23/03/2024
Nikiwa na viongozi waandamizi wa Kamati ya kudhibiti ukatili kwa wanawake na watoto ya Umoja wa Wanawake Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum pamoja na Makamu Mwenyekiti Bara Mhe Mwamtumu ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali Katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwemo uwaziri, ukuu wa Mkoa, na Sasa Pia Ni Rais wa Scout Tanzania na Mwenyekiti wa baraza la NGO nchini Tanzania.
Na hapa ilikuwa ni kwenye kikao cha siku mbili mkoani Dar Es Salaam kwa dhima ya kutengeneza mpango kazi utakao tumiwa na UWT k**a muongozo na dira ya mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe
Florah Magabe Iron Lady
Friends of Florah Magabe Iron Lady
Friends of Iron Lady Florah Magabe