MTC

MTC MTC is the Mwanza Town choir We deal with Gospel music

23/01/2025
Baada ya kutimiza miaka 65 mwaka jana tulikuja na wimbo huo KABLA MISINGI YA ULIMWENGU.  KARIBU ku SUBSCRIBE na Ku VIEW
18/01/2025

Baada ya kutimiza miaka 65 mwaka jana tulikuja na wimbo huo KABLA MISINGI YA ULIMWENGU. KARIBU ku SUBSCRIBE na Ku VIEW

Tunawatakia Christmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio. Zawadi yetu kwa wateule wote ni huo wimbo upo YOUTUBE  kutoka...
21/12/2024

Tunawatakia Christmas njema na mwaka mpya wenye mafanikio. Zawadi yetu kwa wateule wote ni huo wimbo upo YOUTUBE kutoka album ya MTC mpya inaitwa KABLA MISINGI

Asante kwa kutazama, tafadhali subscribe kwenye YouTube channel yangu, waweza kuacha comment, like na kushare na wengine. Mungu akubariki sana ...

18/12/2024

AIC Mwanza Town Choir tumetoa wimbo mpya wa Krismasi unaitwa MIKA NI NABII . Wimbo utakuwa YOUTUBE kuanzia Jtatu tarehe 23 Dec. Karibu sana ku subscribe na view

AIC Mwanza Town Choir miaka ya 1975 baadae mwaka uliofuata wakaenda Ujerumani. Mwaka huu 2024 kwaya inatimiza miaka 65 y...
26/08/2024

AIC Mwanza Town Choir miaka ya 1975 baadae mwaka uliofuata wakaenda Ujerumani. Mwaka huu 2024 kwaya inatimiza miaka 65 ya huduma ya injili. Maadhimisho yatafanyika AIC Makongoro tarehe 8/09/2024. Nyote mnakaribishwa.

KUMBUKUMBU Hapa ni mwaka 1967 waanzilishi wq AIC Mwanza Town Choir. Mwaka huu tarehe 8/9/2024 tutakuwa na maadhimisho ya...
19/08/2024

KUMBUKUMBU Hapa ni mwaka 1967 waanzilishi wq AIC Mwanza Town Choir. Mwaka huu tarehe 8/9/2024 tutakuwa na maadhimisho ya shukrani kwa Mungu kutimiza miaka 65 ya huduma ya uimbaji wa Injili. Tunaongozwa na Neno la Mungu Yohana 15:16." ... si ninyi mlionichagua........" KARIBUNI SANA

AIC Tulipata neema ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya kwaya ya UAMSHO KKKT Usharika wa Engarenarok Arusha. Picha y...
17/08/2024

AIC Tulipata neema ya kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya kwaya ya UAMSHO KKKT Usharika wa Engarenarok Arusha. Picha ya pamoja MTC na Uamsho kwaya ilikuwa tarehe 11/08/2024. Bwana awabariki Uamsho choir na malengo yao.

03/03/2022

Uko YouTube huu wimbo wa SAA ya UKOMBOZI karibuni kuuangalia na kushare

03/03/2022

Wimbo huu mpya wa Mwanza Town choir uko YOUTUBE karibuni Sana wapendwa ku subscribe nk Kwa ajili ya kipindi hiki cha pasaka

HERI YA MWAKA MPYA. TUMEMALIZA JANUARY SASA FEBRUARY2022. Tunaomba Mungu afanikishe huduma yake.Bwana ametuchagua tumzal...
04/02/2022

HERI YA MWAKA MPYA. TUMEMALIZA JANUARY SASA FEBRUARY2022. Tunaomba Mungu afanikishe huduma yake.Bwana ametuchagua tumzalie matunda na matunda yetu yakae

Address

Mwanza

Telephone

+255754094448

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MTC:

Videos

Share