18/02/2019
Real Madrid wamepoteza game 7msimu huu kwenye LA LIGA ambao umekuwa msimu mmbaya kwao katika mbio za ubingwa toka msimu WA 2008/2009 ambapo walikua hawaja msajili ronaldo ambaye alikkuja kugeuza huzuni kua furaha na sasa hayupo mambo yanajirudia
Je Real Madrid walikuwa bado wanahitaj huduma ya ronaldo zaidi??