
25/04/2025
Mwenyekiti wa kijiji cha Mirumba Halmashauri ya Mpimbwe Ndg.Japhet Bundala leo akiwa ameambatana na uongozi wa kijiji pamoja na wananchi wote katika zoezi la ukaguzi wa mazingira ya shule ya Sekondari ya mirumba
Aidha pamoja na kufurahishwa na hali ya mazingira shuleni hapo ameongeza kuwa wananchi ni lazima wawe kipaumbele cha mazingira katika maeneo yao
Hata hivyo wananchi wamepongeza jitihada hizo