NURU RADIO

NURU RADIO GET BREAKING NEWS, ENTERTAINMENT, PRODUCTION AND ADVERTISEMENT , COVERAGE AND INTERVIEWS . FOLLOW US.
(2)

19/07/2024

JUMMA MUBARAK

19/07/2024

Big shout out to my newest top fans! Hanboy KE

15/07/2024

Bei ya mafuta ya Petroli kupungua kwa Ksh.1 kwa lita, Dizeli kwa Ksh.1.50 kwa lita, na Mafuta ya Taa kwa Ksh.1.30 kwa lita.

Ndio!!! Chaguo la wengi πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ NURU TEAM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
14/07/2024

Ndio!!! Chaguo la wengi πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
NURU TEAM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

11/07/2024

Baraza la mawaziri lavunjiliwa mbali huku waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi akiponea shoka hilo.

10/07/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Hanboy KE, Martin KE, Zuma Bezuma

10/07/2024

Katika kipindi cha tunauliza....

Je unakubaliana na hatua zinazochukuliwa na vuguvugu la gen z kutafuta haki na uwazi uongozini???

Sema nasi studioni...

10/07/2024

*Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh*

Hadithi inatusisitiza kuisoma na kuifuata Quran ili tujinasibishe kuwa tu wa Allah.

Imepokelewa kutoka kwa Anas bin Maalik (رآي Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ†Ω‡) kwamba Rasuli wa Allaah (ο·Ί) amesema:
*Allaah Anao watu wake kati ya wanaadam.* Wakamuuliza: Ee Rasuli wa Allaah ni nani hao? Akasema: *Hao ni watu wa Qur-aan na ni watu wa Allaah na wateule Wake* [Ahmad, Ibn Maajah]

Allah kwa rehma zake atuwezeshe kujifunza,kuisoma (kuisoma quran ni kujua ujumbe uliopo, tuisome tafsiri yake) na kutekeleza maamrisho yake

*Aamyn*

10/07/2024

Awamu ya tano ya upasuaji wa miili iliyofukuliwa eneo la Shakahola imeanza rasmi hii leo katika makafani ya hospitali kuu ya mji wa Malindi huku jumla ya miili 6 ikifanyiwa upasuaji.

Kulingana na mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor, miili hiyo ni kati ya 24 iliyofukuliwa katika awamu ya tano ya ufukuzi wa miili katika msitu wa Shakahola.

06/07/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Kevin Leshan, Mercy Cheptoo, Kenix Quizo, P Mixon Tyler

06/07/2024

Kipindi hewani

06/07/2024

Umejipanga vipi kuadhimisha siku ya Kiswahili duniani??

06/07/2024

Kiswahili kitukuzwe

06/07/2024

The Almighty puts different people in our lives for different reasons. No one is there by accident. Learn to identify the people He has placed in your life and be sensitive to the purpose they serve. Some won’t stay long. There is a time, place and purpose for everything.‬

04/07/2024

Aliye juu wewe mfuate huko juu.. ukimngoja chini connection zitatoka wapi πŸ˜…πŸ’.

Address

Old Town
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NURU RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Nearby media companies