Kalungwa TV

Kalungwa TV Ukurasa maalum wa habari za kijamii, siasa, uchumi, michezo na burudani.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OCTOBA 20, 2024
19/10/2024

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OCTOBA 20, 2024

in Magazeti MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OCTOBA 20, 2024 by admin October 20, 2024, 12:52 am 1 View 0share Facebook LinkedIn Leave a ReplyCancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser fo...

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Oktoba 18, 2024 limezindua kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" yenye lengo la ...
18/10/2024

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Oktoba 18, 2024 limezindua kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" yenye lengo la kufikisha ujumbe kwa wanafunzi wote wa Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati mkoani humo. Kampeni hiyo imezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude ambapo amelipongeza Jeshi la Polisi kupitia kitengo cha dawati la Jinsia na watoto kwa kubuni na kuzindua kampeni hiyo yenye lengo la kuwajengea uwezo watoto na vijana kuweza kutambua hatari na kuchukua tahadhari ili wasijiunge katika makundi ambayo yanaweza kupelekea kutofikia ndoto zao....

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Oktoba 18, 2024 limezindua kampeni ya 'Tuwaambie kabla hawajaharibiwa' yenye lengo la kufikisha ujumbe kwa wanafunzi wote wa Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati mkoani humo.Kampeni hiyo imezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude ambapo ameli...

MAGAZETI YA LEO JUMATATU OKTOBA 14, 2024
14/10/2024

MAGAZETI YA LEO JUMATATU OKTOBA 14, 2024

in Magazeti MAGAZETI YA LEO JUMATATU OKTOBA 14, 2024 by admin October 14, 2024, 9:18 am 1 View 0share Facebook LinkedIn Leave a ReplyCancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for...

Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Onesmo Lyanga Oktoba 12, 2024 ametembelea na ...
13/10/2024

Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Onesmo Lyanga Oktoba 12, 2024 ametembelea na kukagua askari wa Operesheni Kambale inayoendelea katika Wilaya ya Tunduru eneo la Kijiji cha Lukumbule na Makande ambavyo vipo mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Msumbiji ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma. Akiwa katika kambi ya askari hao DCP Lyanga aliwasisitiza kuwa makini katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kufanya kazi kwa nidhamu, haki, weledi na uadilifu wa hali ya juu ili wananchi wa maeneo ya mpaka huo yaendelee kuwa salama....

Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Onesmo Lyanga Oktoba 12, 2024 ametembelea na kukagua askari wa Operesheni Kambale inayoendelea katika Wilaya ya Tunduru eneo la Kijiji cha Lukumbule na Makande ambavyo vipo mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Msumbiji ikiwa ni mu...

.Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limeungana na United Nations Children's Fund (UNICEF) pamoja na vikundi mbalimbali vya h...
12/10/2024

.Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limeungana na United Nations Children's Fund (UNICEF) pamoja na vikundi mbalimbali vya hamasa ikiwa ni pamoja na jamii kuadhimisha siku ya mtoto wa k**e Duniani. Maadhimisho hayo yalifanyika Oktoba 11, 2024 Stendi ya mabasi ya Mlowo ambapo Koplo wa Polisi Gladness kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Wilayani Mbozi alitoa elimu ya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto, Pia aliwaelekeza watoto wa k**e walioudhuria hafla hiyo kuwa siku hii ni siku muhimu kwao ambayo huwakumbusha Watoto wa k**e juu ya haki zao za Msingi ikiwemo haki ya kupata Elimu, pia k**a Watoto wak**e wanao wajibu wa kufahamu haki zao ambazo kimsingi ni hatma ya maisha yao....

.Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limeungana na United Nations Children's Fund (UNICEF) pamoja na vikundi mbalimbali vya hamasa ikiwa ni pamoja na jamii kuadhimisha siku ya mtoto wa k**e Duniani.Maadhimisho hayo yalifanyika Oktoba 11, 2024 Stendi ya mabasi ya Mlowo ambapo Koplo wa Polisi Gladness kuto...

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 12, OKTOBA 2024
12/10/2024

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 12, OKTOBA 2024

in Magazeti MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 12, OKTOBA 2024 by admin October 12, 2024, 8:13 am 1 View 0share Facebook LinkedIn Leave a ReplyCancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for...

05/10/2024
Osasuna alijua haswa jinsi ya kupunguza uchezaji mzito wa Barcelona. Wakiwa na ulinzi mkali, waliinyima Barcelona nafasi...
29/09/2024

Osasuna alijua haswa jinsi ya kupunguza uchezaji mzito wa Barcelona. Wakiwa na ulinzi mkali, waliinyima Barcelona nafasi zote za kumsumbua Sergio Herrera langoni. Wakati huo huo, mashambulizi ya Osasuna yalifichua safu ya ulinzi ya Barcelona isiyo na uzoefu. Mafanikio hayo yalikuja mapema, huku Bryan Zaragoza-ambaye tayari alikuwa ameisababishia Barcelona matatizo siku za nyuma-akitoa krosi nzuri kwa Budimir kufunga kwa kichwa. Dakika kumi tu baadaye, Zaragoza alifunga bao la pili, akimpita Iñaki Peña baada ya mpira mzuri kutoka kwa Ibáñez....

Osasuna alijua haswa jinsi ya kupunguza uchezaji mzito wa Barcelona. Wakiwa na ulinzi mkali, waliinyima Barcelona nafasi zote za kumsumbua Sergio Herrera langoni. Wakati huo huo, mashambulizi ya Osasuna yalifichua safu ya ulinzi ya Barcelona isiyo na uzoefu. Mafanikio hayo yalikuja mapema, huku Brya...

MAGAZETI YA LEO 29, SEPTEMBA 2024
29/09/2024

MAGAZETI YA LEO 29, SEPTEMBA 2024

in Magazeti MAGAZETI YA LEO 29, SEPTEMBA 2024 by admin September 29, 2024, 8:13 am 1 View 0share Facebook LinkedIn Leave a ReplyCancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the....

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Elisante Mmari amewataka wananchi kutoji...
28/09/2024

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Elisante Mmari amewataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi pindi wanapombaini au kumk**ata mtuhumiwa kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Kamanda Mmari ametoa kauli hiyo tarehe 27 Septemba 2024 wakati akizungumza na wanamichezo na wananchi walioshiriki katika fainali za mpira wa miguu za Polisi Jamii Cup Wilaya ya Mjini....

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Elisante Mmari amewataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi pindi wanapombaini au kumk**ata mtuhumiwa kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria.Kamanda Mmari ametoa kauli hiyo tarehe 27 Septemba 2024 wakati akizungumza n...

TEMBELEA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 28, 2024
28/09/2024

TEMBELEA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 28, 2024

in Magazeti TEMBELEA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 28, 2024 by admin September 28, 2024, 7:09 am 1 View 0share Facebook LinkedIn Leave a ReplyCancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in t...

Address

Sanjo
Shinyanga
37104

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kalungwa TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kalungwa TV:

Videos

Share

Category