12/04/2024
HAPPYBIRTHDAY TO ME ASANTE MUNGU KWA KUENDELEA KUNIPA UZIMA HUU NA AFYA HII HATA LEO NIMEONGEZA NAMBA KATIKA MIAKA YANGU YA UKUAJI NASEMA ASANTE PIA HATA WAZAZI WANGU PAMOJA NA WALEZI WOTE AMBAO WALISIMAMA NA MIMI TOKA NIKIWA MTOTO HATA LEO HII NAITWA BABA SINA MENGI YAKUSEMA ZAID YA ASANTE HAPPYBIRTHDAY TO ME