History And Amazing Things

History And Amazing Things A reference site for Historical events, Amaizing nature, Herbs, News Updates, Affairs & Sports tips.

  NATURE:Here is the real meaning of "Poison" and "Venomous"βœπŸ‘
13/02/2025

NATURE:
Here is the real meaning of "Poison" and "Venomous"βœπŸ‘

  TODAY IN HISTORY(Katika Historia Leo):Wakati teknolojia mpya zinazuka na kutoweka, redio imeendelea kuwa chombo muhimu...
13/02/2025

TODAY IN HISTORY
(Katika Historia Leo):
Wakati teknolojia mpya zinazuka na kutoweka, redio imeendelea kuwa chombo muhimu cha mawasiliano wakati wa dharura na majanga ya mabadiliko ya tabianchi na zaidi.

Leo, tunaungana na UNESCO kuadhimisha Siku ya Redio Duniani, tukikumbuka mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jamii zetu.

  Hii ndio Premier League...πŸ€”πŸ”₯Ile watu wanaita muosha nayeye huoshwa!..
02/02/2025

Hii ndio Premier League...πŸ€”πŸ”₯
Ile watu wanaita muosha nayeye huoshwa!..

  TAKWIMU:Fahamu, Mikoa yenye watu zaidi ya milioni tatu kwa sensa ya anuani na makazi iliyofanyika hivi karibuni  "Dar ...
27/01/2025

TAKWIMU:
Fahamu, Mikoa yenye watu zaidi ya milioni tatu kwa sensa ya anuani na makazi iliyofanyika hivi karibuni "
Dar es salaam ina jumlya wa watu 5,282,728"

Mwanza watu: 3,699,872,
3,391,679,
3,197,104 na
3,085,625. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Follow me: www.facebook.com/stewart.meena
πŸ‘

  We want to wish you:.. (HAPPY NEWYEAR2025)
01/01/2025

We want to wish you:.. (HAPPY NEWYEAR2025)

  LEADING IS BY EXAMPLEKiongozi ni mtumishi wa kwanza, yaani boss anatakiwa kuwa mtumwa au mfanyakazi wa kwanza wa mfano...
28/12/2024

LEADING IS BY EXAMPLE

Kiongozi ni mtumishi wa kwanza, yaani boss anatakiwa kuwa mtumwa au mfanyakazi wa kwanza wa mfano.

(Pichani) Ni kuku na bata pamoja na wanawe" Katika ulinzi na uongozi, huwatanguliza mbele wanawe na yeye hufuatia nyuma na kuwalinda dhidi ya mwewe na adui wengineo.πŸ€”

Ila yeye hutangulia mbele na kuwaacha wanawe nyuma..πŸ€”
Hii imekaaje kiulinzi!?

Na je! Kwa mtazamo wako, kwa falsafa ya uongozi kati ya kuku na bata, ni upi mfano wa kiongozi bora!? na kwanini!?
✍

NB: Ndoto ni uliyoyafikia na sio kile ulichokiota ukiwa umelala.

  Wanna wish to you and your family a very blessing  and NewYear to come2025.πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ’πŸ’
25/12/2024

Wanna wish to you and your family a very blessing
and NewYear to come2025.
πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ’πŸ’

  BELIEFSπŸ€”βœHizi bangili: UkiachiliaKuwa ni urembo, lakini pia kuna baadhi ya jamii za kiafrika (waTanzania) huzitumia k*...
23/12/2024

BELIEFSπŸ€”βœ

Hizi bangili: Ukiachilia
Kuwa ni urembo, lakini pia kuna baadhi ya jamii za kiafrika (waTanzania) huzitumia k**a ya mambo mbalimbali kwa imani zao wanavyoamini.

kuna nadharia (utafiti) inayosema, shaba (brass) na kopa (copper) inazuia mionzi ya Jua, radi nk. Ona ilivyo mfano wa esii-za umeme.

Nyingine" husema na kopa, inaimarisha viungo vya mwili, ata K**a una mtoto anasumbua kutembea mnunulie Halafu mvalishe atatembea haraka na upesi.

Lakin pia wapo wengine, wanaweza kwenda sehemu na kuifanyizia dawa na ikatumika K**a Kinga dhidi ya wachawi.

Hizi zenye ya kopa, nyingine hutumika k**a kinga yakuondoa na kuzuia sumu ya nyoka, ukienda ugenini ukawa na wasiwasi wa kupigwa zongo (itumbukize kwenye chakula kile au maji na zongo haitokushika) 😱

Je! Wewe unazifahamu hizi, na je unazitumia au ulisahawahi zitumia!?
Tupe maoni yako hapa unavyozifahamu.

Tafadhali Like page, follow na share kwa marafiki zako nao wakamilishe utafiti huu.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ‡°πŸ‡ͺ
πŸ‡ΊπŸ‡¬

TATIZO LA KUNUKA KINYWA (MDOMO) SASA BASI✍ Mr. MeenaWatu wengi nyakati hizi wamekuwa na tatizo la kutoa harufu mbaya ya ...
16/12/2024

TATIZO LA KUNUKA KINYWA (MDOMO) SASA BASI
✍ Mr. Meena

Watu wengi nyakati hizi wamekuwa na tatizo la kutoa harufu mbaya ya kinywa, licha ya kuwa wanaswaki k**a kawaida, lakini bado imeendelea kua changamoto.

Tatizo hili, kitaalamu linathibitishwa kutokana na bakteria, pamoja na kubakia kwa mabaki ya vyakula kusipoweza kufikika kiurahisi na mswaki k**a vile katikati ya meno "Fizi" na kwenye ulimi, hivyo bila kuzichokonoa hubakia na kutoa harufu ya uvundo pindi unapokaa muda mrefu bila kuzungumza na hapo ndipo bakteria hufanya kazi.

HII HAPA TIBA ASILIA YA KUZUIA TATIZO HILI LA HARUFU MBAYA YA KINYWA.

Chukua na uchanganye na , kisha swakia au sukutu-a "lia" mdomoni kila asubuhi, hiyo itasaidia kuua bacteria wanaoliozesha jino na kutengeneza harufu hiyo mbaya ya kinywa.

Chukua , changanya na Unga " (baking soda) mchanganyiko huo Huyafanya meno yako kuwa meupe hasa kwa wae weye meno meusi haswa waliozaliwa maeneo ambayo maji ya bomba huwa na asili ya magadi (k**a ilivyo mkoa wa Arusha)

Ukichukua hiyohiyo na kuchanganya na , na ukaswakia itasaidia kulinda meno yako na kuzuia kuoza.

Wale wa mikoa ya , chukua changanya na jani la , tafuna majira ya asubuhi ukijiandaa kwenda katika mihangaiko yako ya kutwa kunuka kwa Kinywa.

πŸ™ Asante: Share na wengine nao waelimike: Pia kuLike page au kuFollow kwa Updates nyinginezo.
✍ Meena

  NATUREThe nature is soo cruel, it's survival for the fittest. 😭Credit: The World Animal
06/12/2024

NATURE
The nature is soo cruel, it's survival for the fittest. 😭

Credit: The World Animal

 Ratiba kamili: Michuano mipya ya kombe la dunia katika ngazi ya vilabu, (2025) imepangwa usiku wa kuamkia leo ambapo im...
06/12/2024


Ratiba kamili: Michuano mipya ya kombe la dunia katika ngazi ya vilabu, (2025) imepangwa usiku wa kuamkia leo ambapo imegawanywa katika makundi nane.

Timu kutoka Afrika zimewekwa kwenye kundi A, D na F"

  Baada ya michezo 13 ya Ligi kuu nchini Uingereza, hakuna cha kuwatenganisha Arsenal na Chelsea. 🀩K**a inavyosomeka, wa...
03/12/2024


Baada ya michezo 13 ya Ligi kuu nchini Uingereza, hakuna cha kuwatenganisha Arsenal na Chelsea. 🀩

K**a inavyosomeka, wamefungana kwa kila kitu "kuanzia magoli ya kufunga na kufungwa, pointi walizokusanya... nk. Hivyo Arsenal wapo juu ya kwa sababu tu ya Silabi ya kwanza ya jina lake (Alphabetical rules!)

  FEAR NON πŸ€©πŸ˜‚πŸ€” Ladies and Gentlemen: Apart from Mr. Kasongo, Here is   and its bravery"✍ They're the Ferocious creatures...
01/12/2024

FEAR NON πŸ€©πŸ˜‚
πŸ€” Ladies and Gentlemen: Apart from Mr. Kasongo, Here is and its bravery"

✍ They're the Ferocious creatures and are utterly amazing" we may call them (Lightweight champion of the world wilderness 🀩)

✍ I think it is a time now to update the new List on the least Top Small Game Hunters πŸ’ͺ🀩

  Jumla ya timu zilizofuzu kucheza michuano mipya ya kombe la dunia ngazi za vilabu yanayotarajiwa kufanyika baadae nchi...
01/12/2024

Jumla ya timu zilizofuzu kucheza michuano mipya ya kombe la dunia ngazi za vilabu yanayotarajiwa kufanyika baadae nchini Marekani.

Nani atacheza na nani! Kujulikana ifikapo ijuma ya wiki inayoanza kesho!
πŸ‘ unamuona nani hapo akichukua!? Tusubiri tuone,!

  NATUREFahamu eneo moja la   nchini japani, lipo ndani ya kilima cha Volcano ambamo ndani ya hiyohiyo volcano, kunapari...
28/11/2024

NATURE
Fahamu eneo moja la nchini japani, lipo ndani ya kilima cha Volcano ambamo ndani ya hiyohiyo volcano, kunaparikana volcano nyingine ndogo. 😱

Plz Like page or follow us for more updates: www.facebook.com/stewart.meena

 The group stage!... (W) Football! Tanzania nawaona palee Group C" ila majirani (Kenya) Siwaoni!.. hata huku pia imeshin...
24/11/2024


The group stage!... (W) Football! Tanzania nawaona palee Group C" ila majirani (Kenya) Siwaoni!.. hata huku pia imeshindikana!!

It's time Kenyan sports federation wake up..
The history gone too fast!

  BBC wrote: It's FIVE defeats in a row now for Pep Guardiola's Manchester City 😲Mabibi na mabwana" taratiiib' taratibu ...
24/11/2024

BBC wrote: It's FIVE defeats in a row now for Pep Guardiola's Manchester City 😲

Mabibi na mabwana" taratiiib' taratibu Pep Guardiola anabadilika na kuwa Erik Ten Hag aliyefutwa kazi Manchester United.
(Majirani zao wa jiji!? πŸ€”πŸ˜΄πŸ˜±πŸ€©

 Hatimaye  yamepatikana yatakayo shiriki kunako michuano ya   kule nchini Morocco huku kinachosubiriwa ni upangaji wa ma...
23/11/2024


Hatimaye
yamepatikana yatakayo shiriki kunako michuano ya kule nchini Morocco huku kinachosubiriwa ni upangaji wa makundi kwa mataifa yaliyofuzu.

Michezo hii inatarajiwa kuanza kutimua vumbi ifikapo mwakani, December 21 2025 hadi January 18 2026.

Address

Chumbageni
Tanga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 04:30

Telephone

+255778291375

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when History And Amazing Things posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to History And Amazing Things:

Videos

Share

Category