East Africa News

East Africa News Enter | Sports | Gossip | Trends | News | Funny I Home of Updates | Call Us +255755449629
(1)

TUKUMBUKE MBALI KIDOGO, Ni ngoma gani ya P square ilikukosha sana enzi za miaka ya 2008 hadi 2012? Tuambie ulikua wapi e...
02/18/2025

TUKUMBUKE MBALI KIDOGO, Ni ngoma gani ya P square ilikukosha sana enzi za miaka ya 2008 hadi 2012? Tuambie ulikua wapi enzi hizo?😁🙌🏻

02/18/2025

Kumbe nikweli wakwe awampendi Hamisa mobeto, Mama mzazi wa Aziz Ki yupo hai Hajafariki k**a alivyosema Mwijaku, Rais wa Yanga Hersi athibitisha kuwa huyu ndo mama mzazi wa Aziz Ki.

02/18/2025

Msanii wa Bongo fleva Alikiba akoshwa na ujumbe huu wa Sheikh majini🙌

“Watu wasichokijua Marioo nimoyo wangu nampenda hata kabla hajawa mkwe wangu” Maneno ya kajalafrida mama mzazi wa Paula😂...
02/18/2025

“Watu wasichokijua Marioo nimoyo wangu nampenda hata kabla hajawa mkwe wangu” Maneno ya kajalafrida mama mzazi wa Paula😂🙌🏻

Ni couple mbili za mastar wa Bongo ambazo kwasasa zina trend hapa mjini, Jux na mkewe Princilla mwenye asili ya Nigeria,...
02/18/2025

Ni couple mbili za mastar wa Bongo ambazo kwasasa zina trend hapa mjini, Jux na mkewe Princilla mwenye asili ya Nigeria, Hamisa mobetto na Aziz Ki Raia wa Burkinafaso, ni couple ipi Bora kwako?

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Lavidavi pale Wasafi Fm Diva Malinzi ameweka wazi kuwa hakuna mwanamke mwenye ujuzi wa...
02/18/2025

Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Lavidavi pale Wasafi Fm Diva Malinzi ameweka wazi kuwa hakuna mwanamke mwenye ujuzi wa mapenzi mzidi yeye hapa Tanzania.

"Mimi sio najua kuongea tuu kimahaba pia ni fundi sana wa mapenzi sizani k**a kuna mwanamke anayeweza kunizidi."- Amefunguka Diva.

Kwamujibu wa mmbea maarufu Juma lokole anasema Mrs Ki amefunga ndoa akiwa tayari ana kijacho tumboni ivyo tegemeeni kupo...
02/18/2025

Kwamujibu wa mmbea maarufu Juma lokole anasema Mrs Ki amefunga ndoa akiwa tayari ana kijacho tumboni ivyo tegemeeni kupokea mtoto wa 3 kwa Misa na wapili kwa bwana arusi🤣🙌

X, Mfanyabiashara maarufu hapa nchini Tanzania Fred Vinjabei ameweka sawa tuhuma zake za kuumizwa na kitendo cha Hamisa ...
02/18/2025

X, Mfanyabiashara maarufu hapa nchini Tanzania Fred Vinjabei ameweka sawa tuhuma zake za kuumizwa na kitendo cha Hamisa Mobeto kufunga ndoa na Aziz Ki.

"Watu wanadhani nimeumia sana juu ya ndoa ya Hamisa kweli sijaumia hata kidogo, Pia nimetoa mchango wa ndoa yake nimechangia tena kupita kiasi walichokuwa wanataka nichangie."- Amefunguka Fred Vunjabei.

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva TID ameuita mtindo mpya wa nywele aliokua amesuka msanii harmonize kuwa ndo mtin...
02/18/2025

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva TID ameuita mtindo mpya wa nywele aliokua amesuka msanii harmonize kuwa ndo mtindo Mbaya zaidi kuwaikutokea kwa wasanii wote wa Bongo fleva, TID alipost picha ya Harmonize kisha akaandika "The worst ever Bongo Artist Hair Style... Short, Black, Ugly and Blonde🤣🤣😂"

Mrembo Rushayna ameweka wazi kitu ambacho hatamani kijirudie kwenye maisha yake ni kukutana na Mwanaume muongo kwenye ma...
02/18/2025

Mrembo Rushayna ameweka wazi kitu ambacho hatamani kijirudie kwenye maisha yake ni kukutana na Mwanaume muongo kwenye maisha yake

''Kwenye mahusiano Nilikutana na Mwanaume muongo, Wanaume wote ni waongo'' Rushayna aliwahi kuwa mke wa Manara na badae wakaja kuachana.

Kwanini Wanaume wanakuwa waongo??

Licha ya kuwepo kwa tofauti "BIFU" kubwa kati ya Alikiba na Diamond platnumz, Fahamu kwamba wadogo zao ni marafiki wakub...
02/18/2025

Licha ya kuwepo kwa tofauti "BIFU" kubwa kati ya Alikiba na Diamond platnumz, Fahamu kwamba wadogo zao ni marafiki wakubwa na wala bifu ya kaka zao aijawai kuwafanya wavunje urafiki wao, Picha hii kushoto ni mdogoake Diamond "IDI SANTOS" na kulia ni mdogoake Alikiba "ABDUKIBA"

Neno moja kwao Tafadhali👍

02/18/2025

Hili hapa balaa la msanii wa bongo fleva Harmonize akiwa studio na Baby wake Abigail, konde boy anakuambia alirekodi mara moja tu Ngoma yake mpya

"Mungu atakaponiletea mume nitampokea uyouyo awe Mwimba kwaya ama msanii nikiona tu anafaa kuwa mume wangu nitaolewa nae...
02/17/2025

"Mungu atakaponiletea mume nitampokea uyouyo awe Mwimba kwaya ama msanii nikiona tu anafaa kuwa mume wangu nitaolewa nae" Msanii - Lulu diva😍🙌

Nyie endeleeni kuchekelea tu siku mje mtundikwe 8-0 ndo akili ita wakaa sawa🤣, Acheni makasiriko kwenye comment sijamtaj...
02/17/2025

Nyie endeleeni kuchekelea tu siku mje mtundikwe 8-0 ndo akili ita wakaa sawa🤣, Acheni makasiriko kwenye comment sijamtaja mtu mimi Jamani🤣🙌

Wema sepetu nimiongoni mwa wageni waalikwa waliotakiwa kuudhuria sherehe ya Ndoa ya Hamisa mobeto ila chaajabu hakutokea...
02/17/2025

Wema sepetu nimiongoni mwa wageni waalikwa waliotakiwa kuudhuria sherehe ya Ndoa ya Hamisa mobeto ila chaajabu hakutokea, watu mbalimbali walianza kujiuliza kwanini wema hajaja ama nikwasababu wanaripotiwa kuwa kwenye bifu nzito yeye na Hamisa kisa Diamond?

Leo wema kupitia ukurasa wake ameweka wazi kwamba alikua amejiandaa tayari kwenda Arusini ila aliumwa gafla, kupitia ukurasa wake amewapost Bibi Arusi na Bwana Arusi Mr and Mrs Aziz ki kisha ameambatanisha na ujumbe usomwao "Alieniroga jana nikaumwa ghafla Mungu anamuona"😁😁🙌

"Ila wabongo bwana kwa kuwakatisha tamaa watu hamjambo tukikaa uch! mnasema tukikazana kwenye kazi mnasema tukidanga mna...
02/17/2025

"Ila wabongo bwana kwa kuwakatisha tamaa watu hamjambo tukikaa uch! mnasema tukikazana kwenye kazi mnasema tukidanga mnasema watu wameolewa mnasema kheeeee mbwa nyinyi k za maama zetu kukata tamaa ni mwiko nyimbo mbaya na mtasikiliza mtake msitakeee" Ameandika Amber Lulu🤣🙌

02/17/2025

Pacha wa Marioo aeleza anavyoendesha maisha yake, afunguka kuhusu anavyosumbuliwa na wanawake, mademu wanataka kila mmoja awe Paula🤣🙌

Ameandika mrembo Niffer “Waliotudharau mwanzo wanaomba watu watwambie tuwapokelee simu,furaha yangu juu ya maumivu yao i...
02/17/2025

Ameandika mrembo Niffer “Waliotudharau mwanzo wanaomba watu watwambie tuwapokelee simu,
furaha yangu juu ya maumivu yao imenifanya Natamani kumpa tabasam mtu usiku huu! Unataman kupata nini sasa hivi write a comment inaweza kuwa bahat yako”

Address

1105 Dixie Highway
Louisville, KY
40210

Telephone

+254794344641

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when East Africa News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category