Mwenenu Media

Mwenenu Media "📽️ African Stories | Content Creators 🎬 Filmmaking | Documentaries | Web Series 🌍 Exploring Africa
📧 [email protected]
📞 +255 625 995 872

making film and documentary
selling film script

https://youtu.be/UTdsaHo5Ad0?si=L9Mb0WLaBFieNoyVChukua nafasi yako kuitazama sehemu ya 3 Agano Nafsi tuachie comment na ...
20/02/2025

https://youtu.be/UTdsaHo5Ad0?si=L9Mb0WLaBFieNoyV

Chukua nafasi yako kuitazama sehemu ya 3 Agano Nafsi tuachie comment na share kwa ndugu jamaa na magroup

Jadi za kale ziliwafanya wafrika kuwa na nguvumali huwafanya mabinti wadogo kuolewa na wazee...

https://youtu.be/sVmdnkx4cAw?si=b5F4A8Aeju_ykPdfSasa unaweza kuitazama sehemu ya kwanza ya Agano la nafsi youtube bonyez...
08/02/2025

https://youtu.be/sVmdnkx4cAw?si=b5F4A8Aeju_ykPdf

Sasa unaweza kuitazama sehemu ya kwanza ya Agano la nafsi youtube bonyeza link hapo juu

Katika maisha kila mmoja anakitu anaamini mzee pandu yeye anaamini katika vitabu vya kale vina utajiri mkubwa ......The part of Muddy smokes is not an adve...

Habari za muda huu naomba kuchukua nafasi hii kuwataatifu wadau wa film kwamba hivi karibuni seriesa ya Agano la nafsi i...
02/02/2025

Habari za muda huu naomba kuchukua nafasi hii kuwataatifu wadau wa film kwamba hivi karibuni seriesa ya Agano la nafsi itapatikana katika youtube channel ya mwenenu media

Agano la nafsi ni ulimwengu wa kusadikika unaozungumzia mafungamano ya wanadamu na nafsi zao wapo ambao wanafanya mafungamano mema na wengine mabaya katika hadith hii utapata kujua namna mapito ya wanadamu yanavyoweza kuwapeleka katika mafungamano mabaya...



Created/Directed by

C.E.O WA mwenenu media oamoja na washuka dau Tunachukua nafsi hii kumtakia khiri ya siku ya mfanono wa ku,aliwa kwake Mr...
27/01/2025

C.E.O WA mwenenu media oamoja na washuka dau Tunachukua nafsi hii kumtakia khiri ya siku ya mfanono wa ku,aliwa kwake Mrajis wa Baraza la sanaa na sensa ya Filamu Zanzibar

https://youtu.be/yGJdo7-dQWI?si=DuFRoFW-b_lvu6D2Matapeli waliojivika vazi la Askari wanakutana na kisiki cha mpingo dada...
16/01/2025

https://youtu.be/yGJdo7-dQWI?si=DuFRoFW-b_lvu6D2

Matapeli waliojivika vazi la Askari wanakutana na kisiki cha mpingo dada mkakamavu anawatoa nishai.....Karibu kuitazama sehemu ya 11 ya Misha za Kitaa

Raia wameibuka wamechoshwa na matendo ya mudi kila baba yake anakutana na kisanga cha lawama kwa majirani...

Vijana wawili waliokata tamaa ya kuendesha maisha yao  wanajiwa na wazo la kutapeli watu ilimkono uwende kinywa mbinu mb...
15/01/2025

Vijana wawili waliokata tamaa ya kuendesha maisha yao wanajiwa na wazo la kutapeli watu ilimkono uwende kinywa mbinu mbalimbali zinapangwa

Majiran na mamlaka za mtaa taarifa zinawafikia kwamba vija wanatumia mpaka sare za Jeshi ni ipi hatma ya vijana hawa....

Fuatilia Tamthilia hii ya mtandaoni kupitia ukurasa wetu wa youtube mwenenu media usisahau ku subscribe link inapatikana katika bio yetu





https://youtu.be/WDngNFI8txk?si=THoJ0EzQoaVEEpsRKila mtindo kila njia inatumika kuendesha maisha ya Mataperi Karim amefi...
12/01/2025

https://youtu.be/WDngNFI8txk?si=THoJ0EzQoaVEEpsR

Kila mtindo kila njia inatumika kuendesha maisha ya Mataperi Karim amefikia hatua kutumia nguo za Askari ....usisahau kusubscribe baada ya kutazama

sasa wahuni wanajidai ni aafisa wa jeshi la polisi gwanda zinatumika kutapeli watu kwa umakini mkubwa sana.......

Habari za muda huu mdau hii web seriess inapatikana youtube channe yetu ya youtube mwenenu media link kwenye bio yetu
10/01/2025

Habari za muda huu mdau hii web seriess inapatikana youtube channe yetu ya youtube mwenenu media link kwenye bio yetu

https://youtu.be/AxEPsigFjDE?si=BsZKj5xk7Dwy1JcXHabari za muda huu naomba nikukaribishe kuitazama sehemu hii ya Nane ya ...
05/01/2025

https://youtu.be/AxEPsigFjDE?si=BsZKj5xk7Dwy1JcX

Habari za muda huu naomba nikukaribishe kuitazama sehemu hii ya Nane ya Mishe za kitaa

Wakati Muddy na Krimu wakiendelea na utapeli wao mamlaka kupitia serikal za mtaa zinapata taarifa mpango unapangwa huku wauza haramu wanaingia mikononi mwa w...

Sehemu ya 8 inapatikana katika youtube channel yetu mwenenu media link ipo kwenye bio yetu bonyeza usisahau ku subscribe
05/01/2025

Sehemu ya 8 inapatikana katika youtube channel yetu mwenenu media link ipo kwenye bio yetu bonyeza usisahau ku subscribe

Hii ni taarifa kutoka mwenenu media inawatangazia nafasi ya kazi kwa mpigapicha nyongofu mwenye uwezo wa kupiga pivha na...
02/01/2025

Hii ni taarifa kutoka mwenenu media inawatangazia nafasi ya kazi kwa mpigapicha nyongofu mwenye uwezo wa kupiga pivha na kuhariri.

Hakikisha ni mkazi wa Zanzibar na unauzoefu katika uwanja wa filamu japo kidogo wasiliana nasi kwa namba
0625995872 whatsaap
0772591756 tupigie
Email [email protected]



Address

Mombasa Zanzibar
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwenenu Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwenenu Media:

Videos

Share