Mino TV Enter | Sports | Gossip | Trends | News | Funny | Home of Updates | Call Us +255755449629
(1)

01/14/2025

Msanii wa hip hop Toxic baada yakuona alicho post harmonize LeoπŸ˜‚ Ila maisha haya jamani hapana kwakweli yanatia AsiraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

Ricardomomo amefunguka kuwa somo alilolipata kwenye ndoa yake iliyopita na Malaika cute ni kutokuwa mkali kwenye baadhi ...
01/14/2025

Ricardomomo amefunguka kuwa somo alilolipata kwenye ndoa yake iliyopita na Malaika cute ni kutokuwa mkali kwenye baadhi ya maamuzi na alikuwa anatumia hekima kuliko Hip Hop.πŸ˜†πŸ™Œ

Legend Inspector Haroun amemtembezea kichapo mtoto wake baada ya kumkuta studio akiingiza sauti huku akimkataza kijana w...
01/14/2025

Legend Inspector Haroun amemtembezea kichapo mtoto wake baada ya kumkuta studio akiingiza sauti huku akimkataza kijana wa pembeni asimrekodi, Inspactor ameshikwa na asira kali akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio kwa Touch.πŸ˜πŸ™Œ

Nimuda mrefu sana msanii wa muziki wa bongo fleva Macvoice kutoka Next lavel Music amabae iko chini ya Rayvanny aonekani...
01/14/2025

Nimuda mrefu sana msanii wa muziki wa bongo fleva Macvoice kutoka Next lavel Music amabae iko chini ya Rayvanny aonekani kabisa kwenye soko la muziki ata kurasa zake za mitandao ya kijamii ziko kimia sana, swali ni Je kijana yuko wapi kaondoka Next lavel au ndo anajipanga upya! Mwenye story Yake atuambie Taafadhali.β˜ΊοΈπŸ™Œ

"Harmonize kupitia moja ya video aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram amesikika akisema "waandishi na watu wen...
01/14/2025

"Harmonize kupitia moja ya video aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram amesikika akisema "waandishi na watu wengine mnaoongea mabaya kuhusu mpenzi wangu acheni mara moja sitaki mumseme vibaya mpenzi wangu kwakua nampenda"πŸ˜πŸ™Œ

Hii inaasikitisha nakuogopesh sana jamani, dunia inaenda wapi? Mwimbaji wa nyimbo za injil amekamatwa na jeshi la police...
01/14/2025

Hii inaasikitisha nakuogopesh sana jamani, dunia inaenda wapi? Mwimbaji wa nyimbo za injil amekamatwa na jeshi la police akiwa amebeba kichwa cha mpenzi, yaani katengenisha kichwa kisha kiwiliwili pia kakikatkat! Tazama video kwenye comment.πŸ‘‡

Hizi ni picha 2 zamsanii wa bongo fleva Omari β€œMarioo” hii ni picha yake ya zamani enzi hizo bado hajatoka, Marioo anaku...
01/14/2025

Hizi ni picha 2 zamsanii wa bongo fleva Omari β€œMarioo” hii ni picha yake ya zamani enzi hizo bado hajatoka, Marioo anakuambia kwenye ukoo wao familia yao ndo ilikua familia maskini zaidi ila kwasasa Familia yao ndo namba 1 yenye hela kwenye ukoo wao na yote nikwasababu ya mafanikio ya marioo kwenye muziki.

Marioo anakuambia alipoanza kupambania ndoto zake alipitia changamoto nyingi nzito ila hakukata tamaa nawala hakutishika bali alimuomba Mungu na akazidi kusonga mbele.

Ata wewe ndugu yangu unaweza kufanikiwa kikubwa weka nia na malengo na usimsaau Mungu kwenye mambo yako yoteπŸ™πŸ»

Mfanya biashara official Nai kwenye ukurasa wake aliweka chapisho la picha zake zinazo mwonesha alivyobarikiwa maumbile ...
01/14/2025

Mfanya biashara official Nai kwenye ukurasa wake aliweka chapisho la picha zake zinazo mwonesha alivyobarikiwa maumbile mazuri nakisha kuambatanisha na Slide ya maneno iliyoandikwa "Tak😁 muhimu sana aisee, bora ukose ata kichwa" Una comment gani juu ya maoni haya ya mrembo huyu?πŸ˜†πŸ™Œ

Mwimbaji wa nyimbo za injili Christina shusho alifunguka kwamba star wa muziki wa bongo fleva Harmonize aliwai kumuomba ...
01/14/2025

Mwimbaji wa nyimbo za injili Christina shusho alifunguka kwamba star wa muziki wa bongo fleva Harmonize aliwai kumuomba kolabo wakiwa studio, "Harmonize aliniletea project kali tukiwa studio nikamwambia ngoja nikaombe, nilivyoenda kuomba sikurudi tena, ila project ipo wakati ukifika tutaimba" Alisema - Christina shushoπŸ˜πŸ™Œ

Msanii wa muziki diamond platnumz akiwa kwenye maojiano na Lil ommy na Ammy girl wasafi Fm aliwaikusema "Mimi mwenyewe n...
01/14/2025

Msanii wa muziki diamond platnumz akiwa kwenye maojiano na Lil ommy na Ammy girl wasafi Fm aliwaikusema "Mimi mwenyewe namueshimu sana Alikiba kwasababu nimsanii alieweza ku mantain status yake, sio kitu kidogo, Tangu alipoanza mpaka leo kila ukitaja wasanii wanaofanya vizuri nayeye yumo, kwailo nampa eshima kubwa sana" - Diamond platnumz

Tazama video kwenye commentπŸ‘‡πŸ½

01/14/2025

Mwadada akishauri wanaume kuhusu wanawake wa Dar es salaam, mrembo huyu anataja wanawake wa Buza, tandika, kinondoni, chanika na sinza USIOEπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

01/14/2025

Salma acharuka! Amkwida mpenzi wake kisa hamuoi kazi yake nikumuomba tu ila kumuoa AahπŸ˜‚, salma akaona usinichezee weweπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

01/13/2025

Maneno ya busara ya ireneuwoya8 akimpongeza mama yake mzazi kwakufikisha Miaka 61 leo hii akisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na mama yake β€œBibi yake Irene Uwoya”

"Harmonize ni mtoto mdogo sana sema alifanikiwa kuingia kwenye Record label iliyopata mafanikio makubwa Afrika, Ila sio ...
01/13/2025

"Harmonize ni mtoto mdogo sana sema alifanikiwa kuingia kwenye Record label iliyopata mafanikio makubwa Afrika, Ila sio wakushindanisha na kaka zetu Diamond na Alikiba, Ila Nyie Watangazaji Ni Miyeyusho na Mnazingua Maana nyie ndo mnamshindanisha yuke Mtoto na wakubwa" Maneno ya - Baraka the Prince πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

01/13/2025

Jamani mlowai kufika marekani mtuambie chino kidd hapa anaongea nini! Maana tunaambiwa ichi nikingereza cha MarekaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

01/13/2025

Kuwa na wajukuu Raha sana jamani, Tazama mama mzazi wa msanii diamond platnumz, Mama dangote aki enjoy na mjukuu wake Tiffah Dangote😍😍 BIBIII

01/13/2025

Nilikuja mwanza kusoma nikiwa bikira nikakutana na mwanaume anaitwa Gerard mwakarobo, akanidanganya kwamba atanipa maisha mazuri atanisomesha ila kanipa mimba kanikimbiaπŸ˜­πŸ™ŒπŸ»

01/13/2025

Msanii wamuziki diamond platnumz akiogelea na laziz wake, kipenda roho zuchu, yaani mwaka huu mpaka msemeπŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»

Address

224 POWELL Street SE, GRAND RAPIDS, MI 49507-1158
Michigan Center, MI
49503

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mino TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mino TV:

Videos

Share

Category