NENGO TV

NENGO TV NENGO MEDIA : We're the best Hakikisha una share Page kwa marafiki zako

Sisi ni ndugu! Mmenikanda sawa! Nasupu basi nisihusike hapana tuko pamoja.
12/11/2023

Sisi ni ndugu! Mmenikanda sawa! Nasupu basi nisihusike hapana tuko pamoja.

Wananchi leo ni Nyaamm day
12/11/2023

Wananchi leo ni Nyaamm day

Mwite Simba la Masimba dangote
01/11/2023

Mwite Simba la Masimba dangote

Baada ya kufunga goli pekee la ushindi dhidi ya Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Embolo alionesha ishara ya kuomba msamaha.Embolo alizaliwa Y...
24/11/2022

Baada ya kufunga goli pekee la ushindi dhidi ya Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Embolo alionesha ishara ya kuomba msamaha.

Embolo alizaliwa Younde Nchini Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ mwaka (1997). Akiwa na umri wa miaka (5) wazazi wake walitengana akaondoka na mama yake hadi Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท, huko mama yake akapata mme (Baba wa kambo wa Embolo) ambaye ni raia wa Switzerland ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ

Embolo (25) alikulia Switzerland na akapewa Uraia mwaka (2014) akajumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Switzerland ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ ambapo leo November 24/2022 amepeleka kilio kwenye Nchi yake ya asili ๐Ÿ™„

Full ๐Ÿ•ก Switzerland ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ 1 - 0 ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Cameroon
48' ๐Ÿ•ก Breel Embolo โšฝ

Muonekano mpya wa Allison Becker ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
24/11/2022

Muonekano mpya wa Allison Becker ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

Assists mbili alizopiga Bruno Fernandes dhidi ya Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ni za kiwango cha STANDARD GAUGE
24/11/2022

Assists mbili alizopiga Bruno Fernandes dhidi ya Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ni za kiwango cha STANDARD GAUGE

Full ๐Ÿ•ก Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 3 - 2 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana65'  ๐Ÿ•ก Cristiano Ronaldo (Pen) โšฝ78'  ๐Ÿ•ก Joao Felix โšฝ80'  ๐Ÿ•ก Raphael Leao โšฝ73'  ๐Ÿ•ก Andrew A...
24/11/2022

Full ๐Ÿ•ก Portugal ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 3 - 2 ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana
65' ๐Ÿ•ก Cristiano Ronaldo (Pen) โšฝ
78' ๐Ÿ•ก Joao Felix โšฝ
80' ๐Ÿ•ก Raphael Leao โšฝ

73' ๐Ÿ•ก Andrew Ayew โšฝ
85' ๐Ÿ•ก Bukari โšฝ

๐Ÿ“Œ Ghana imekuwa timu ya kwanza kutoka Africa kufunga bao kwenye michuano ya kombe la Dunia 2022 Qatar ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ

๐Ÿ“Œ Free agent Cristiano Ronaldo amekuwa binadamu wa kwanza kufunga bao kwenye fainali (5) tofauti na mfululizo za kombe la Dunia kwenye historia.

๐Ÿ“Œ Cristiano Ronaldo amekuwa binadamu wa kwanza kutoka Ulaya kucheza mfululizo kwenye tournament kubwa (10) Ulaya.

2004 - Euros
2006 - World cup
2008 - Euros
2010 - World cup
2012 - Euros
2014 - World cup
2016 - Euros
2018 - World cup
2020 - Euris
2022 - World cup

NB ; Bukari baada ya kufunga bao dakika ya 89' alishangilia kwa style ya Cristiano Ronaldo SIUUUUUU ๐Ÿ˜

Yani huyu Lomalisa ni hatari na nusu ๐Ÿ™Œ
17/11/2022

Yani huyu Lomalisa ni hatari na nusu ๐Ÿ™Œ

Kunauwezekano Yanga wako angani โœˆ๏ธ
10/11/2022

Kunauwezekano Yanga wako angani โœˆ๏ธ

Ndugu waandishi wa habari na wapenzi wa Club Africain nimefikia uamuzi wa KUJIUZU URAIS kwa kuwa nimeumizwa na matokeo  ...
10/11/2022

Ndugu waandishi wa habari na wapenzi wa Club Africain nimefikia uamuzi wa KUJIUZU URAIS kwa kuwa nimeumizwa na matokeo ambayo yanakwenda kinyume na malengo yetu tuliyojiwekea k**a viongozi kwa dhamana tuliyopewa"

๐Ÿ” Youssef Elmi Rais wa Club Africain

Kimenuka  Rais wa Club Africain ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ, Youssef El Almi pamoja na wajumbe wa bodi ya usimamizi wa klabu hiyo  WAMEJIUZULU ny...
10/11/2022

Kimenuka Rais wa Club Africain ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ, Youssef El Almi pamoja na wajumbe wa bodi ya usimamizi wa klabu hiyo WAMEJIUZULU nyadhifa zao katika klabu hiyo baada ya kupoteza Mchezo dhidi ya Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na kushindwa kufuzu hatua ya makundi Confederations cup.

Yanga imepostiwa na (CAF)Away win and Qualification Young Africans SC secure their spot in the 2022/23 TotalEnergiesCAFC...
10/11/2022

Yanga imepostiwa na (CAF)

Away win and Qualification Young Africans SC secure their spot in the 2022/23 TotalEnergiesCAFCC group stage

๐Ÿ” CAFCC

Mwamba huyuhapa sasa
10/11/2022

Mwamba huyuhapa sasa

Tunaiitaje hii?
10/11/2022

Tunaiitaje hii?

.... Wameanza kula matapishi ๐Ÿคฎ Hivi Yanga mnalilia sifa kutoka kwa Jemedari ? ๐Ÿ˜œ"Hii sasa ndio ile YANGA inayocheza ligi ...
10/11/2022

.... Wameanza kula matapishi ๐Ÿคฎ Hivi Yanga mnalilia sifa kutoka kwa Jemedari ? ๐Ÿ˜œ

"Hii sasa ndio ile YANGA inayocheza ligi kuu ya NBC .... Leo MNASTAHIKI sifa zile ambazo mmekuwa mkizililia kutoka kwangu. Kiwango k**a hiki kikiwekwa kiwanjani kila siku kwenye mechi za kimataifa nani ataacha kuwapa SIFA,, Labda mchawi pekee"

"Leo mmeonesha kwa nini ni mabingwa wa Nchi na REKODI ya 45 games UNBEATEN. Hiki kiwango kihamishiwe group stage maisha kwa Mkapa yatakuwa marahisi wala hamhitaji kuwalazimisha watu kuingia kwenye dressing room"

๐Ÿ” Jemedari Said mchambuzi

.... Mabingwa watetezi wa kombe la shirikisho, RS Berkane na vigogo wenzie, Club Africain ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ na CS Sfaxien ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ wote wamet...
10/11/2022

.... Mabingwa watetezi wa kombe la shirikisho, RS Berkane na vigogo wenzie, Club Africain ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ na CS Sfaxien ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ wote wametupwa nje ya mashindano ๐Ÿง

Timu zilizofuzu makundi shirikisho !

01. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans - Tanzania
02. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ US Monastir - Tunisia
04. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ M. Gallants - S. Africa
04. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Saint Lupopo - Dr Congo
05. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ ASKO de Kara - Togo
06. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ Diables - Congo Brazaville
07. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Plateau United - Nigeria
08. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ASEC Mimosas - Ivorycoast
09. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Future FC - Egypt
10. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Real Bamako - Guinea
11. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ TP Mazembe - Dr Congo
12. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids - Egypt
13. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger - Algeria
14. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ FAR Rabat - Morocco
15. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Rivers United - Nigeria

Matokeo yote ya leo shirikisho ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Club Africain 0 - 1 Yanga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (0-1)
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ RS Berkane 0 - 0 Monastir ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ (0-1)
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Gallants 3 - 0 Al Ahli Tripoli ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ (3-1)
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Lupopo 1 - 0 Kadiogo ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ (2-0)
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ CS Sfaxien 0 - 0 Kara ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฌ (1-2)
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฌ Diables 4 - 2 La Passe ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ (6-2)
๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ Al Akhdar 3 - 0 Plateau Utd ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ (4-4)
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Gagnoa 2 - 3 ASEC ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ (2-5)

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Future (3) 1 - 1 (2) De Agosto ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด (2-2)
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Bamako 3 - 1 Royal Leopard ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ (4-2)
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Royal AM 0 - 1 TP Mazembe ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ (0-3)
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids 3 - 0 Nigelec ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ช (3-1)
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger 1 - 0 Capetown city ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Motemapembe 2 - 1 Flambeau ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ (4-1)
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ FAR Rabat 4 - 0 Djoliba ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ (4-0)
๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ Al Nasr 1 - 1 Rivers Utd ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ (1-6)

NB ; Dro ya makundi itachezwa November 16/2022 Jijini Cairo Egypt๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ

Address

Tabora

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NENGO TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category