Iboston Mweta-fils

Iboston Mweta-fils Iboston Mweta, jeune Journaliste originaire de la RDC

Kocha mpya wa Manchester United Erik Ten Hag amemteuwa tena Harry Magwaya kuwa nahoza wa club hiyo licha ya uvumi uliiza...
11/07/2022

Kocha mpya wa Manchester United Erik Ten Hag amemteuwa tena Harry Magwaya kuwa nahoza wa club hiyo licha ya uvumi uliizagaa kuwa nyota huyo raia wa Uingereza hatoendelea kuwa nahoza wa Man U

👏🏼 Rihanna sasa ndiye mwanamke mwenye umri mdogo zaidi kujitengenezea kuwa bilionea nchini Marekani akiwa na utajiri wa ...
07/07/2022

👏🏼 Rihanna sasa ndiye mwanamke mwenye umri mdogo zaidi kujitengenezea kuwa bilionea nchini Marekani akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.4!

Share ans like kwa kutusapoti

BORIS JOHNSON AKALIA KUTI KAVUWaziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anafanya kila awezalo ili abakie madarakani kufuati...
07/07/2022

BORIS JOHNSON AKALIA KUTI KAVU

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anafanya kila awezalo ili abakie madarakani kufuatia wimbi kubwa la Mawaziri wa serikali yake kujiuzulu wakipinga uongozi wake.

Kansela mpya Nadhim Zahawi amehimiza umoja baada ya mtangulizi wake, katibu wa afya, na mawaziri wadogo kadhaa kujiuzulu.

Uwaziri mkuu wa Bw Johnson umeingia kwenye mzozo kufuatia kujiuzulu kwa Kansela Rishi Sunak na Katibu wa Afya Sajid Javid.

Viongozi hao wamekuwa wakijiuzulu kila baada ya dakika chache siku ya Jumanne kufuatia mzozo kuhusu uamuzi wa Bw Johnson kumteua Chris Pincher kuwa Mnadhimu mkuu mapema mwaka huu.

Mawaziri wa elimu Will Quince na Robin Walker, Waziri wa Sheria Victoria Atkins, Waziri wa Hazina John Glen, na wasaidizi wa Mawaziri Laura Trott na Felicity Buchan wote nao wametoka katika serikali yake.

Bw Johnson amekiri kuwa amefanya kosa kubwa kumteua Bw Pincher, licha ya kufahamu madai ya utovu wa nidhamu dhidi yake

share and like kwa kutupatia sapoti

SHEREHE ZA KUMUENZI LUMUMBA ZAFANYIKA KIJIJINI KWAOHeshima rasmi ziliandaliwa mnamo Alhamisi, Juni 23, 2022 huko Lumumba...
24/06/2022

SHEREHE ZA KUMUENZI LUMUMBA ZAFANYIKA KIJIJINI KWAO

Heshima rasmi ziliandaliwa mnamo Alhamisi, Juni 23, 2022 huko Lumumbaville, kijiji cha Patrice Emery Lumumba kilichobadilishwa jina kwa jina lake.

Siku hii ya pili ya mazishi ya Waziri Mkuu wa kwanza kabisa wa DRC ilianza kwa misa iliyosomwa katika parokia ya Sainte Marie de Tshumbe huko Sankuru.

Baada ya misa hiyo, machifu wa kimila waliokuwa wakizunguka jeneza lililokuwa na masalia ya Lumumba, waliandaa sherehe kadhaa za kimila kwa mdundo wa ngoma za tam-tams na tetela, lugha ya asili ya mtu aliyepigania uhuru wa DRC.

Kwa mujibu wa kitengo cha mawasiliano cha Ofisi ya Rais, mwakilishi huyo wa mamlaka za kimila alimtaka Mkuu wa nchi kumteua mtoto mmoja wa Lumumba serikalini ili kuenzi kumbukumbu ya aliyefariki kwa “maslahi ya nchi”.

Heshima za kitaaluma zilizotolewa na maprofesa wa vyuo vikuu vya Sankuru. Kwa hivyo, diploma kadhaa za sifa zilizotolewa kwa mtawalia kwa Rais wa Jamhuri, Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, kwa Rais wa Bunge la Kitaifa Christophe Mboso na mwenzake kutoka Seneti Modeste Bahati, kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde, pia zilitolewa. kwenye miadi

FERRE GOLA KIFUNGO JELA KWA SIKU 45Baada ya kusimamishwa kizimbani Juzi Tarehe 07-06-2022,Msanii Mwanamuziki "FERRE GOLA...
10/06/2022

FERRE GOLA KIFUNGO JELA KWA SIKU 45
Baada ya kusimamishwa kizimbani Juzi Tarehe 07-06-2022,
Msanii Mwanamuziki "FERRE GOLA" kakiri kosa lake.
Hivyo kupelekea Majaji wamuhukumu kifungo cha siku 45
Gerezani.
Mkasa wa "FERRE GOLA" ukoje?
Taarifa k**a zilivyo nifikia nikwamba.
"FERRE GOLA" akiwa Hotelini Jijini Paris, kaona kapotelewa na
hela, Euros 1000 k**a milioni 2.3 pesa za DRC.
Baada ya uchunguzi ikaja gundulika kwamba ni Mtoto wake
jina kapuni ndo aliezichukua yaani kaiba.
Kwa hasira za Baba kutaka kumuadibisha Mwanae,
akambamiza vibao hadi kumjeruhi.
Tatizo nikwamba Ulaya Mwanamke na Mtoto ni Wafalme yaani
usithubutu kuwagusa.
Ndivyo bila kuchelewa Mtoto wake kamfungulia mash*taka
kwakosa la Unyanyasaji.
Kwa leo hii "FERRE GOLA" yupo Jela maarufu Jijini Paris la
"Fleury-Mérogis" ambako atakaa kwa Siku 36.
Kwanini siku 36 Jela pahali pa 45 jela?
Kwakua "FERRE GOLA" kabla ya hukumu kutolewa kawekwa
mahabusu kwa Siku 9.

RASMINyota wa zamani wa Italia na club ya Ac Milan, Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa club ya Valence ya nchini U...
09/06/2022

RASMI

Nyota wa zamani wa Italia na club ya Ac Milan, Gennaro Gattuso ameteuliwa kuwa kocha wa club ya Valence ya nchini Uispania

Like na share ili kutupa moyo wa kuendelea kukuletea habari zaidi

Trent Alexander-Arnold amekosolewa vikali kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoimba wimbo wa 'God Save The Queen', wimbo w...
05/06/2022

Trent Alexander-Arnold amekosolewa vikali kwenye mitandao ya kijamii kwa kutoimba wimbo wa 'God Save The Queen', wimbo wa taifa wa Uingereza, kabla ya mchezo dhidi ya Hungary. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Sapoti yako kwa ku like na kushikirisha marafiki zako ku like page hii ndio sapoti yako kubwa kwangu

Nyota wa Club ya Barcelona na timu ya taifa ya Uispania Gérard Piqué na mwanamziki maarufu Shakira wametangaza kuachana
05/06/2022

Nyota wa Club ya Barcelona na timu ya taifa ya Uispania Gérard Piqué na mwanamziki maarufu Shakira wametangaza kuachana

12/05/2022

CE JOUR-LA.. 12 mai 1997, chute de la cité de Kenge, dernier bastion de la Division Spéciale Présidentielle (DSP) de Mobutu. Désormais, plus aucun obstacle ne se dressait devant les troupes de LD Kabila sur leur marche vers Kinshasa (la capitale). La ville tomba 5 jours plus t**d.

02/02/2022

𝐌𝐏𝐘𝐀:Watu watano akiwemo mtoto wa umri miaka tisa wamekufa,huku wengine watatu wakijeruhiwa baada ya jengo la gorofa mbili kushika moto eneo la Kibokoni,Old Town,Mombasa asubuhi hii ya februari 2.

Une vingtaine de morts ce mercredi 2 février à la suite de la coupure d’un câble électrique à haute tension dans un marc...
02/02/2022

Une vingtaine de morts ce mercredi 2 février à la suite de la coupure d’un câble électrique à haute tension dans un marché à Matadi-Kibala dans la ville de Kinshasa.

Nusu final ya michuano ya AFCON
31/01/2022

Nusu final ya michuano ya AFCON

Wanajeshi wa Burkinafaso wametangaza kumfuta kazi raïs wa nchi hiyo Roch Marc Christian Kaboré, na hiyo kutangaza kufung...
24/01/2022

Wanajeshi wa Burkinafaso wametangaza kumfuta kazi raïs wa nchi hiyo Roch Marc Christian Kaboré, na hiyo kutangaza kufungwa kwa mipaka ya nchi hiyo, na hakuna wakutembea kuanzia saa tatu usiku

Des chrétiens kimbanguistes défilent avec fanfare devant le palais de la nation pour manifester leur réprobation après l...
23/01/2022

Des chrétiens kimbanguistes défilent avec fanfare devant le palais de la nation pour manifester leur réprobation après l’assassinat par un membre de la garde républicaine, « en état d’ebriete »d’un chauffeur de la famille Kisolokele qui a refusé de lui donner son téléphone https://t.co/urTyH8wvAz

23/01/2022

Mwili wa Mwanamuziki François Lulendo Matumona maarufu General Defao hatimaye umezikwa siku ya jana Jumamosi nchini DR Congo.

Defao alifariki mwezi Desemba mwaka jana katika hospitali Laquintinie huko Douala, Cameroon, ambako alikuwa akipokea matibabu

```Michezoni leo```Mchezaji wa zamani wa clubs za Arsenal na Barcrlona Thomas Vermaelen ametangaza rasmi kutundika viatu...
22/01/2022

```Michezoni leo```

Mchezaji wa zamani wa clubs za Arsenal na Barcrlona Thomas Vermaelen ametangaza rasmi kutundika viatu vyake vya njumu akiwa na myaka 36. Varmaelen anaelekea ndani ya timu ya taifa ya Ubeljiji kuhudumu k**a kocha msaidizi.

Club ya Tottenham Spurs imetangaza kuwa naodha wake Hugo Lloris amesaini mkataba mpya wa kuitumikia club hiyo.

Nayo Club ya Barcelona imetangaza kuwa mchezaji wao Ansu Fati alipata jeraha kwenye mechi dhidi ya Atletico Bilbao na hivyo atakuwa nje ya viwanja kwa mda wa myezi miwili

_Iboston_

DRCUbadhirifu katika huduma ya EPST: Alihukumiwa miaka 20 ya kazi ngumu, Michel Djamba alizimia wakati uamuzi ulipotolew...
25/03/2021

DRC
Ubadhirifu katika huduma ya EPST: Alihukumiwa miaka 20 ya kazi ngumu, Michel Djamba alizimia wakati uamuzi ulipotolewa.

20/03/2021

Msemaji wa serekali kuu ya tanzania Dr Hassan Abbas ametangaza kuwa mazishi ya Rais JOHN POMBE MAGUFULI itafanyika tariki 26 March sio tena tariki 25 k**a ilivyo pangwa hapo awali.
Mabadiliko hayo yametokana na Zanzibar kuongezwa kwenye ratiba ya mazishi.

Iboston Mweta-fils

Address

23
Bujumbura

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iboston Mweta-fils posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Iboston Mweta-fils:

Share