Broker Mchapakazi

Broker Mchapakazi Mimi ni DALALI nipo Dar nawasaidia Wauzaji na wanunuzi wa Nyumba,Viwanja waliopo Mkoa wowote Tz kuwakutanisha pamoja na kufanya biashara.

Ahsante na karibu sanaπŸ™

14/11/2024

😭😭😭

BEI IMEPUNGUA...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡NYUMBA MBILI KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA NYAMHONGORO MITA 500 TU KUTOKA STEND YA MABASI MWANZA   Nyumb...
02/11/2024

BEI IMEPUNGUA...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

NYUMBA MBILI KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA NYAMHONGORO MITA 500 TU KUTOKA STEND YA MABASI MWANZA

Nyumba ya kwanza ina vyumba 2, chumba 1 ni masta kuna Jiko,Sehemu ya kulia chakula, Sehem ya kukaa, Choo cha public kwa ndani,Stoo,Varanda n.k

Nyumba ya pili ina vyumba 3, Chumba 1 ni masta pia kuna jiko,sehem ya kulia chakula,Sehem ya kukaa, Choo cha public,Stoo,Varanda n.k

Sakafu ina vigae.
Fensi ya Umeme.

Ukubwa wa eneo 1489 Sqm Plot No. 417 Block B

Bei πŸ‘‰150mls. {Maongezi yapo kidogo}

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZANyumba ina vyumba 3, jiko sebule na choo cha ndani. Uwanja mkubwa.Bei:πŸ‘‰ 15m {Million kumi na...
24/09/2024

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZA

Nyumba ina vyumba 3, jiko sebule na choo cha ndani. Uwanja mkubwa.

Bei:πŸ‘‰ 15m {Million kumi na tano}

Whatsap πŸ‘‰https://shorturl.at/ZDjXl

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZANyumba ina vyumba 2 na sebule choo cha ndani. Uwanja mkubwa.Bei:πŸ‘‰ 10.5m {Million kumi na lak...
24/09/2024

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZA

Nyumba ina vyumba 2 na sebule choo cha ndani. Uwanja mkubwa.

Bei:πŸ‘‰ 10.5m {Million kumi na laki tano}

Whatsap πŸ‘‰https://shorturl.at/ZDjXl

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZANyumba ina vyumba 2 na sebule choo cha ndani. Uwanja mkubwa.Bei:πŸ‘‰ 9.5m {Million tisa na laki...
24/09/2024

NYUMBA INAUZWA KISESA-MWANZA

Nyumba ina vyumba 2 na sebule choo cha ndani. Uwanja mkubwa.

Bei:πŸ‘‰ 9.5m {Million tisa na laki tano}

WhatsApp πŸ‘‰ https://shorturl.at/22j1z

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

Deal done thanks // Tunashukuru kwa kumiliki mjengo wako.πŸ€πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡   Habari  ndugu, K**a una shida na pesa ya haraka na una n...
22/09/2024

Deal done thanks // Tunashukuru kwa kumiliki mjengo wako.🀝
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Habari ndugu, K**a una shida na pesa ya haraka na una nyumba ya vyumba 3 unauza iwe MKOA wa mwanza wasiliana nami haraka ipo million 6 hapa Zingatia Uwe Mmliliki.

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

Habari  ndugu, K**a una shida na pesa ya haraka na una nyumba ya vyumba 3 unauza iwe MKOA wa mwanza  wasiliana nami hara...
18/09/2024

Habari ndugu, K**a una shida na pesa ya haraka na una nyumba ya vyumba 3 unauza iwe MKOA wa mwanza wasiliana nami haraka ipo million 6 hapa Zingatia Uwe Mmliliki.

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

11/09/2024

KIWANJA KINAUZWA KISHIRI MKOA WA MWANZA

Kiwanja kipo kishiri-Mwanza-Kagee karibu na Barabara ya mwendo kasi hiki sio cha kukiacha wahi mapema.Ukubwa 45 kwa 20

Bei: 3mls.

Whatsap πŸ‘‰https://shorturl.at/ZDjXl

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

//

THE PLOT IS FOR SALE IN MWANZA REGION

The plot is located at the beginning of Kishiri near the expressway. It is not to be left early. Size 45 by 20

Price: 3 mls.

Whatsapp πŸ‘‰https://shorturl.at/ZDjXl

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

10/09/2024
BEI IMEPUNGUA...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡NYUMBA MBILI KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA NYAMHONGORO MITA 500 TU KUTOKA STEND YA MABASI MWANZA   Nyumb...
04/09/2024

BEI IMEPUNGUA...πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

NYUMBA MBILI KWENYE ENEO MOJA ZINAUZWA NYAMHONGORO MITA 500 TU KUTOKA STEND YA MABASI MWANZA

Nyumba ya kwanza ina vyumba 2, chumba 1 ni masta kuna Jiko,Sehemu ya kulia chakula, Sehem ya kukaa, Choo cha public kwa ndani,Stoo,Varanda n.k

Nyumba ya pili ina vyumba 3, Chumba 1 ni masta pia kuna jiko,sehem ya kulia chakula,Sehem ya kukaa, Choo cha public,Stoo,Varanda n.k

Sakafu ina vigae.
Fensi ya Umeme.

Ukubwa wa eneo 1489 Sqm Plot No. 417 Block B

Bei πŸ‘‰150mls. {Maongezi yapo kidogo}

Whatsap πŸ‘‰https://shorturl.at/ZDjXl

Contact πŸ‘‰+255678606660

Email: πŸ‘‰[email protected]

02/09/2024

Mimi ni DALALI nipo Dar nawasaidia Wauzaji na wanunuzi wa Nyumba,Viwanja waliopo Mkoa wowote Tz kuwakutanisha pamoja na kufanya biashara. Ahsante na karibu sanaπŸ™

USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50...
13/08/2024

USHAURI KWA WATU WOTE WALIOAJIRIWA:

1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe.

2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara yako. Ikiwa utakufa leo, nafasi yako atapewa mwingine bila kuchelewa na shughuli zitaendelea k**a kawaida. Ifanye familia yako kuwa kipaumbele.

3. Usifukuzie kupandishwa cheo. Boresha ujuzi wako na uwe bora katika kile unachokifanya. Ikiwa wanataka kukupandisha ni sawa ikiwa hawatafanya hivyo sawa tu, wewe zingatia maendeleo yako binafsi.

4. Epuka porojo za ofisini au kazini. Epuka mambo yanayochafua jina au sifa yako. Usijiunge na genge la kejeli kwa wakuu wako na wenzako. Kaa mbali na mikusanyiko hasi ambayo ajenda yao ni kujadili watu tu.

5. Kamwe usishindane na mabosi zako. Utachoma vidole vyako wala usishindane na wafanyakazi wenzako, utakaanga ubongo wako.

6. Hakikisha una biashara ya kando. Mshahara wako hautakidhi mahitaji yako kwa muda mrefu.

7. Okoa pesa. ruhusu ikatwe moja kwa moja kwenye payslip yako.

8. Kopa mkopo kuwekeza katika biashara au kubadilisha mazingira ya kipato siyo kwa ajili ya kutumia ktk mambo ya anasa. Tumia faida kufanya starehe zako.

9. Hebu fanya maisha yako ya ndoa na familia kuwa ya faragha(siri). Waache wanafamilia wakae mbali na masuala yako ya kazi. Hii ni muhimu sana.

10. Uwe mwaminifu kwako mwenyewe na uamini katika kazi yako. Kukaa karibu sana na bosi wako kutakufitinisha na wenzako na bosi wako hatimaye anaweza kukustukia na kukutenga.

11. Jitahidi kustaafu mapema. Njia bora ya kupanga kuondoka kwako ilikuwa wakati ulipokea barua ya ajira. Wakati mwingine mzuri ni leo. Ktk umri wa miaka 40 hadi 50 uwe umestaafu.

12. Jiunge na Taasisi ya Ustawi wa kazi na uwe mwanachama hai kila wakati. Itakusaidia sana wakati tukio lolote litatokea.

13.Siku za likizo zitumie kwa kuendeleza nyumba au miradi ya siku zijazo, kwa kawaida unachofanya wakati wa siku za likizo ya mwaka huakisi jinsi utakavyoishi baada ya kustaafu. Hii ina maana kuwa k**a utatumia muda huo kukaa kizembe k**a vile kushinda unatazama tamthilia ktk TV yaani rimoti haitoki mikononi basi usitegemee chochote cha tofauti baada ya kustaafu.

14. Anzisha mradi ukiwa bado unahudumu au unafanya kazi. Hebu mradi wako ufanyike ukiwa kazini na ikiwa haufanyi vizuri, anza mwingine hadi ufanye vizuri kabisa. Wakati mradi wako unaendelea vizuri basi staafu ili kusimamia biashara zako. Watu wengi au wastaafu wanashindwa maisha kwa sababu wanastaafu kuanzisha mradi badala ya kustaafu kuendesha mradi.

15. Pesa ya pensheni si kwa ajili ya kuanzisha mradi au kununua shamba au kujenga nyumba bali ni fedha kwa ajili ya kukutunza au kujitunza katika afya njema. Pesa ya pensheni si ya kulipia karo ya shule au kuoa mke mdogo bali ni kujiangalia wewe mwenyewe na maisha yako ya uzeeni.

16. Kila wakati ukumbuke kuwa, unapostaafu hutakiwi kuwa mfano wa kuishi maisha duni baada ya kustaafu bali uwe mfano wa kuigwa na wenzako kufikiria kustaafu pia.

17. Usistaafu kwa sababu tu umezeeka au sasa wewe ni mzigo kwa kampuni na unasubiri siku yako ya kufa. Staafu ukiwa bado kijana au ukiwa bado una nguvu za kufurahia kuamka kwa kikombe cha kahawa, kufurahia jua, kupokea pesa kutoka kwa biashara yako, tembelea sehemu nzuri ambayo umeikumbuka na kutumia wakati mzuri na familia. Wale wanaostaafu wakiwa wamechelewa, hutumia takriban 95% ya muda wao kazini kuliko kuwa na familia zao na ndiyo maana wanaona ni vigumu kukaa na familia zao wanapostaafu lakini wanaishia kutafuta kazi nyingine hadi wanakufa. Wasipopata kazi nyingine, wanakufa mapema.

18. Staafu ukiwa nyumbani kwako kuliko katika makazi ya serikali ili unapostaafu uweze kufaa katika jamii iliyokulea. Si rahisi kuzoea kuishi katika eneo baada ya kukaa kwa miaka mingi kwenye nyumba ya kampuni au katika nyumba ya serikali.

19. Usiruhusu kamwe faida za ajira yako zikufanye usahau kuhusu kustaafu kwako. Manufaa ya ajira yanakusudiwa tu kukufanya uwe na utulivu.

Ushauri wa bure kabisa kwa mtu yeyote anayetaka kununua kiwanja.Mambo yakuzingatia wakati unapotaka kununua kiwanja.1:Us...
13/08/2024

Ushauri wa bure kabisa kwa mtu yeyote anayetaka kununua kiwanja.

Mambo yakuzingatia wakati unapotaka kununua kiwanja.

1:Usinunue kiwanja kilichopimwa kwakipimo cha futi k**a wewe siyo mtaalam wa mahesabu ✍️narudia tenaΓ—3 Usinunue kiwanja kilichopimwa kwa kipimo Cha futi k**a wewe siyo mtaalam wamahesbu.

2: Kabla yakununua eneo jaribu kuuliza majirani kuhusu hilo eneo.Waulize k**a wamewahi kusikia linamigogoro au kesi najua kupitia wao kuna mwanzo mzuri utaupata kuhusu hilo eneo✍️

3:Ukinunua kiwanja hakikisha kimepimwa kwa mita nasiyo futi.✍️

4:Ukinunua kiwanja hakikisha asilimia kumi yamanunuzi unayolipa serikalin upewe risiti✍️narudia tena hakikisha Ile asilimia kumi unayotoa wanakupa risiti nihaki yako ninaniushahidi wako pale ambapo kutatokea mgogoro mahak**a ya ardhi itakutaka kuleta hiyo risiti ✍️.

Kwaleo tuishie hapa k**a Kuna mahala hujaelewa unaweza kuniuliza nitakuelekeza✍️.

05/08/2024
Habari, Ni muda kidogo umepita katika ukrasa huu palikuwa kimya kuna mambo tulikuwa tunayaweka sawa na sasa kila kitu ki...
10/07/2024

Habari, Ni muda kidogo umepita katika ukrasa huu palikuwa kimya kuna mambo tulikuwa tunayaweka sawa na sasa kila kitu kimerudi k**a mwanzo ila kuna baadhi ya mabadiliko yamefanyika ikiwemo kuhamisha location ya kazi zetu. Kuanzie leo tarehe 10/7/24 asilimia ya kazi zetu zitakuwa zikifanyika katika jiji la kibiashara Daresalam na viunga vyake kupitia ilile namba yetu ya awali +255678606660 ,Mabadiliko haya hayatoathili kazi za mikoani karibuni sana wateja.

Aljumaa kareem! 😊
09/02/2024

Aljumaa kareem! 😊

Aljumaa Karim.. muwe na siku njema..
26/01/2024

Aljumaa Karim.. muwe na siku njema..

Address

Mabibo
Mwanza
33111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Broker Mchapakazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Broker Mchapakazi:

Videos

Share