Kut Digital update.co.ke

Kut Digital update.co.ke Business center, politics news, Music updates and talents promotion.

27/10/2022

Mdau: Harmonize ni mpambanaji na mfano wa kuigwa

Tangu kutoka katika rekodi lebo ambayo ilikuwa inamsimamia Harmonize amekuwa akiangaliwa ni sehemu gani atafika katika muziki wake.

Wengi walimtupia macho na kuamini huenda ataishia njiani au atashuka kimuziki baada ya kuanza kufanya kazi mwenyewe.

Harmonize wa 'Uno' mpaka wa 'Leave Me Alone' amekuwa na mapito mengi ya kuhakikisha anaisimamisha vilivyo brandi yake katika muziki.

Kazi baada ya kazi ndio kitu pekee ambacho kimeweza kumsimamisha Harmonize mpaka kufikia alipo sasa.

Na kwa mujibu wa mtandao wa 'Google Trends' Harmonize ni mmoja wa wasanii nchini Tanzania anayefuatiliwa zaidi.

Kwa kuonyesha kuwa ni mpambanaji halisi kwa kipindi cha miaka miwili ametoa album mbili na yupo mbioni kutoa album ya tatu.

Album ya kwanza 'Afro East' aliitoa mwezi march 2020 album ya pili 'High School' aliiachia Novemba 2021, na album ya tatu 'Made for Us' ametangaza kuitoa rasmi Oktoba 28.

Album tatu kwa miaka mitatu katika muziki wa Bongo fleva sio kazi ndogo na inahitaji maandalizi makubwa huenda akawa ndiye msanii pekee aliyetoa album tatu mfululizo.

Rais William Ruto in Uganda.
08/10/2022

Rais William Ruto in Uganda.

04/10/2022

Star Wa Muziki Nchini 🇹🇿 Hataki Kulaza Damu 🙌, Baada Ya Ft 🇳🇬 Sasa Ametangaza Kuachia Ngoma Nyingine Kesho Jumanne, Inaitwa "KWIKWI"

Kupitia Ukurasa wake Wa Twitter na Instagram Amethibitisha Hilo Kwa Kuachia Kionjo Cha Ngoma Yake Hiyo Mpya

"KWIKWI INATOKA KESHO WEKA ALARM 🚨 GET READY TO DANCE 💃" - Zuchu

JE, Upo Tayari ?

Swipe left ⬅️⬅️⬅️

Cc.✍:

tv

10/08/2022

Upper Hill School, Kibra’s tallying centre: Presiding officers from different polling stations are raising questions with authorities and returning officer on the matter of how long they’ve taken to give back the balloting material

11/05/2022
How come out of 20 teams ni timu moja pekee ndio imecheza 36 games?? Na hizi 36 games MAN UNITED ilicheza when??Mbona FA...
08/05/2022

How come out of 20 teams ni timu moja pekee ndio imecheza 36 games?? Na hizi 36 games MAN UNITED ilicheza when??
Mbona FA iko hivi

Briton 4-0 man u
08/05/2022

Briton 4-0 man u

Address

Matisi Road
Bungoma
MATISI

Telephone

+254768842138

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kut Digital update.co.ke posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kut Digital update.co.ke:

Share