30/09/2023
ZA NDANI News
🚨 Tafadhali naomba like yako ili kutupa nguvu 🙏🙏🙏
Msanii Sapologuano Odenumz Vevo baada yaku claim wimbo wa Belami Muka ft Mr Gave ameshambuliwa na baadhi ya watu na media kuwa hawaelewi kisa kilicho mfanya ashushe wimbo wa wasanii wenzake.
kupitia page yake ameandika haya:
" Nasikia informations nyingi sanaaa kwenye page kazaa kazaa, watu wana niandikia message WhatsApp, page na kazalika
Sapologuano Odenumz yakutumba ajafuta wimbo wowote ule wa musani wa nyumbani Uvira, management SAPO GANG MUSIC ndo wausika wa jambo ilo, wanajuwa Nini tatizo, acheni ku ongea musicho kijuwaa ndugu zangu, kila Siku nawa ambiaga jifunzenu kupasha habari k**a media zingine tofauti tofauti, Tanzanie, Kenya, Burundi... sio ku anza ku ropoka ropoka ili kupotosha shabiki informations za uongo, tafuteni wausika upande wote mbili wasikilizeni afu toeni habari sahii, sijapenda 🙏🙏" .
Baada yakuongea hayo, kabisa Odenumz amesema kuwa wimbo huo wa wametumia Melody ya wimbo wake LOVE ambao siku za nyuma, hata Wimbo wa Jux ft D.platnumz ali ushtaki pia kwaku chukuwa melody yake.
kupitia Medias za nyumbani, msanii ambae wimbo wake ulifutwa YouTube, amesema ameumizwa sana na hicho kitu na hawezi kumtafuta ODENUMZ yote ana muachia Mungu.
AMBAYO HUJUWI: Ngoma hizi mbili zimetengenezwa na Producer m'moja, Works pro PAPA J , na mwenyewe Haja kubaliana na alicho kisema Odenumz. je! ikiwa Aliye tengeneza ngoma hizi amekanusha kukopiwa kwa melody unahisi kuna ukweli wa odenumz ku kopiwa?
wewe mdau ili jambo umelichukuliaje?✍✍✍✍✍
.