Lango La Habari

Lango La Habari Like page hii upate taarifa mbalimbali katika nyanja za Kitaifa,Kimataifa,Biashara,Michezo na Burudani.

Tunakutakia Heri ya Mwaka mpya 2025 🎊 endelea kufuatilia habari na matukio kupitia website yetu langolahabari.com
01/01/2025

Tunakutakia Heri ya Mwaka mpya 2025 🎊 endelea kufuatilia habari na matukio kupitia website yetu langolahabari.com

TANZANIA YAIPA ZAMBIA SCANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA MPAKANI
19/04/2024

TANZANIA YAIPA ZAMBIA SCANA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA MPAKANI

Serikali za Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya nchi hizo kutegemeana kibiashara.Hayo yamesemwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Mhe. Omar Shaaban wakati wa Mkutano wa tatu (3) wa Kamati...

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 20, 2024
19/04/2024

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 20, 2024

ELIMU YA ULINZI, UHIFADHI WA MAZINGIRA YAWAFIKIA WANAFUNZI SARANGA
19/04/2024

ELIMU YA ULINZI, UHIFADHI WA MAZINGIRA YAWAFIKIA WANAFUNZI SARANGA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kutoa elimu katika klabu za maji na usafi wa Mazingira kwa katika shule ya sekondari Saranga iliyopo Wilaya ya Ubungo na kusisitiza juu ya uhifadhi wa mazingira kwa uhakika wa huduma za Maji. Shule hiyo ni miongoni mwa shule...

DAWASA, BONDE LA WAMI  WAUNDA VIKUNDI KULINDA MTO RUVU
19/04/2024

DAWASA, BONDE LA WAMI WAUNDA VIKUNDI KULINDA MTO RUVU

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA kwa kushirikiana na Bonde la Wami Ruvu wameunda na kuanzisha vikundi rafiki vya Mazingira vitakavyosaidia kulinda Mto Ruvu ikiwa ni sehemu ya ulinzi na utunzaji wa vyanzo vya maji.Akizungumza wakati wa Mkutano wa kutambulisha vikundi hiv...

🏥💧DAWASA YAWAFARIJI WAGONJWA WA SARATANI OCEAN ROAD, AMANA👇🏻
15/04/2024

🏥💧DAWASA YAWAFARIJI WAGONJWA WA SARATANI OCEAN ROAD, AMANA👇🏻

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeunga mkono jitihada za Serikali katika kuchangia matibabu ya wagonjwa wa saratani katika Taasisi ya Saratani na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana. Akizungumza wakati wakukabidhi misaada mbalimbali kwa Taasisi hizo, Mwakilishi wa Kaim...

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lango La Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lango La Habari:

Share