MAMBO MSETO

MAMBO MSETO PATA USHAURI KUHUSU KILIMO

U*i wa Yanga wa kimataifa
20/11/2024

U*i wa Yanga wa kimataifa

20/11/2024
Patrice Motsepe wa Afrika Kusini anatarajia kurejea kwa muhula wa pili k**a Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF) b...
15/11/2024

Patrice Motsepe wa Afrika Kusini anatarajia kurejea kwa muhula wa pili k**a Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF) baada ya kuwa Mgombea pekee katika nafasi hiyo.

Motsepe alichukua mikoba ya Ahmad Ahmad wa Madagascar Machi 2021 na sasa anatazamiwa kuendelea kuongoza bodi inayosimamia soka barani Afrika baada ya kutokuwa na mpinzani.

Kando na kura ya Urais wa CAF, uchaguzi pia utaamua Wajumbe wapya wa Kamati ya Utendaji ya CAF na Wawakilishi wa Afrika kwenye Baraza la FIFA.

Amaju Pinnick wa Nigeria na Fouzi Lekjaa wa Morocco ni wanachama wa Baraza la FIFA na wanatarajia kutetea viti vyao.

Uchaguzi huo utafanyika Machi 12,2025 huko Cairo, Misri wakati wa Mkutano Mkuu wa CAF.

01/11/2024

Tanzania na Rwanda

24/10/2024

Vipaji

Address

Shinyanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAMBO MSETO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAMBO MSETO:

Videos

Share