Udakutz

Udakutz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Udakutz, News & Media Website, Zanzibar.

24/03/2024

Leo naongea na wadada, jamani kwani hamwezi kufanya kazi au kitu cha heshima mkawa maarufu kwa njia nzuri mpaka mvujishe picha chafu ndiyo mtrend?

Watoto wakike mmezidi sana kupenda shot cut, binti yeyote akitaka kuwa maarufu aongelewe mitandaoni anamtafuta msanii au mtu maarufu wana fanya matusi wanavujisha mitandaon ili wa make headlines lakini siyo njia sahihi sana maana kuna kesho wadogo zangu.

Unaweza kuwa maarufu lakini siku taifa likihitaji kukutumia litaogopa kwa background yako mbaya utakosa nafasi za maana, mfano mama yetu akatamani akuteue kwenye jambo fulani atashindwa kwa sababu ya historia yako mbaya.

Siyo hilo tu umaarufu unamwisho kesho ukiwa mama na bibi wawajukuu hayonmachafu yako watoto wako na wajukuu watayaona hivo utakosa nguvu yakuwa mama wa mfano kwa watoto wako au kuwafundisha jambo lolote.

Badilikeni kwa faida yenu fanyeni kazi mtapata tu umarufu mzuri.

Mfano hii 👉https://youtu.be/CrKHeUnTMq0?si=hJeOnzW0-2F5cAPz

Angel Benard ⚠️😳 Baada ya ndoa yake ya mwanzo kupasukiana, Msanii wa injili Angel Benard aolewa tena na mwanaume mwingin...
22/07/2023

Angel Benard ⚠️😳 Baada ya ndoa yake ya mwanzo kupasukiana, Msanii wa injili Angel Benard aolewa tena na mwanaume mwingine anayeishi nchini Marekani

Angel Benard aliyefahamika kwa nyimbo kadhaa ikiwemo Siteketei, watu walidhani ndoa yake ya mwanzo yeye na mumewe walikuwa na furaha sana kwa jinsi walivyokuwa wakiwaona ikiwemo mitandaoni, hivyo minong'ono imeibuka kuguata kuolewa tena nchini Marekani

Huku taarifa zikidai kuwa miezi mingi iliyopita Angel alikimbilia mahak**ani kutaka talaka yake toka kwa mumewe wa mwanzo ili awe huru kuendelea na maisha yake mengine na alipopata talaka yake rasmi hakusubiri ameolewa tena na mwanaume anayeishi Marekani🙌🤣

03/05/2023

K**a humpendi mamaangu mimi nampenda ❣💯

https://youtu.be/noTPpJVzHqw
03/05/2023

https://youtu.be/noTPpJVzHqw

Never say goodbye if you still want to Try. Hakuna kitu chenye thamani Duniani k**a wakati, kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni. Siku zote ukweli utaba...

26/04/2023

Kwa mlio fika dar hapa ni wapi💥

15/04/2023

POKEA KILE UNACHO KIAMINI KWA JINA LA YESU 🙌

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Maombezi Whatsapp 0716822126

Nikabila gani wazazi walikuambia usioe usiolewe?
09/03/2023

Nikabila gani wazazi walikuambia usioe usiolewe?

MFAHAM MWANAMKE NI NANIMWANAMKE AMEBEBA UHAIAmebeba uhai wa kila mwanadamu kila mwanadamu unae mwona duniani uhai wake u...
08/03/2023

MFAHAM MWANAMKE NI NANI

MWANAMKE AMEBEBA UHAI
Amebeba uhai wa kila mwanadamu kila mwanadamu unae mwona duniani uhai wake umebebwa na mwanamke💪

Mwanamke ni ukamirifu na msaidizi wa Mwanaume 📕MWANZO 2: 18💥
Mwanamke aliumbwa ktk ukamirifu ili kuziba sehem ya upungufu wa mwanaume.

Kupitia mwanamke watu wote walio kwenye hii dunia walizaliwa 📕MWANZO 3: 20💥 Mwanamke ni mlango wa wanadamu wote duniani, Mungu alimwamini mwanamke tumbo lake liwe sehem ya uumbaji wa watu wote.

Mwanamke ni mlinzi wa mwanamue 📕YEREMIA 31: 22💥 Hivyo ukisoma hapo utagundua mwanamke ananguvu na maarifa mengi ya ulinzi kuliko mwanaume ndiyo maana Mungu amemwamini kumlinda mwanaume, mwanamke anaetambua nafasi yake anaweza kumlinda mumewe na watoto wake.

Mwanamke ndiyo kituchema namba moja duniani kuliko chochote 📕MITHALI 18: 22💥
Ukisoma hapo utagundua mwanamke ana uwezo wa kumfungulia mwanaume kibali cha kukubalika na Mungu 🤔

Mwanamke maombi yake yanasikilizwa na Mungu upesi kuliko kawaida 📕YEREMIA 9: 17💥 ISAYA 58: 12💥
Mwanamke akisimama kwenye nafasi yake anaweza kuokoa ndoa yake watoto wake na jamii nzima ikawa salama.

Kupitia tumbo la mwanamke mmoja MARIAM kumzaa Yesu ulimwengu ulipata wokovu 📕MATHAYO 1: 23💥

Mwanamke ndiyo mwenyewe kujenga nyumba yani ndiyo mwenye ndoa ili nyumba au ndoa isimame inategemea jinsi mwanamke anavyo jitambua kwenye hilo eneo la ndoa au mahusiano 📕MITHALI 14: 1💥 Mungu anamtambua mwanamke k**a ndiyemhusika zaidi wa ndoa 📕MWANZO 2: 24💥 mwanamke akisimama kwenye nafasi yake ndoa haiwezi kuvunjika pia akiamua kuivunja ni mala moja.

Wanawake wengi wamepoteza nafasi zao kwa kudanganywa na elimu za dunia zinazowafundisha kuwa k**a wanaume, na kupoteza thamani yao kubwa ya kuwa mwanamke.
Ndiyo maana ndoa nyingi zinavunjika na watoto wa mitaani kuongezeka,

Mwanamke ndiyo mwenyewe nafasi kubwa ya kuombea ndoa mume na watoto📕YEREMIA 31 : 15💥 akisima kwa maombi na sadaka anamlinda mumewe na watoto wake mpaka wajukuu zake,

Mabinti wengi leo hii wanakosa kuolewa siyo kuwa hakuna wanaume, bali hawajatambua nafasi zao katika ulimwengu wa roho.
Na shetani kwa kuwa anatambua nafasi ya mwanamke ndiyo maana anampiga vita katika maeneo mbali mbali hasa ya ndoa na mahusiano,

Unaweza kuhisi wanaume hakuna ndiyo maana Mabinti hawaolewi, lakini ukweli nikuwa wanaume wengi na vijana wengi wametekwa na shetani kwenye madawa ya kulevya na maeneo mengine yasiyofaa mpaka wamepoteza jukum lao la kuwa baba na waume za watu,

Anapo potea mwanaume mmoja amesababisha binti mmoja kukosa mume, hivo ni wajibu wa Mabinti kusimama kwenye nafasi zao kwa kuomba ili wanaume zao waokolewe kutoka kwenye vifungo vya kuto kuoa na kuwa baba wa familia ili dada zetu waolewe.🤝

Mwanamke ana tumia akili zaidi kuliko mwanaume simanishi wanaume hawana akili ndiyo maana Mungu alisema ishi na mwanamke kwa akili 📕1PETRO 3: 7💥 Ukisoma hapo utagundua wanawake wamepewa akili zaidi kuliko nguvu za mwilini, 📕MWANZO 27: 11 - 17💥 ukisoma hapo utagundua mwanamke anatumia akili kuliko nguvu,

Mwanamke ndiyo heshima ya dunia akipoteza madili inchi inakuwa imepoteza thamani yake mwanamke akiamua kuolewa anaweza kuolewa mda wowote anaotaka ukiona hajaolewa ujue hajatambua nguvu yake na nafasi yake, au kuna sehem amefungwa na shetani ili asijue thamani yake.

Mwanamke yeyote unaehisi umepoteza nafasi yako ndiyo maana ndoa ina sumbua ndiyo maana mahusiano yanakusumbua ndiyo maana huolewi njoo niombe na wewe Mungu akurejeshee thamani yako usimame kwenye nafasi yake kwa jina la Yesu 🙏

Maombezi Whatsapp 0716822126

✍️by Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126

MUNGU AWABARIKI WANAWAKE WOTE AMEEN🙏

NILIKUWA SIPATI WACHUMBA PAMOJA NA UZURI WANGU WOTE NILITUPIWA UCHAWI NA MAJINI YAKUCHAFUA NYOTA NA UZURI WANGU UKAWA K*...
28/02/2023

NILIKUWA SIPATI WACHUMBA PAMOJA NA UZURI WANGU WOTE NILITUPIWA UCHAWI NA MAJINI YAKUCHAFUA NYOTA NA UZURI WANGU UKAWA K**A KITUKO NA KINYAGO MBELE ZAWATU NILIISHI KWA HUZUNI LAKINI KUNA RAFIKI YANGU ALINIPA NAMBA YA Mtumishi Fahim. 📲0716822126 NIKAMPIGIA 💚Whatsapp NIKAMWELEZA SHIDA YANGU ALIPO NIOMBEA TU NILISIKIA K**A KUNA KITU NIMEKIVUA KWENYE MWILI WANGU NIKAJISIKIA MWEPESI BAADA YA MDA MFUPI NIKAPATA MCHUMBA NA SASA NAOLEWA🙏 MWANAMKE MWENZANGU NAKUSHAURI USIKATE TAMAA MTAFUTE MTUMISHI FAHIM AKUOMBEE

IRENE UWOYA AJINADI KUWA MWENYE MDOMO MZURI ZAIDI KWA MASTAR WOTE BONGO TOA MAONI YAKO
28/02/2023

IRENE UWOYA AJINADI KUWA MWENYE MDOMO MZURI ZAIDI KWA MASTAR WOTE BONGO TOA MAONI YAKO

Eti ni star gani mwenye mdomo💋 k**a wangu bongo😆

Dada k**a unataka kuolewa nenda kaombewe na Mtumishi Fahim. My dear sikuamini nilikuwa nimesha kata tamaa tena aliniombe...
15/02/2023

Dada k**a unataka kuolewa nenda kaombewe na Mtumishi Fahim. My dear sikuamini nilikuwa nimesha kata tamaa tena aliniombea kwa cm tu 0716822126 Whatsapp now naolewa France 🇫🇷 hakika Mungu anawatumishi wake jamani🤔

BREAKING NEWS.MKE WA MANARA AIBA DOLLAR 17,000 KUTOKA KWENYE ACCOUNT YA MANARA.Wake wote wa Manara huwa wana password za...
05/02/2023

BREAKING NEWS.

MKE WA MANARA AIBA DOLLAR 17,000 KUTOKA KWENYE ACCOUNT YA MANARA.

Wake wote wa Manara huwa wana password za Account yake ya Bank.

Mke Mmoja wakati akiwa Dubai na Manara aliiba DOLLAR 17,000 (Zaidi ya Million 39 za kitanzania).

Hizi pesa ndizo zilifanya Kipindi amekosana na Manara abaki Dubai na Bwana wake Mnaigeria.

Mke huyo baada ya kugundua kwamba Manara anafatilia hili suala ameamua aondoke Tanzania (Jana ameelekea Dubai), Inasemekana ameenda kwa Bwana wake Mnigeria.

Utapeli aliofanya Mke wa Manara unafatiliwa kwa karibu mno na Muda wowote atafikishwa kwenye Vyombo vya Dola.

Ili kuona habari zangu kila ninapo post FOLLOW page yangu👇

https://www.facebook.com/aston.jsmwingira?mibextid=ZbWKwL

05/02/2023

Nawatakia jumapili njema nime wamiss sana💯 leo nimesali kwa Mtumishi Fahim hapo ubungo Sheklango guys😳 nimeona na kusikia shuhuda nyingi wamama waliokuwa hawazai wamepata watoto mapacha💥 kwa maombi ya Mtumishi Fahim
Wadada waliokuwa hawaolewi wameolewa. Wagonjwa wamepona kila aina ya magonjwa, waliokuwa wanateseka kwenye ndoa💘 wanafurahia ndoa zao na mahusiano yao.🙌

Mpendwa k**a una tatizo lolote mtafute mtumishi fahim 💚Whatsapp📲+255716822126

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Udakutz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share