Swahili Breaking News

Swahili Breaking News Bonyeza follow button ili uweze kupata habari mbalimbali za michezo na burudani.
(1)

"Kwangu mimi huyu ndiye kaiamua mechi vinginevyo ilikua msiba huyu ndiye man of the match"Maneno ya shabiki,Je unakubali...
27/11/2024

"Kwangu mimi huyu ndiye kaiamua mechi vinginevyo ilikua msiba huyu ndiye man of the match"

Maneno ya shabiki,Je unakubaliana nae?

Follow Swahili Breaking News

CEO mpya wa Simba SC Tanzania ,Neno moja kwake.Follow Swahili Breaking News
23/11/2024

CEO mpya wa Simba SC Tanzania ,Neno moja kwake.

Follow Swahili Breaking News

"Meneja wa habari na mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe amesema kuwa hakuna mchezaji yoyote kutoka timu nyingine 14 za l...
23/11/2024

"Meneja wa habari na mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe amesema kuwa hakuna mchezaji yoyote kutoka timu nyingine 14 za ligi kuu ambae anaweza kuanza kwenye kikosi cha Yanga"

Follow Swahili Breaking News

🎯 OFFICIAL: Klabu ya Simba imetangaza kuachana na aliyekuwa CEO wa Klabu hiyo,Francois Regus kwa sababu zilizo nje ya Uw...
23/11/2024

🎯 OFFICIAL: Klabu ya Simba imetangaza kuachana na aliyekuwa CEO wa Klabu hiyo,Francois Regus kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wa Simba.
Baada ya Simba kuachana na Mtendaji huyo,Simba pia imetangaza kumteua Bi Zubeda Hassan Sankuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo.

“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”🗣️ Mh Said...
22/11/2024

“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”

🗣️ Mh Said Mtanda: Via Crown Sports

Hakikisha unafollow Swahili Breaking News

22/11/2024

Tuwaombee ndugu zetu wa nimepenyezewa apa kwamba akianguka mjusi tu akikimbia mmoja wote waliobakia wanamwaga moto!!!

Hakikisha unafollow Swahili Breaking News page

Hizi taarifa kua kuna uwezekano stars ikanyang'anywa tiketi ya kushiriki   ni za kweli?
21/11/2024

Hizi taarifa kua kuna uwezekano stars ikanyang'anywa tiketi ya kushiriki ni za kweli?

Luataro Martinez anaweka chuma cha kwanza,1-0 kwa Argentina.
20/11/2024

Luataro Martinez anaweka chuma cha kwanza,1-0 kwa Argentina.

Ila mpira mchezo wa ajabu sana.Fikiria leo mashabiki wa Simba SC Tanzania walikua wanaombea Camara afungwe 😀.Ndo ile wan...
19/11/2024

Ila mpira mchezo wa ajabu sana.Fikiria leo mashabiki wa Simba SC Tanzania walikua wanaombea Camara afungwe 😀.

Ndo ile wanasema usimuamini yeyote.

Vijana wamepambana sana,Haikua kazi rahisi kumuondoa Guinea ambae alikua mwanarobo fainali kwenye AFCON iliyopita.
19/11/2024

Vijana wamepambana sana,Haikua kazi rahisi kumuondoa Guinea ambae alikua mwanarobo fainali kwenye AFCON iliyopita.

Kipi kifanyike,Nini maoni yako Mwanasimba?
20/10/2024

Kipi kifanyike,Nini maoni yako Mwanasimba?

Vipi mwanasimba unaipa timu yako asilimia ngapi kufuzu robo fainali   ?
07/10/2024

Vipi mwanasimba unaipa timu yako asilimia ngapi kufuzu robo fainali ?

Jana sikupata muda wa kujadili matokeo ya Simba SC Tanzania na Coastal Union kutokana na majukumu.Mwanasimba una maoni g...
05/10/2024

Jana sikupata muda wa kujadili matokeo ya Simba SC Tanzania na Coastal Union kutokana na majukumu.

Mwanasimba una maoni gani kuhusu mchezo huo unadhani kipi kirekebishwe?

05/10/2024

Mpeleke mwanao shule ya Eckernforde English Medium.
Ipo chumbageni karibu na kituo cha polisi Tanga.
Shule ina walimu waliobobea kwenye fani zao.
Pia Kuna Eckernforde Cambridge Secondary school.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0657551007
0764953007

Nyote mnakaribishwa.

̈rde

Hii vipi tena? Is this real?
04/10/2024

Hii vipi tena? Is this real?

26/09/2024

22' Azam 0-1 Simba SC
⚽ Lionel Ateba

SIMBA YAISHUSHA YANGA KWENYE RANK ZA CAF Unaweza kusema Yanga imedumu Kwa masaa machache tu ikiwa Juu ya Simba SC Kwenye...
22/09/2024

SIMBA YAISHUSHA YANGA KWENYE RANK ZA CAF

Unaweza kusema Yanga imedumu Kwa masaa machache tu ikiwa Juu ya Simba SC Kwenye Rank za CAF

Baada ya Ushindi wa Leo Simba SC imeongeza point 2.5 na kufanikiwa kurudi juu ya Yanga kwenye Ranks za CAF Ikifikisha Point 30.5, hii inakuja Baada ya kuikanda Al Ahly tripoli kutoka Libya Mabao Matatu

Mkubwa Mkubwa tu 😄

Vipi mwanasimba unadhani Simba SC Tanzania itafuzu makundi kwa Mkapa?
15/09/2024

Vipi mwanasimba unadhani Simba SC Tanzania itafuzu makundi kwa Mkapa?

Address

Kwamndolwa
Tanga

Telephone

+255753442886

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Breaking News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Breaking News:

Videos

Share