YRx Newz

YRx Newz Kuwa wa kwaza kuhabarika kupitia YRX NEWS

07/11/2021
Timu ya Simba SC yamtangaza Pablo Franco kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo
07/11/2021

Timu ya Simba SC yamtangaza Pablo Franco kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo



Msanii Harmonize maarufu k**a Konde Boy Tayari ameichia rasmi album yake inayokwenda kwa Jina la High School yenye jumla...
05/11/2021

Msanii Harmonize maarufu k**a Konde Boy Tayari ameichia rasmi album yake inayokwenda kwa Jina la High School yenye jumla ya ngoma 20. Kwasasa "High School" inapatikana kupitia majukwaa mbalimbali ya ku-stream muziki mtandaoni.

Ikumbukwe hii ni album ya PILI kutoka kwa Konde Boy Jeshi ikiifuata “Afro East” iliyotoka mwezi Machi mwaka 2020, ambayo ni miongoni mwa album kumi bora katika mtandao wa BOOMPLAY Afrika Mashariki.



Baada ya mchezo kumalizika
03/11/2021

Baada ya mchezo kumalizika




Mechi za leo NBC Premium League
03/11/2021

Mechi za leo NBC Premium League




Leo tunajambo letu hatutaki fujo timu ya wenye Nchi
03/11/2021

Leo tunajambo letu hatutaki fujo timu ya wenye Nchi




Neno moja baada ya kuangalia soccer biriani leo ni siku tulivu kwa wananchi
02/11/2021

Neno moja baada ya kuangalia soccer biriani leo ni siku tulivu kwa wananchi





So Mtanzania huyu mtoto kwao ni Brazil kwa kiwango hiki
02/11/2021

So Mtanzania huyu mtoto kwao ni Brazil kwa kiwango hiki




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mk...
02/11/2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 November 2021




Mechi za leo NBC Premium League
02/11/2021

Mechi za leo NBC Premium League





Sisi ni Yanga, je? K**a shabiki wa yanga neno moja kwake kuelekea kwenye pira la biriani
02/11/2021

Sisi ni Yanga, je? K**a shabiki wa yanga neno moja kwake kuelekea kwenye pira la biriani


Siku k**a ya leo mwaka 2016 Bingwa wa soka Lionel Messi alikua mfungaji bora wa muda wote wa hatua ya makundi ya Ligi ya...
01/11/2021

Siku k**a ya leo mwaka 2016 Bingwa wa soka Lionel Messi alikua mfungaji bora wa muda wote wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa.



Nuno Espirito Santo amefukuzwa kazi rasmi kwenye timu ya Tottenham kutokana na matokeo mabovu baada ya kudumu kipindi ch...
01/11/2021

Nuno Espirito Santo amefukuzwa kazi rasmi kwenye timu ya Tottenham kutokana na matokeo mabovu baada ya kudumu kipindi cha miezi 4 akiongoza mechi 17



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan Jana October 31, 2021 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maal...
01/11/2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan Jana October 31, 2021 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya biashara, Lord Walney katika mji wa Glasgow, Scotland

Lord amekutana na Rais Samia kujitambulisha akiwa na jukumu la kuwa kiungo kati ya Tanzania na Uingereza kuhusu masuala ya biashara, uwekezaji na utalii na amesema kukutana kwake na Rais Samia kumempa fursa ya kujua vipaumbele vya Serikali ya Tanzania ambavyo vitamwezesha kuwashawishi zaidi Wafanya biashara wa Uingereza kuwekeza katika sekta ya biashara na utalii nchini Tanzania.



Baada ya pira biriani kumalizikaNeno moja kwa mchezo wa leo
31/10/2021

Baada ya pira biriani kumalizika

Neno moja kwa mchezo wa leo








Takwimu zinaonesha Simba SC haijawahi kupokwanywa point 3 za mchezo na Costal UnionJe? Leo utabiri wako upo wapi
31/10/2021

Takwimu zinaonesha Simba SC haijawahi kupokwanywa point 3 za mchezo na Costal Union
Je? Leo utabiri wako upo wapi








  Mradi huu mkubwa unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unaohusisha ujenzi wa nyumba za makaazi 1000 katika...
31/10/2021

Mradi huu mkubwa unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unaohusisha ujenzi wa nyumba za makaazi 1000 katika Jiji la Dodoma utagharimu Shilling Billion 71 hadi kukamilika, awamu hii ya kwanza yenye nyumba 404 itagharimu shilling billion 21.4 na kazi kubwa ya ujenzi itakamikika ifikapo Desemba 2021 na kubakiwa na ukamilishaji wa kazi chache za njee ambazo nazo zitaisha mwezi wa January 2022



Address

Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YRx Newz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YRx Newz:

Share