02/07/2024
Sisi ndio the future by Fari athman open verse by Lagodo Ke
Recording / Mixing & Mastering
Located At Bamburi/Palestina/Old Malindi
Mombasa Kenya
(1)
Sisi ndio the future by Fari athman open verse by Lagodo Ke
Are you ready for Skb Rap Battle Final.? Will Happen 22nd of june at who will be a winner?
**abiashara
Don't miss this friday inside and will be performing
Are You Ready For Skb Rap Battle Semi Final?
Will Happen This Friday 31st May At Bamburi **abiashara
Siku ni Friday date 24th may ndani ya fika mapema usisubiri kusimuliwa Listening Party
Bila kukosa hii ni kubwa zaidi kutoka pwani ya kenya na afrika mashariki yote anakukaribisha wewe na jirani yako kwenye huu uzinduzi wa Third Eye Album unaambiwa mawe yaliyomo kwenye hii album hakuna wakuikomboa maana jiwe moja nisawa na ngoma zao kumi sasa kazi iko hapa anaebisha alete vigezo Listening Party ndani ya Bamburi barabara ya Vescon Estate tarehe ni 24 mwezi huu yani wiki ijayo siku ya ijumaa milango itakuwa wazi kwaajili yako burudani bila kifani
Leo pre audition level imekua vyema na marapper wamejitokeza kwa wingi kutoka maeneo tofauti ya pwani na waliofuzu na kupita ni 30 .So kesho kwanzia saa nane mchana tunaanza round one ili tuweze kubaki na walio bora zaidi.
Karibu ujiunge nasi at Alliance Française, Nyali saa nane mchana ili kushuhudia your favourite rappers .
Free Entry !
Don’t miss out! Usikose!
**aBiashara
Fomu ndio hii hapa kwa wale marapa wa swahili rap tupatane ijumaa hii ya tarehe 10 may pale nyali kuanzia saa tatu asubuhi fika mapema njoo uonyeshe uwezo wako na uondoke na mkwanja mrefu season one
Hapa ndipo Third Eye Album kutoka kwa msanii Echo 254 itakua inapatikana muda sio mrefu kuanzia sasa👇 kubwamusic.com
Check brand new tune by ft is out now on YouTube check link on his bio
Mombasa ara you ready? This time sanaa k**a biashara inakuletea mashindano ya rap Rap Battle. Tupatane on 10th of May for auditions make sure umeregister tumia registration link 👇
https://forms.gle/n3Nc6GG3sugNGAH68
Fill the form to REGISTER. https://forms.gle/n3Nc6GG3sugNGAH68
Follow us on Instagram : https://www.instagram.com/sanaak**abiashara?igsh=OHVjNzNqaWh1MHZh&utm_source=qr
Rap Battle should be 70% Swahili
Kubwa Studios Artist MasterClass Starting Soon Welcome All
It all starts with you k**a msaani to believe in yourself. Kubwa studios kenya its available for you with good sound, Mastering and team work as you can see from our legendary Marioo all the way from (TZ) to Kubwa Studios Home of hits Mombasa. Now we are open 24 hours. K**a msaani mtu asikuambie uwezi because kubwa studios got you the best iconic producers. Book your recording session now. Hatari sana🔥.
Unataka kutumiza ndoto yako ya muziki?
Basi Kubwa Studios ndio solution book session yako sasa kupitia namba za simu 0700676626 Tunapatikana Bamburi Palestina
Tbt: Unajua nani hapa
Watangoja
Jimbi village album focuses on K.O Kenya upbringing story. The album is a dedication to all mothers from the Swahili Speaking nations for being firm in rai...
Wanangu leo ndio ile siku kwa mara ya kwanza Echo 254 ameandaa show yake mwenyewe ndani ya Sun 'n' Shine. Msumarini entry kwa regular Ksh.200 na V.I.P Ksh.500 pamoja na free beer unakosaje kwa mfano ambia wenzako
This Saturday 2nd December Echo 254 will be performing at 'n' Kikambala msumarini this is the first performing as one man army don't miss this kijana ni mnoma sana
Form ya satoo ndio hiyo date 25th November ndani ya Turkey Base Kiembeni Bamburi vijana wa ubaya watafanya yao siku hiyo wakiongozwa na Mc Magwaya Ndani hii sio ya kukosa sherehe la kukata na shoka mark the date
Watu wote leo mnakaribishwa kwenye hili tamasha la Candle Light linafanyika leo 11th November pale Big Tree Bamburi watu wa kutoka Mombasa Big Tree iko maeneo ya Bora bora mbele kidogo ya Pirates Beach. Watu wakutoka Kilifi Big Tree iko hapo maeneo ya Bamburi Police Station Bora Bora muda ni 5:pm to 9:pm Wote Mnakaribishwa
Ally B, You may not be here with us today but your spirit lives on, The candles 🕯️ we light means your memories will forever glow..Let us come together This Saturday 11 Nov at The New Big Tree Mombasa to celebrate a life well lived, Shine On SuperStar💫
Brand new banger from our boy Echo 254 now available on boomplay stream worldwide
https://www.boomplay.com/share/music/145042472
Boomplay focuses on African and international music, you can stream and download Waje.
Brand new tune by Echo 254 now is out in all digital platforms stream now worldwide
Eti nilisikia wakisema, Ooh watu wa pwani hawa support vya kwao hebu angalia kijana Echo 254 anavyo kusanya mtaa kwa mtaa asilimia kubwa ni wa kwao hapa hapa pwani
dropping tomorrow
Stream Music From Echo 254
View echo_254’s Linktree. Listen to their music on YouTube, Spotify, Apple Music here.
Watch brand new video from Echo 254
https://youtu.be/dJ79fwEUl_Q?si=9ZtoImYNAXSg8HaE
Download Plus 254 Ep as your skiza tune
From Echo 254
Kubwastudios001@gmail. Com
Mombasa
80100
Be the first to know and let us send you an email when Kubwa Studios Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Send a message to Kubwa Studios Kenya:
Brand new music #Nijikaze by Pendo Morian now available in all digital platforms #kenyanmusic #trendingmusic #fyp #fbpost
It all starts with you kama msaani to believe in yourself. Kubwa studios kenya its available for you with good sound, Mastering and team work as you can see from our legendary Marioo all the way from (TZ) to Kubwa Studios Home of hits Mombasa. Now we are open 24 hours. Kama msaani mtu asikuambie uwezi because kubwa studios got you the best iconic producers. Book your recording session now. Hatari sana🔥. #kubwastudios #entertainment #kenyamusic #tanzania #fbreels #recording #mombasa #fyp #homeofhits #artists #eastafrican #fbpost #fbreelsvideo #nairobi
Unataka kutumiza ndoto yako ya muziki? Basi Kubwa Studios ndio solution book session yako sasa kupitia namba za simu 0700676626 Tunapatikana Bamburi Palestina #Kubwastudios #HomeOfHits #Mombasa
Eti nilisikia wakisema, Ooh watu wa pwani hawa support vya kwao hebu angalia kijana Echo 254 anavyo kusanya mtaa kwa mtaa asilimia kubwa ni wa kwao hapa hapa pwani #NewVideo dropping tomorrow
Watch brand new video from Echo 254 https://youtu.be/dJ79fwEUl_Q?si=9ZtoImYNAXSg8HaE
Mziki mnene tayari ushaingia sokoni chakufanya unyesha support yako pale YouTube ya kijana angalia video weka like yako na kama hauja subscribe fanya hivyo mara hio link ndio hiyo https://youtu.be/xOjt0Dh9C9I?si=opZM160yHcx8iHlA
Haya sawa tushaambiwa kuna marafiki wanafiki sijui ni kina nani wacha tusubiri Ep #Plus254Ep dropping Thursday #Kubwastudios
Brand new video #Ahadi by @brigadier_shiloh_kenya now is out https://youtu.be/MKwIdHCS4E8
Brand new video #AfricanWoman by @larotaafrica now is out on YouTube check link on her bio 🔥🔥 #KubwaStudios #HomeOfHits #Mombasa
Brand new Video #ihale by Echo 254 ft Mikkah Dlly now is out https://youtu.be/tQ3CUi2uyIY #kubwaStudios #HomeOfHits #Mombasa
#Ihalechallenge tap this link 👇 https://youtu.be/ROYZ3f_IgWQ
Brand new tune #IHALE by Echo 254 ft Mikkah Dlly https://youtu.be/ROYZ3f_IgWQ
New Artist Daudi Lively ft Titia Tola nwe tune #No_One now out on YouTube 🔥🔥🔥🔥 https://youtu.be/JmmcameF6Vs #KubwaStudios #HitsOnly #Teknixx & #Daudi on this