25/03/2021
Mzee wa miaka 75 alianguka ghafra na kuzimia, familia wakamchukua haraka na kumpeleka hospitari kwa msaada, alipofika hospilini wakamuweka kwenye mashine ya kupumlia(Oxygen mashine) kwa masaa 24, baada ya hapo akapata ahueni(nafuu) na akaandikiwa ruhusa ya kurudi nyumbani,, kisha daktari akampa bili(gharama) ya Dolla 2000$ sawa na Tsh 4 milioni aliyoitumia alipie kabla ya kuondoka,, mzee baada ya kuiona billi akaanza kulia kwa huzuni sana, daktari akamwambia mzee usilie kwasababu ya bili nenda ukalipie sahivi,,, mzee akamjibu silii kwasababu ya bili na ninauwezo wa kuilipa hata sasa, ninalia kwasababu nimetumia hewa K**a hii niliyopewa hapa hospitali kwa miaka yote 75 bure na sijamlipa MUNGU hata senti, lakini leo ndani ya masaa 24 tu nimeletewa bili ya Dolla 2000$ sawa na Tsh 4 milioni, je unafikili k**a ingenipasa kumlipa Mungu ningemlipa shilingi ngapi kwa miaka yote 75? baada ya kusikia maneno hayo daktari aliinimisha kichwa chake huku macho yake yakijawa na machozi na sura ya huruma sana,, Sasa kwa wewe unaosoma ujumbe huu, unapumua vizuri, unaafya njema bila gharama yeyote tumia hata sekunde 10 share (shiriki)ujumbe huu kwa rafiki zako huku ukiwakumbusha neno moja tu la kumshukuru Mungu kwa ulinzi, pumzi na uhai "Asante MUNGU" bure
Send by Ayubu Health line
K**a unatumia Instagram tufollow kwenye page yetu kwa jina hilihili@ayubu health line
Share na wengine wajifunze kumshukuru Mungu hata kwa kile Kidogo walichopewa