(10)

İPİ NI PICHA YAKO YA LEO KATI YA HİZİ WATAJE K**A UMEWAFAHAMU ❤️
12/12/2024

İPİ NI PICHA YAKO YA LEO KATI YA HİZİ

WATAJE K**A UMEWAFAHAMU

❤️

✍️NDUGU zangu Familia yangu mnaofuatilia ukurasa huu nasikitika kuwa admin wenu nitakuwa nje ya Mtandao kidogo sababu ya...
12/12/2024

✍️NDUGU zangu Familia yangu mnaofuatilia ukurasa huu nasikitika kuwa admin wenu nitakuwa nje ya Mtandao kidogo sababu ya changamoto zilizo nje ya uwezo wangu

😰Binadamu matatizo ni sehemu ya maisha yetu pia Mungu akijaalia ntarudi na kuendelea kutoa updates k**a kawaida ila kwa sasa sitakuwa hewani.

Msije kuona kimya ni hvyo ila TUOMBEANE ndugu zangu 🙏 maana maisha yana changamoto nyingi sana

✨UPDATES ✍️Rasmi Kiungo Mshambuliaji Deus Kaseke amejiunga na Klabu ya Pamba Jiji k**a Mchezaji huru.✍️Bado Kelvin Yonda...
12/12/2024

✨UPDATES

✍️Rasmi Kiungo Mshambuliaji Deus Kaseke amejiunga na Klabu ya Pamba Jiji k**a Mchezaji huru.

✍️Bado Kelvin Yondani sasa

✨STATS✍️Mshambuliaji wa Singida BS Elvis Rupia 🇰🇪 leo amefunga magoli mawili na kuisaidia kuikiibuka na ushindi 2–1 dhid...
12/12/2024

✨STATS

✍️Mshambuliaji wa Singida BS Elvis Rupia 🇰🇪 leo amefunga magoli mawili na kuisaidia kuikiibuka na ushindi 2–1 dhidi ya Dodoma FC.

✍️Rupia amefikisha jumla ya magoli saba (7) kwenye ligi kuu na ndio kinara wa kupachika magoli mpaka sasa akimshusha Selemani Mwalimu.

✍️Maelekezo kutoka kwa Hamisa Mobetto kwenda kwa Aziz Ki,Akimjibu kwenye comment kuwa asiseme chochote mpaka atakapofung...
12/12/2024

✍️Maelekezo kutoka kwa Hamisa Mobetto kwenda kwa Aziz Ki,Akimjibu kwenye comment kuwa asiseme chochote mpaka atakapofunga mabao na kuwapa alama 3 muhimu Wananchi.

Maelekezo kutoka kwa mrembo huyo yatafanya kazi kweli?

✨UPDATES✍️Mpaka sasa klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na baadhi ya wachezaji wao kipindi hichi cha dirisha dogo la ...
12/12/2024

✨UPDATES

✍️Mpaka sasa klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na baadhi ya wachezaji wao kipindi hichi cha dirisha dogo la usajili kupisha baadhi ya maingizo mapya kikosi.

✍️Taarifa zinaeleza kuwa Jean othos Baleke pamoja na Aziz Andabwile yatakuwa majina ya kwanza kufyekwa kwenye kikosi kutokana na kutofikia matarajio.

✍️Mpaka sasa Yanga washafanya usajili wa ingizo jipya kutoka Singida Black Stars Israeli Mwenda na za ndani ya klabu zinadai Singida wanahitaji huduma ya Baleke biashara inaweza ikafanyika dirisha dogo.

✍️Andambwile pamoja na Baleke hawajasafiri na timu huku Andambwile sababu kuu ni bado majeruhi na kwa upande wa Baleke bado mchezaji wa TP Mazembe kwhy kuna kipengele hawezi kucheza kwenye mechi hiyo ndio sababu kuu ya kuachwa Tanzania. Lkn hiyo bado haibadili kuachwa dirisha hili sababu hayupo kwenye mpango wa kocha Ramović.

🗨️ALIKAMWE ✍️"Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Shaban Kamwe ameweka wazi kuwa licha ya ubora walionao ...
12/12/2024

🗨️ALIKAMWE

✍️"Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ally Shaban Kamwe ameweka wazi kuwa licha ya ubora walionao TP Mazembe lakini wao wapo tayari kwenda kupata matokeo.

🗨️Hii mechi na TP Mazembe kwetu ni kufa au kupona, tutavuja jasho lote tuweze kurudi na matokeo mazuri. TP Mazembe wana timu nzuri tumeangalia mechi yao na MC Alger na Al Hilal wana kikosi kizuri na mechi hii pia kwao wanaitazama k**a kufa au kupona."

- Ali Kamwe, Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga.

🗨️Katumbi "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini u...
12/12/2024

🗨️Katumbi

"Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga."

🎙️Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe

✍️Gift Fred huu ndio ulikuwa wakati wake wa kutamba sasa.🤔Yanga badala ya kuhangaika na Lawi mwenye kesi na Simba huko T...
12/12/2024

✍️Gift Fred huu ndio ulikuwa wakati wake wa kutamba sasa.

🤔Yanga badala ya kuhangaika na Lawi mwenye kesi na Simba huko TFF wangerudisha tu chuma hiki kutoka Uganda

✍️Kwa sasa gift Fred anakipiga kwenye klabu ya kidus Giorgis ya Nchini Ethiopia

✍️Kama nimelewa vizuri kuondoka kwa Mwenda katika kikosi cha Singida BS kwao hawajapata pengo lolote kwa kuwa wamejitosh...
12/12/2024

✍️Kama nimelewa vizuri kuondoka kwa Mwenda katika kikosi cha Singida BS kwao hawajapata pengo lolote kwa kuwa wamejitosheleza.

✍️Ameandika Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya singida black star

✨UPDATES✍️BAADA ya tetesi kuibuka Yanga wanamhitaji beki wa Coastal Union Lameck Lawi,mabosi wa Simba wameamua kuifufua ...
12/12/2024

✨UPDATES

✍️BAADA ya tetesi kuibuka Yanga wanamhitaji beki wa Coastal Union Lameck Lawi,mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi dhidi ya mchezaji huyo TFF.

✍️Kitendo cha beki huyo kuhusishwa na Yanga kimewaamsha upya mabosi wa Msimbazi na kuamua kukimbilia TFF kuifufua kesi hiyo ambayo taarifa zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa leo Alhamisi.

Taarifa kutoka Gazeti la Mwanaspoti.

😂KIPINDI HICHO KABLA YA BOGA KUWA BAGIA🤔Hapo umemtambua nani na nani?
11/12/2024

😂KIPINDI HICHO KABLA YA BOGA KUWA BAGIA

🤔Hapo umemtambua nani na nani?

🤔GUESS WHO IS NEXT?KUTOKA KWA MDAU INBOX ANASEMA🗨️Kwa kua wanashida na viungo tutawapa Mzamiru aende nae ak**alizie pens...
11/12/2024

🤔GUESS WHO IS NEXT?

KUTOKA KWA MDAU INBOX ANASEMA

🗨️Kwa kua wanashida na viungo tutawapa Mzamiru aende nae ak**alizie pensheni yake sisi tunaona wengi"

🤔

🗨️AHMED “Tanzania kuna timu mbili , Kuna hii Simba Sports Club kisha kuna Simba B ambayo yenyewe kazi yake kusajili wach...
11/12/2024

🗨️AHMED

“Tanzania kuna timu mbili , Kuna hii Simba Sports Club kisha kuna Simba B ambayo yenyewe kazi yake kusajili wachezaji tuliowaacha ndiyo maana haishangazi kuiona hiyo Simba B inashika mkia katika kundi lake”

-AHMED ALLY,Msemaji wa Klabu Simba

✨UPDATES✍️Israel Patrick Mwenda Ameanza Mazoezi na Kikosi Cha Yanga Sc kinachojiandaa Kusafiri kwenda Congo 🇨🇩 Kuwakabil...
11/12/2024

✨UPDATES

✍️Israel Patrick Mwenda Ameanza Mazoezi na Kikosi Cha Yanga Sc kinachojiandaa Kusafiri kwenda Congo 🇨🇩 Kuwakabili TP Mazembe.

Mchezo huo utachezwa Siku ya Juma Mosi Saa 16:00 Jion.

✍️Pia taarifa zinaeleza rada za Yanga zimenasa watatu Singida Black Stars wa kwanza Israeli Mwenda na tayar rasmi ni mwananchi anaefuata ni kiungo.

✍️Baada ya Azizi Andabwile kutofikia Mahitaji Yanga wataongeza nguvu muda wowote kuanzia sasa Yanga watatambulisha chuma kingine nacho kinatoka Singida Black Stars ila nafasi ya kiungo.

✍️Kwa taarifa za awali ni Kelvin Nashon ndio yuko kwenye rada kwa sasa tuendelee kukaa hapa na tusubir taarifa rasmi kutoka klabuni.

MDAU DM 😂Kwa hichi kinachoendelea Yanga Sc unaweza kulala ukiamka Dube kampisha Par Omary Jobe
11/12/2024

MDAU DM 😂

Kwa hichi kinachoendelea Yanga Sc unaweza kulala ukiamka Dube kampisha Par Omary Jobe

✨UPDATES✍️Klabu ya Coastal Union imetangaza kuachana na winga wake wa mwendokasi Hernest Malonga Bryoki baada ya uhudumu...
11/12/2024

✨UPDATES

✍️Klabu ya Coastal Union imetangaza kuachana na winga wake wa mwendokasi Hernest Malonga Bryoki baada ya uhudumu wa miezi 4 pekee!

✍️Winga huyo amekuwa na mchango mkubwa kikosini humo akifahamika kwa matumizi mazuri ya mguu wa kushoto, kasi na maarifa makubwa!

✍️Lakini makubaliano yamefanyika na coastal union kufikia uamuzi wa kuachana na winga huyo

✨UPDATES✍️Kama nilivyo ripoti jana sasa rasmi Mwenda ametamhulshwa Jangwani baada ya Makubaliano ya pande zote mbili.Wan...
11/12/2024

✨UPDATES

✍️Kama nilivyo ripoti jana sasa rasmi Mwenda ametamhulshwa Jangwani baada ya Makubaliano ya pande zote mbili.

Wananchi mna maoni gani na huu usajili?

Address

Chalinze

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokaWeb +255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Nearby media companies


Other News & Media Websites in Chalinze

Show All