Western Digital updates

Western Digital updates Entertainment news|Breaking news|Gossips | and Artist Management. Western Kenya and beyond follow us.

 Pigo Kwa Rais Ruto Mahak**a ikifutilia mbali kodi ya nyumba za bei nafuu, ni uamuzi uliotolewa na majaji; Mwaniki Gacho...
26/01/2024



Pigo Kwa Rais Ruto Mahak**a ikifutilia mbali kodi ya nyumba za bei nafuu, ni uamuzi uliotolewa na majaji; Mwaniki Gachoka, Lydia achode na John mativo

25/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Aggrey Makokha, Snr Tonnie, Sõspêtër Wëkhãnyâ, Ayee Baba Mtoto Wanyumbani, Michael Barasa, Kevin Waliaula, Jibril Infinity, Kagosh Adah, Evansy Shavanga, Oscar Juma, Johnathan Mukhongo, Jacob Barasa, Limo KE Robert, Upendo Yobra, Musundi Okumu, Reuben Wanyonyi, Oponyo Mwene, Jagan Pawaniah, Allan Walker, Daniel Barasa, Dismas Wanjala Musamia, Thomas Simiyu, Mimi K**a, Mwani Junior

25/01/2024

Watu wa wili wamefariki Baada ya kuta kuporomoka eneo la kuchimbia Migodi pale Ivole , Kakamega County


Matata 24 Niangushe Ngoma gani next
25/01/2024

Matata 24 Niangushe Ngoma gani next

Matata 24 hata nifike kiwango cha kuitwa Simba siwezi kusahau nilikotoka. CF music ni Nyumbani nimezaliwa na ndugu zangu...
23/01/2024

Matata 24 hata nifike kiwango cha kuitwa Simba siwezi kusahau nilikotoka. CF music ni Nyumbani nimezaliwa na ndugu zangu Choffuri na Sokoto 039 wamechangia Sana katika Safari yangu ya kipaji. My God bless them so much. Kwa sasa DAWA MUSIC ni kwa mamangu Mdogo na ameonyesha upendo mkubwa sana, sijakaa kimya Mimi, I have big plans for you my Western people. Kwa hivyo mtoto Nyumbani anavyokuwa hupewa nafasi ya kusaka riziki ili kukidhi mahitaji yake na kuwapa mkono familia yake. Nimepata nafasi kubwa Sana sitaki niseme uongo, Mungu ndio mpaji na kila tunachofanya Mungu Kwanza. Sweetie wa Mayii ni wimbo unazidi kupokelewa. Thanks much.

 Kinara wa Muungano wa AZIMIO Mheshimiwa Raila Amollo Odinga amepuuza madai kuwa Muungano huo unayumba,Aidha Odinga ames...
23/01/2024


Kinara wa Muungano wa AZIMIO Mheshimiwa Raila Amollo Odinga amepuuza madai kuwa Muungano huo unayumba,Aidha Odinga amesisiriza kuwa Nyumba ya AZIMIO iko imara,Odinga amesema hayo akiwa katika Kaunti ya TanaRiver akipigia upato chama cha ODM

23/01/2024


Mwanamme aliye na mazoea ya kulala katika chumba cha mwanadada, Maisha yake huwa mafupi sana

23/01/2024

Lisemwalo lipo na k**a halipo laja.

22/01/2024

Leo tumerauka Kabla Jogoo. Maana tunawapenda sana

19/01/2024

Beautiful day Kenyans, We welcome you to like and follow our page for great news

18/01/2024

Walimu 17 wamepewa uhamisho na tume ya TSC, hawa, ni walimu kutoka shule ya upili ya usongo, Mumias. Hii ni kwa sababu ya matokeo duni ya kcse ambapo walifurushwa na wakaazi wa eneo Hilo.

18/01/2024

Diana Marua ni first female Artist in Kenya kufikisha one million subscribers kwenye chaneli yake ya mtandao wa YouTube

18/01/2024

Diamond platinums announces that He is taken already. After a breakup with Zuchu whom they dated 3 years ago.

18/01/2024

Jacinta Odhiambo, miaka 22 amek**atwa kwa kudanganya Umma kwamba yeye ni polisi na sasa Yuko Busia law court.

18/01/2024

Kuna Ksh. 5000 za bure za akina mama wajawazito. Get married, get pregnant and get that amount for free. K**a hamasisho la watu kuzaana

Mimi k**a yowana napii, niliwacha kutafuta help from wakanga, sasa Niko na YESU wa Tongaren tunapiga injili kweli kweli
17/01/2024

Mimi k**a yowana napii, niliwacha kutafuta help from wakanga, sasa Niko na YESU wa Tongaren tunapiga injili kweli kweli

17/01/2024

Baba wetu wa county, Bungoma.bans pregnant girls from going to school.
Follow us for more news

17/01/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Peter Simiyu, Beatrice Chelangat, Alexy Wekesa, Lish Atiaro, Simon Kwanusu, Masinde Junior, Elizabeth Toili, Marabi Stessy Stephen, Michael Ramoz Ramon, Kevin Wabwile, Stallon Sterling De Best, Dan Kokonya, Purity Kemboi, Diana Nafula, Norman Mwashetani, Steve Stevostyz, Dorcas Kisaka, Man Paulo, Norine Okiya, Devis Soita, Charles Karakacha, Brayo Braz, Wanyonyi Edigar, Robert Wakhungu Wanyonyi Mania, Benson Musumba, Henry Biko

LADY G KE. naweza Fanya collabo na Shusho?
16/01/2024

LADY G KE. naweza Fanya collabo na Shusho?

KRG NI VIDEO V***N sio musician. Stivo says
16/01/2024

KRG NI VIDEO V***N sio musician. Stivo says

KRG angekuwa mwana mziki ningefanya nae collabo big sana. Atakuwa video v***n Kwa my next music video. Yeye ni Modo Tu. ...
16/01/2024

KRG angekuwa mwana mziki ningefanya nae collabo big sana. Atakuwa video v***n Kwa my next music video. Yeye ni Modo Tu. Stevo simple boy ameongea kwa kusisitiza ili awape uwazi mashabiki wake

Happy birthday Sokoto 039
16/01/2024

Happy birthday Sokoto 039

16/01/2024

Wakulima kutoka Bungoma wameonyesha furaha Kubwa Sana hivi punde Tu Bei mpya ya kilo ya kahawa kutolewa na sasa, ni 80kes

16/01/2024

Leo stivo simple Boy, amekutana na Babu owino. Je atasaidika Vipi ?

Follow us upate Burudani kibao
15/01/2024

Follow us upate Burudani kibao

Have a good evening. Tomorrow is very important. Mungu mwema, We love you so much and expect more from us. That is Enter...
14/01/2024

Have a good evening. Tomorrow is very important. Mungu mwema, We love you so much and expect more from us. That is Entertainment news, Gossips, Celebrity news, Cultural values.

Aban bazenga , best comedian K*toka Webuye ametusimulia haya. Flylink comedians tunataka  collabo Na Sokoto 039 bt lazim...
13/01/2024

Aban bazenga , best comedian K*toka Webuye ametusimulia haya. Flylink comedians tunataka collabo Na Sokoto 039 bt lazima Bungoma comedians tushirikiane" ameelezea mengi zaidi kwa one on one quiz Interview. Let's support them

25/03/2022

Sanitizer minister reveals his main reason why he shaved his signature dreadlocks. "My friend gave me one million to cut down".

02/01/2022

Wasanii wa Bungoma, wako very cheap sana. Unaenda aje Tu upige show alafu upewe pombe, 500/= na wasichana surely!! Bungoma music industry Grow up.

Address

BUNGOMA
Bungoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Western Digital updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share



You may also like