HISTORIA YA MSIKITI WA (HARAM AL-SHARIF AU AL-AKSA) ULIOPO JERUSALEM
Kwa kifupi miaka 70 baada ya kupaa kwa Bwana Yesu. Jeshi la Rumi likiongozwa na Jenerali TITOS lilivamia mji wa jerusalemu na kuuteketeza kwa moto na kuvunja hekalu la sulemani pia waliichukua ile dhahabu iliyokuwa ndani ya hekalu wakaipeleka mji wa Roma.
Wayahudi walitawanyika kwenye mataifa mbalimbali ya ulaya walijaa sana URUSI, UFARANSA UJERUMANI, NA UINGEREZA,. Wapalestina walifanikiwa kuuchukua mji wa jerusalemi na kuujenga msikiti mkubwa sana juu ya msingi wa HEKALU TAKATIFU LA SULEIMANI unaofahamika kwa jina la HARAM AL- SHARIF
.
( UN) Iliazimia baada ya kura iliyopigwa na Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Wayahudi wote popote walipo warudishwe Nyumbani kwao.
Wayaudi zaidi ya Milioni 8 waliuwa na Adolfu Hitler kwenye makambi ya UJERUMANI waliyokuwa wanaishi Wayahudi kipindi cha vita kuu ya pili.
Hivo ili kuepusha mauja kama hayo (UN) iliadhimu kuwatambua wayahudi na kuwapa nchi yao wenyewe.
Wayaudi kuanzia Mwaka 70 Baada ya kupaa kwa Bwana Yesu mpaka mwaka 1947 waliishi kama wakimbizi Barani ulaya na Marekani Ardhi yao walishi Wapalestina Kilikuwa kipindi kirefu sana kwao .
UN Iligawa Eneo la Palestina Israel ilipewa ardhi ndogo sana katika mji wa Tel Aviv Ni kama theluth ya eneo lote la Palestina waliopewa wayahudi ila mji wote wa Yerusalemu wakapewa wapalestina na nchi ya Jordan Hivo wayahudi ili waende kuabudu Yerusalemu ilibidi waombe kibali na Ruhusa kwa nchi ya Jordani.
Mwaka 1949 zilianza chochoko za waarabu na chuki zidi ya wayahudi vilianza vita vya muda mrefu vilivofahamika kwa jina ISRAEL ARABS WAR.
Mwaka 1956 yaliungana mataifa manne ya kiarabu kwa lengo la kuifuta Israel kabisa kwenye uso wa dunia kakini hayakufanikiwa
Kuanzia mwaka 1961 mpaka 1966 Mataifa karibu yote yaliungana kukusanya nguvu ya pamoja pia kwa kutumia pesa ya utajiri wa mafuta waliazimia wakiongozwa na Raisi wa Misri (Yasin Gamal) kulifuta kabisa taifa la kiyahudi kwenye ramani ya dunia. Waarab