RujinamaTv

YouTube � https://youtube.com/channel/UCOyRiy0NkoHpedu7L6kBnRw
(Usiache KU_SUBSCRIBE CHANNEL YETU)
Kwa matangazo mbalimbali ya biashara yako, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0659862515 au 0773420141

🩸ASKOFU DR. DANIEL KWILEMBA, Rais Mpya TAKURAWA.TAASISI YA KUIMARISHA UCHUMI WA RAIA WAJASIRIAMALI TANZANIA.TUMEAMUA KUF...
06/12/2024

🩸ASKOFU DR. DANIEL KWILEMBA, Rais Mpya TAKURAWA.

TAASISI YA KUIMARISHA UCHUMI WA RAIA WAJASIRIAMALI TANZANIA.

TUMEAMUA KUFANYA NA TUNAFANYA TULICHOKIAMUA.

🩸TAKURAWA UPDATESTaasisi ya Kuimarisha Uchumi wa Raia Wajasiriamali Tanzania (Takurawa na Maendeleo Tanzania) wakati wa ...
03/12/2024

🩸TAKURAWA UPDATES

Taasisi ya Kuimarisha Uchumi wa Raia Wajasiriamali Tanzania (Takurawa na Maendeleo Tanzania) wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo, wakiungana na Mashirika, Sekta na makampuni mbalimbali wamejipambanua kuungana kwaajili ya wao kuwa fursa kwa wajasiliamali Nchini.

Akiyasema hayo Rais mteule wa Taasisi hiyo Bishop Dr Daniel Kwilemba Kwiyeya pamoja na Makamu wake wa Rais Dr Angelina Adam Malembeka (Mb) siku ya uzinduzi jijini Dar-Es-Salaam Tar.29/11/2024.

TAKURAWA NA MAENDELEO TANZANIA

TUMEAMUA KUFANYA NA TUNAFANYA TULICHOKIAMUA.

Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kuimarisha Uchumi wa Raia Wajasiriamali na Maendeleo Tanzania  Maendeleo Tanzania) Apost...
03/12/2024

Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kuimarisha Uchumi wa Raia Wajasiriamali na Maendeleo Tanzania Maendeleo Tanzania) Apostle Peter akiwa ziarani Arusha kwaajili ya kuunda kamati ya uongozi Kanda ya Arusha.

Aidha amewataka viongozi hao kujipanga mapema kuelekea kwenye utekelezaji wa miradi January mwaka 2025.

TAKURAWA NA MAENDELEO TANZANIA

TUMEAMUA KUFANYA NA TUNAFANYA TULICHOKIAMUA

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RujinamaTv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to RujinamaTv:

Share