Al Noor Fm Zanzibar Mwangaza Kwa Umma

Al Noor Fm Zanzibar Mwangaza Kwa Umma AL-NOOR FM MWANGAZA KWA UMMA.
93.3 - UNGUJA /92.9-PEMBA.

TUNAKUKARIBISHA KATIKA KONGAMANO LA NNE MWAKA LA KARIBU RAMADHAN PALEE SKULI YA SEC BUBUBU ZANZIBAR TUWASILIANE KUOATA T...
31/01/2025

TUNAKUKARIBISHA KATIKA KONGAMANO LA NNE MWAKA LA KARIBU RAMADHAN PALEE SKULI YA SEC BUBUBU ZANZIBAR TUWASILIANE KUOATA TIKET YAKO MAPEMA.
0774419870.

Fursa Kwa vijana wa Zanzibar.
23/05/2024

Fursa Kwa vijana wa Zanzibar.

Tunapenda kukukaribisheni kwenye tamasha kubwa la rahatul Eid wahi tiket yako mapema lwani nafasi zimebakia chache.
22/05/2024

Tunapenda kukukaribisheni kwenye tamasha kubwa la rahatul Eid wahi tiket yako mapema lwani nafasi zimebakia chache.

19/07/2023

Kipindi Cha Nuru yetu Asbuhi karibuni.

Ramadhan kariim waswaum maqbul.
02/04/2023

Ramadhan kariim waswaum maqbul.

01/04/2023
13/02/2023
RAIS DK.MWINYI ASISITIZA UHARAKA WA UANZISHWAJI MAHKAMA YA RUSHWA NA  UHUJUMU UCHUMI ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyek...
13/02/2023

RAIS DK.MWINYI ASISITIZA UHARAKA WA UANZISHWAJI MAHKAMA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma.

Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza kufarijika kwamba tayari kamati ya wataalamu imeundwa kusimamia na kuratibu mchakato wa kuanzishwa kwa Mahkama hiyo.

Ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar, Tunguu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.

Katika maadhimisho hayo Rais Dk.Mwinyi amezindua Bendera na Nembo rasmi ya Mahkama ya Zanzibar na kupokea ripoti ya utendaji kazi wa Mwaka 2022.

Alisema Serikali itatoa kipaumbele kikubwa katika bajeti yake kwenye matumizi ya Tehama na uimarishaji miundo mbinu ya taasisi za Sheria nchini.

https://youtu.be/9M37OdFB328
15/01/2023

https://youtu.be/9M37OdFB328

Endelea kutufuatilia pia Tuskilize kupitia 93.3 Unguja na 92.9 Pemba.Hii ni Raio AL-NOOR Mwanaza kwa Umma.

Address

MTONI KITADU
Zanzibar City

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Noor Fm Zanzibar Mwangaza Kwa Umma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Al Noor Fm Zanzibar Mwangaza Kwa Umma:

Videos

Share