Hasanaatu TV

Hasanaatu TV Page hii inahusu kusambaza Yalio mema na Kukumbushana kwa yanayo tuzunguka katika jamii

Tuwe na pupa katikaKuziendea kheri kwa ajiliya Dunia na Akhera yetu Ungana nasi kwa mengi zaidi
29/08/2024

Tuwe na pupa katika
Kuziendea kheri kwa ajili
ya Dunia na Akhera yetu


Ungana nasi kwa mengi zaidi

Neno kwa mwalimu
22/08/2024

Neno kwa mwalimu

20/08/2024
MSHUKURU ALLAH   KWA KILA HALINA KWA KILA HATUAUngana na page hii kwa Mengi mema na mazuri
18/08/2024

MSHUKURU ALLAH
KWA KILA HALI
NA KWA KILA HATUA

Ungana na page hii kwa
Mengi mema na mazuri

🚨MUHIMU KWA WENYE AKAUNTI ZA FACEBOOK🚨KUMEIBUKA MCHEZO WA PICHA CHAFU AU MATANGAZO YA KIBIASHARA KUWEKWA KATIKA ACCOUNT ...
17/08/2024

🚨MUHIMU KWA WENYE
AKAUNTI ZA FACEBOOK🚨

KUMEIBUKA MCHEZO WA PICHA CHAFU AU MATANGAZO YA KIBIASHARA KUWEKWA KATIKA ACCOUNT AU PROFILE ZA FACEBOOK BILA RIDHAA YETU YAANI HACKERS.

Kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged na video za ngono kwenye mtandao wa Facebook kwa siku za Hivi karibuni.
Jambo hili limezua sintofahamu miongoni mwajamii sababu wanafanya hayo yote bila ridhaa yako. Hivyo basi zingatieni haya yafuatayo ili kuifanya akaunti yako kuwa salama.

Ili kuepuka kuwa tagged kwa video au picha chafu, fanya yafuatayo:

Ingia kwenye *Settings* ya Facebook Account yako kisha nenda *Audience and Visibility* halafu nenda *Profile and Tagging.*

Ukishafika hapo *Profile and Tagging* utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu *Viewing and Sharing.*

Kwenye *'Who can post on your profile'* chagua *'Only Me'* vivyo hivyo kwenye *'Who can see what others post on your profile'* chagua *'Only Me.'*

Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, *'Who can see posts you're tagged in on your profile'* chagua *'Only Me'.*

Aidha, pale kwenye option ya *'When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it'* napo chagua *'Only Me.'*

Hapo utakua umezuia mtu asiweze ku Tagg picha za ovyo au jambo lolote katika akount yako.

Ungana nasi kwa mengi zaidi

fahamu yalio mema

Ahsante. Sharing is caring🤝

15/08/2024

Uvumilivu ni ibada ngumu lakini matunda yake ni mazuri sana.

01/08/2024

MAA SHAA ALLAH

Dada wa kiislamu SNURA {aliye kuwa msanii wa music Tanzania} akisoma Qur'an baada ya kuachana na music na kumrejea Allah..

Tunamuomba Allah awaongowe pia na wengine wasanii ili waweze kutoka huko katika kumtumikia shetani na warudi kwa mola wao kabla ya umauti wao...

Kwa Habari za uhakika ungana nasi
ili uitengeneze Akhera yako kabla ya kuondoka Duniani.

TUWE NA ASUBUHI NJEMATUSIKOSE KUMSHUKURU ALLAH KILA WAKATI BILA KUJALI YALE TUNAYO YAPITIA KATIKA MAISHA"ALHAMDULILLAH" ...
01/08/2024

TUWE NA ASUBUHI NJEMA
TUSIKOSE KUMSHUKURU ALLAH KILA WAKATI BILA KUJALI YALE TUNAYO YAPITIA KATIKA MAISHA

"ALHAMDULILLAH"


Ungana nasi kwa mengi zaidi

KIFO HUJA GHAFLA INNAA LILLAH WAINNAA ILAYHI RAAJIUUNNi baada tu ya kutokea ajali ya pikipiki na Daladala huko Jijini Ta...
31/07/2024

KIFO HUJA GHAFLA

INNAA LILLAH WAINNAA
ILAYHI RAAJIUUN

Ni baada tu ya kutokea ajali ya pikipiki na Daladala huko Jijini Tanga Leo tuna mpoteza Sheikh mkubwa pia katika Tanzania na mlezi wa wanafunzi wengi wa Dini napia mlinganiaji maarufu...

Kwa video zaidi tazama ktk comment section.

fahamu yaliyo mema
Usikose kuungana nasi kwa mengi.

MSANII WA MUZIKI (SNURA) KAAMUA KUMREJEA MOLA WAKE ALHAMDULILLAH MaaShaAllah.. Mwenyezi Mungu Anasema Habadilishi yaliyo...
29/07/2024

MSANII WA MUZIKI (SNURA)
KAAMUA KUMREJEA MOLA WAKE ALHAMDULILLAH

MaaShaAllah.. Mwenyezi Mungu Anasema Habadilishi yaliyo kwenye Nafsi Zenu mpaka mbadilishe Nafsi Zenu wenyewe.
MaaShaAllah Dada Huyu Ameamua Kuibadilisha Nafsi yake kurehea Katika Tawheed na TAQWAH 💪

Wangapi Walianza Vibaya Ila Walimaliza Vizuri!
Wangapi Walianza vizuri wak**aliza Vibaya!

Naam, Mja Akiamua kurudi Kwa Mola wake basi Muombeeni Dua Kwa Allah Ili amuifadhi Zaidi na ampe mwisho mwema

Kwa video zaidi tukutane katika comment section

ALLAH ATUJAALIYE MWISHO MWEMA SOTE KWA PAMOJA

Kwa mengi zaidi ungana nasi katika ukurasa wetu wa

KIFO NI FUMBO MAISHA NI KUJIANDAAKWA AJILI YA AKHERA INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJIUN Maisha yana Siri Kubwa Sana,Na: Ya...
21/07/2024

KIFO NI FUMBO

MAISHA NI KUJIANDAA
KWA AJILI YA AKHERA

INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJIUN

Maisha yana Siri Kubwa Sana,

Na: Yahaya Abdully

Mr. Abass katoka America karudi Burundi Nyumbani Kuoa ili arejee U.S.A na Mke wake baada ya ndoa

Kafunga Ndoa Salama Siku ya Ijumaa 19/07/2024 na Jana Ijumamosi wakiwa safarini na Mke wake wakielekea Bujumbura ili Leo Jumapili wafanye Walimah na Reception Party wanapata Ajali mbaya Ya Gari

Bwana harusi anafariki hapohapo na mke yupo Mahututi hospital (tunamuomba Allah ampe shifaa ya haraka na Amsamehe marehemu madhambi yake na Allah awape subra Familia ya marehemu na Waislamu wote)

Kaishi Muda Mrefu Marekani ila kifo chake kiliandikwa Burundi na ndivyo ilivyo tokea Subuhaanallah!!

Chakula alicho kiandaa kwa ajiri ya Harusi Sasa kitatumika Msibani 😭😭

Maisha ni fumbo kubwa Sana Tuishi Duniani k**a wapita njia na tukijiandaa

Angalizo:
Tupate mazingatio kutokana na tukio hili na mengineyo kwa ujumla
Allah amsamehe makosa na mapungufu yake na amuingize katika rehema na pepo yake tukufu aamiyn

إنا لله وإنا إليه راجعون

اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك يارب العالمين
Kwa khabari mbali mbali na matukio tofauti katika jamii zetu na Dunia kwa pamoja basi ungana nasi

Pia Sambaza na kwa wengine

WELCOME /KARIBUNIYou are welcomed my newest followers! Excited to have you here!Karibuni sana napia ni furaha yetu kuona...
20/07/2024

WELCOME /KARIBUNI

You are welcomed my newest followers! Excited to have you here!

Karibuni sana napia ni furaha yetu kuona tuko pamoja katika page hii, hatuwezi kufika popote bila ya nyinyi, kwahio kuweni huru katika kuchangia..

Fadhil Badru Swalehe, Abou Silliah, Hamady Haji, Prince Hussein Hussein, Nassiry Rashid, Soud Hemed, Mwanah Boya, Abubakari Wasia, Said Mpalawa, Hassan Suleiman, Kassim Ngubege, Sele Mwandu, Mwanajuma Mwakuvimani, Tawfiiq Hamisi, Hemedi Mroaki, Hussein Shungu, Mwalimu Abdallah Njama Jr., Yohana Kigocha, Solomon Juh, Mary Khonde Mk, Yusufu Bakary

18/07/2024

IJUMAA
IWE YENYE KHERI
KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI
'' Tujitahidi kwenda Masjid mapema"

🌴 KHERI JUU YA KHERI 🌴 WIKI YENYE MALIPO MAKUBWA KWA WENYE KUPENDA KHERI Siku ya Ijumaa tatu ni Tarehe 9  (Ni siku kabla...
15/07/2024

🌴 KHERI JUU YA KHERI 🌴

WIKI YENYE MALIPO
MAKUBWA KWA WENYE
KUPENDA KHERI


Siku ya Ijumaa tatu ni Tarehe 9
(Ni siku kabla ya Aashuuraa)
Siku ya Ijumaa nne ni Tarehe 10
(ni siku ya Aashuraa)
Siku ya Ijumaa tano ni Tarehe 11
(ni siku baada ya Aashuuraa)
(Mwezi wa Muharram 1446 H)
Siku zote hizo ni sunnah kufunga
Itakua Sawa na Tarehe
15 - 16 - 17 July 2024


Siku ya Alkhamis ni Tarehe 12
(Muharram 1446H)
Ni Sawa na Tarehe 18 July 2024
(Pia ni sunnah kufunga)

Siku ya Ijumaa Tarehe 13
Siku ya Ijumaa mosi Tarehe 14
Siku ya Ijumaa pili Tarehe 15
(Muharram 1446 H)

Itakua sawa na
19-20-21 July 20
Ni Sunnah kufunga
Masiku meupe
Ni hizo siku 3 kila mwezi
Kwa kalenda ya kiislamu

Siku ya Ijumaa tatu Tarehe 16
( Muharram 1446H)
Sawa na Tarehe 22 July 2024
(Itakua siku ya kufunga sunnah)

🤲Swaumu na qur'an🤲
Vitawaombea watu
siku ya Qiyama kwahio Jipambe kwa
Kuisoma sana Qur'an pia kufunga, usipoteze neema hii katika kufunga haya masiku matukufu wiki yote hii
in shaa Allah


fahamu yaliyo mema

FUNGA YA  AASHUURAA__________SWALI:Mtu amefunga siku ya ´Aashuuraa´ na hakufunga siku moja kabla yake wala baada yake. N...
14/07/2024

FUNGA YA AASHUURAA
__________

SWALI:
Mtu amefunga siku ya ´Aashuuraa´ na hakufunga siku moja kabla yake wala baada yake. Ni ipi hukumu?

JIBU:
Kilicho zungumzwa na wanachuoni ni kwamba inachukiza. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema mara ya mwisho:

“Nikiendelea kuishi basi nitafunga pia siku ya tisa.”

Hapo ilikuwa baada ya kukataza kwenda sambamba na watu wa Kitabu. Mwanzoni alikuwa anapenda kuafikiana nao katika yale ambayo hakukatazwa na alikuwa akifunga ´Aashuuraa´ (siku ya kumi) peke yake. Baadaye Allaah akamwamrisha kwenda kinyume na washirikina na kutoafikiana nao. Ndipo akasema:

“Nikiendelea kuishi basi nitafunga pia siku ya tisa.”

Lakini hakuendelea kuishi. Msimulizi wa Hadiythi, Ibn ´Abbaas, amesema:

“Angelifunga tarehe tisa na kumi.”

Ahmad na wengine wamepokea ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Fungeni siku moja kabla yake na siku moja baada yake.”

Imekuja katika tamko jingine:

“Fungeni siku moja kabla yake au siku moja baada yake.”

Lakini kuna unyonge katika mlolongo wake wa wapokezi. Kwa sababu ni katika mapokezi ya Muhammad bin Abiy Laylaa ambaye anapokea Hadiythi dhaifu. Lakini hata hivyo inatiwa nguvu na nyinginezo katika maana.

Sunnah kwa mtazamo wa wanachuoni ni kwamba mtu afunge pia na siku moja kabla yake au siku moja baada yake. Vilevile anaweza kufunga siku moja kabla yake na baada yake na hivyo kwa jumla inakuwa siku tatu. Hii ndiyo Sunnah. Mtu afanye hivyo ili kujitofautisha na watu wa Kitabu.

Mhusika:
Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

Tarjama:
Firqatunnajia.com

Marejeo:
https://binbaz.org.sa/fatwas/20781/حكم-صيام-عاشوراء-دون-صيام-قبله-او-بعده
fahamu yaliyo mema
Ungana nasi kwa mengi zaidi na yenye faida katika Dini yako na Dunia yako

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Abuu Najma Yangeyange, Maalim Abu Khadija, Wisdom Peace, ...
10/07/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Abuu Najma Yangeyange, Maalim Abu Khadija, Wisdom Peace, Mdoe Somo, Bin Abdi Abdi Kungwi, Haji Hemedi, Mc Selle Rama, Muro Ntumba, Kussi Alliy, Warda Salha Jamal, Adam Rashid, Khamis Ngwele, Duwa Mgozi, Nibakure Ismail, Kenya Jumanne, Ramadhani Mdoe, Kibwana Mohamedi, Ali Shaqiri, Shafii Khalfan Mjaka, John Bahat, Ibrahim Ndumla, Rahimu Gatuso, Muhamedy Ally Mpela, Elias Wesonga
Tunafuraha sana kwa ku follow page hii ili kupata faida zaidi, pia mpo sehemu sahihi kabisa, ahsanteni sana nyote followers wa page hii kwa support yenu...

fahamu yaliyo mema.

08/07/2024

MWANAMKE
---------------

Ewe uliye katika ndoa lizingatie hili jambo, Kwani hakika unabahati kubwa na umechaguliwa na Allah kua na mume anaye kujali, kuthamini,na kukuheshimu, kwahio nawewe muoneshe thamani yake kwa kuto muudhi Mara kwa Mara kwasababu akiwa ni mume mwema anaye tekeleza majukumu yake kwako vizuri basi utapo muudhi tu huwa Malaika (Huurul aini) wanasema maneno hayo ktk hii video 👇

fahamu yaliyo mema
Sambaza kwa wengine faida hii

FUNGA YA A'SHUURAA----_________________---🌹🌙MWAKA MPYA WAKIISLAM🌙🌹🎆TAREHE 1 MUHARRAM 1446H.👍TUJIANDAE KUFUNGA SWAUM YA A...
07/07/2024

FUNGA YA A'SHUURAA
----_________________---

🌹🌙MWAKA MPYA WAKIISLAM🌙🌹

🎆TAREHE 1 MUHARRAM 1446H.

👍TUJIANDAE KUFUNGA SWAUM YA AASHURAA (Tarehe 16/07/2024) Jumanne, In Shaa Allaah.
🔊ANASEMA MTUME ﷺ : "Funga ya siku ya 'Aashuraa, nataraji kutoka kwa Allah Ayafute madhambi ya mwaka uliopita)) [Muslim📗]

https://youtube.com/watch?v=cU0G-a1CVtA&si=k0JOltKPIsR-yvPr_*Fatilia mwanzo hadi mwisho kwa ukamilifu Khutba ya Eid kuto...
18/06/2024

https://youtube.com/watch?v=cU0G-a1CVtA&si=k0JOltKPIsR-yvPr

_*Fatilia mwanzo hadi mwisho kwa ukamilifu Khutba ya Eid kutoka kwa Sheikh Salum Bijeje{Sheikh wa mkoa wa Rumonge}*_

_Sambaza na kwa wengine ,pia k**a wewe ni mgeni katika channel hii basi uta subscribe kisha utabonyeza alama ya kengelele kwa video zaidi_.

khutba ya shekh Salum Bijeje imewagusa wengi na kupendwa sana,hakika alizungumza mengi ikiwemo mshik**ano ,kushukuru neema alizo tuneemesha Allah,kupendana n...

SIKU YA 'ARAFAH---------------------Assalamu alaykum ndugu yangu Usikose fadhila nyingi katika siku hii tukufu na bora k...
14/06/2024

SIKU YA 'ARAFAH
---------------------

Assalamu alaykum ndugu yangu

Usikose fadhila nyingi katika siku hii tukufu na bora kabisa katika maisha yako, k**a Allah amekuhifadhi ukifika siku hii bora kabisa katika Dunia (siku ya Arafah, Tarehe 9 ya Dhul hijjah ) basi jitahidi kulala mapema kwa ajili ya kuamka usiku kufanya ibada, kuswali au kufanya adhkari, na ikiwezekana kesha usiku mzima au lala kidogo tu ili ufanye ibada kwa wingi katika siku hii, kwa sababu siku ya arafa ni siku ambayo Allah huwasamehe waja wake na huwatoa motoni, na humsamehe mja madhambi ya mwaka ulio tangulia na mwaka ujao, kwahio tumuombe sana Allah nasi tuwe miongoni mwa watakao samehewa nakutolewa motoni,.. Pia tujitahidi Sana kuisoma Qur'an usiku au mchana, tuombe Dua nyingi na kheri za Dunia na Akhera, tutowe Sadaqah, tujisogeze kwa Allah kwa Aina tofauti ya mema, tusipoteze japo dakika moja katika mambo ya sio na kheri kwetu, hakika siku hii ya Arafah ni siku bora sana katika maisha yetu, tuamke kula daku na kufunga pia, napia jitahidi kuswali Sala ya alfajiri katika jama'ah pamoja na imaam pia na swala zingine iwe hivyo, swali sunnah ya kuchomoza kwa jua na Kisha baada ya k**a masaa kadhaa swali sunnah ya dhuhaa kabla ya kuingia wakati wa Adhuhuri, usiku wa kuamkia siku ya Arafah swali japo Rakaa mbili au nne na umuombe Allah utakacho ikiwemo kumuomba akusamehe madhambi yako nk...

Tunamuomba Allah atujaaliye Funga njema katika siku ya Arafah napia aweze kutusamehe madhambi ya myaka miwili k**a alivyo tuahidi, napia Allah atuongoze katika mema siku hii ya Arafah na katika masiku ya Eid pia

TUNAKUTAKIENI FUNGA NJEMA NA EID MUBAARAKA KWA WAISLAMU WOTE DUNIANI...

fahamu yaliyo mema

to others.

https://youtu.be/5TK_yxCOykU?si=_8ULn3cbl6g2wB2c_Don't miss this video to the End _Usikose kutazama mpaka mwisho_Pata fa...
12/06/2024

https://youtu.be/5TK_yxCOykU?si=_8ULn3cbl6g2wB2c

_Don't miss this video to the End _Usikose kutazama mpaka mwisho_

Pata faida na kuelimika kwa kufatilia video hio muhimu sana

fahamu yaliyo mema

Katika video hii pame zungumzwa mambo mengi ya kuhusu masiku kumi ya Dhul hijjah, ikiwemo kufanya mema k**a vile kufunga, kutoa Sadaqah, kujiepusha na movi, ...

Address

6 Valk Street
Kinross
2270

Telephone

+27724656380

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hasanaatu TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hasanaatu TV:

Videos

Share

Category

Nearby media companies


Other Kinross media companies

Show All