JMedia

JMedia Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JMedia, Media/News Company, Tanga.

New Film 2025.....…
21/01/2025

New Film 2025.....…

Si kila kitu katika Dunia hii tunavijua kwa mazoea, bali vyengine tunaweza kujifunza kutokana na mazingira husika.

21/06/2024
Lanzoni sec.school yapokea sh. Milioni 2 kutoka kwa mh. Naibu waziri wa maliasili na utalii na mbunge wa Jimbo la mkinga...
25/10/2023

Lanzoni sec.school yapokea sh. Milioni 2 kutoka kwa mh. Naibu waziri wa maliasili na utalii na mbunge wa Jimbo la mkinga ndg. Dastan Kitandula katika zoezi la harambee ya kuchangia samani za shule. Fedha Hizo zimekabidhiwa tare 21/10/2023 katika mahafali ya 25 katika shule hiyo.ikiwa lanzoni secondar yaendelea kufanya vyema katika ufulu wilayani mkinga.

Kongole kijana wangu kwa kuhitimu elimu yako ya kidato Cha nne katika shule ya secondar Tanga school. Shule yenye histor...
25/10/2023

Kongole kijana wangu kwa kuhitimu elimu yako ya kidato Cha nne katika shule ya secondar Tanga school. Shule yenye historia nchini Tanzania na Baran Africa kiujumla

Tunaendelea kupasua mawimbi
31/07/2023

Tunaendelea kupasua mawimbi

29/06/2023

Jmedia popote Kambi.

Vingozi wa JAMII MPYA wilaya ya mkinga Tanga  watembelea ofisi ya ccm kisiwa ndui Zanzibar na kudhuru kaburi la hayati A...
29/06/2023

Vingozi wa JAMII MPYA wilaya ya mkinga Tanga watembelea ofisi ya ccm kisiwa ndui Zanzibar na kudhuru kaburi la hayati Aman abedi karume aliyekua rais wa kwanza wa sr ya painduzi zanzibar.

Nitalitumikia Taifa langu kwa kufuata maelekezo ya wakubwa katika nchi yangu
09/06/2023

Nitalitumikia Taifa langu kwa kufuata maelekezo ya wakubwa katika nchi yangu

Salamu ziwafikie.......
16/05/2023

Salamu ziwafikie.......

Nikazi nzuri ya vijana wa kitanzania kuhakikisha wanaelimisha jamii.
01/04/2023

Nikazi nzuri ya vijana wa kitanzania kuhakikisha wanaelimisha jamii.

Alichokisema mwenyekiti wa TDFA mkoa wa Tanga( mtoto wa marehemu mzee majuto) kwa Rais mama Samia.
01/04/2023

Alichokisema mwenyekiti wa TDFA mkoa wa Tanga( mtoto wa marehemu mzee majuto) kwa Rais mama Samia.

Address

Tanga

Telephone

+255714424447

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JMedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share