TAARIFA YA HABARI YA TARIKI 16/06/2021 KUTOKA KWENYE STUDIO ZA UVIRA EXPRESS TV
Warundi Kutoka Lusenda, Mulongwe watoa malalamiko yao yakukosa ifazi na kuishi maisha duni Uvira kwa kulala Inje ya kambi
FULL VIDEO ON YOUTUBE
UVIRA EXPRSS TRANSPORT LLC.
Kutinda msiba wa mke wa mmoja kati ya wafanyakazi wa Uvira Express Transport hapa kwetu Uvira, DRC. Mmoja kati ya wafanyakazi wa Uvira Express Tansport amefiwa na mkewe hapa kwetu Uvira, Sud-Kivu, Congo.
Maojiyano kati ya Uvira Express Transport na yatima moja mlemavu asiye weza kutembeya kwa miguhu pa (Baraka, Fizi).
Bandari GABI, Kasenga, Uvira.
Maojiano na wasafiri kwenye Bandarini la GABI pa (Uvira Kasenge).
Baraka Fizi
UVIRA EXPRESS TRANSPORT watowa zawadi kwa mmoja wa mfanyakazi wao aliye zaha wakiwa katika sherehe yakutowa mtoto inje, Baraka, Fizi.
Uvira Express Transport ya fanya mahandalizi ya sherehe kwahajili ya watoto walio poteza wazazi wao siku ya mafuriko hapa Uvira, Congo 2020.
HIRING
Uvira Express Transport watowa ofa ya kuajiri mfanya kazi kwenye nafasi ya ukatibu(secrétaire) kwenye kampuni yao.
uvira express transport watowa msahada na kusaini mkataba wakuzamini mtoto yatima aliye achwa na mamahe pindi tuuh alipo zaliwa
Uvira ExpressTransport yatowa msahada apo nundu.
kwa mtoto yatima, aliye achwa na mamahe pindi tuuh anazaliwa.
piya wame sahini mkataba wakumuhudumiya muda wa mwaka moja.Nundu/fizi.