CCM MARA

CCM MARA UMOJA na USHINDI

Makamu Mwenyekti wa CCM ndani ya Mkoa wa Mara
27/07/2023

Makamu Mwenyekti wa CCM ndani ya Mkoa wa Mara

Hongera sana Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Comrade Daniel...
15/01/2023

Hongera sana Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Comrade Daniel Chongolo Chongolo Daniel Godfrey
Mwenyezi Mungu awaongoze na kuwalinda.

07/12/2022

*Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara*

๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428

07/12/2022

*๐๐„๐‚ ๐–๐€๐๐€๐–๐€๐Š๐„ ๐๐€๐‘๐€*

1. ๐€๐ง๐ ๐ž๐ฅ๐ข๐ง๐š ๐Œ๐š๐›๐ฎ๐ฅ๐š 770
2. ๐€๐ฌ๐ก๐š๐ญ๐ฎ ๐Š๐ข๐ฃ๐š๐ฃ๐ข 764
3. ๐‚๐ก๐ซ๐ข๐ฌ๐ญ๐ข๐ง๐š ๐Œ๐ง๐๐ž๐ฆ๐ž 761
4. ๐„๐ฅ๐ฅ๐ž๐ง ๐Œ๐š๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐๐จ๐ ๐จ๐ก๐ž 755
5. ๐…๐ž๐ง๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐ค๐š๐ง๐ ๐š๐ซ๐š 747
6. ๐€๐ง๐ ๐ž๐ฅa ๐Š๐š๐ข๐ซ๐ฎ๐ค๐ข 730

UNEC
06/12/2022

UNEC

Tupo pamoja nawe Mwenyekiti wetu
25/11/2022

Tupo pamoja nawe Mwenyekiti wetu

Matokeo ya Halmashauri kuu ya Mkoa wa Mara  1.M/kiti wa mkoa MR Chandi toka Serengeti2.Mneki MR GachumaMatokeo ya Halmas...
22/11/2022

Matokeo ya Halmashauri kuu ya Mkoa wa Mara
1.M/kiti wa mkoa MR Chandi toka Serengeti

2.Mneki MR Gachuma

Matokeo ya Halmashauri kuu Butima
1. Mr Changeable Kura 295
2. Mr Bonge Kura 235
3 Mr Mnema Kura 215
4.Mr Mboyi Kura 164
5.Mr Matiko Kura 152
6.Mr Denis Kura 130

Washindi wetu ni
Changarawe na Bonge
Mungu awabariki wote mulioniombea Dua na kunitafutia kura
Ahsanteni Sana

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
17/11/2022

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Hongera sana ๐Ÿ™
17/11/2022

Hongera sana ๐Ÿ™

09/11/2022
TAARIFA
07/05/2022

TAARIFA

Suala la Kupanda kwa Bidhaa ni suala la Dunia nzima sio Tanzania tu
04/05/2022

Suala la Kupanda kwa Bidhaa ni suala la Dunia nzima sio Tanzania tu

28/04/2022

Diaspora

28/04/2022

Mh. Rais

25/12/2021

It is very true to say that President Uhuru Muigai Kenyatta and his DP Dr. William Samoei Ruto are not eating from the same table. Now, DP William Ruto has urged President Uhuru Muigai Kenyatta to come out boldly, and stop using Juniour Government Officers to Attack him over his Presidential bid. Th...

MIAKA 22 ILIYOPITA
14/10/2021

MIAKA 22 ILIYOPITA

12/10/2021

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Afya
11/10/2021

Afya

11/10/2021
Karibu sana Mh.   Mkuu mpya wa Mkoa wa Mara๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11/06/2021

Karibu sana Mh. Mkuu mpya wa Mkoa wa Mara๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tarime. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza katibu mkuu wa wizara ya Maji kutengue uteuzi wa Meneja wa Wakala wa Maji...
06/01/2021

Tarime.

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza katibu mkuu wa wizara ya Maji kutengue uteuzi wa Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini mkoa wa Mara (Ruwasa), Sadiki Chaka pamoja meneja wake Wilaya ya Tarime, Marwa Muraza kwa wa madai ya kushindwa kusimamia na kutimiza wajibu wao ipasvyo.
Waziri Aweso amefikia uamuzi huo leo Jumanne Januari 5 wilayani Tarime baada ya kutokuridhishwa na namna ambavyo miradi ya maji inatekelezwa katika mkoa wa Mara kwa ujumla, huku akisema taarifa inayotolewa na idara ya maji mkoa huo haiendani na uhalisia.
Akitoa taarifa kwa Waziri Aweso, meneja wa Ruwasa wilaya ya Tarime, Marwa Muraza alisema kuwa mradi huo ambao ulianzishwa mwaka 2007 haukuweza kufanya kazi k**a ilivyokusudiwa hivyo Ruwasa ikaamua kuufanyia marekebisho mwaka jana.
Alisema kuwa marekebisho hayo yalioyanza mwezi Agosti yaligharimu kiasi cha Sh70 milioni ambapo kazi zilizofanyika ni marekebisho ya tuta la bwawa pamoja na utoaji wa matope ndani ya bwawa hilo taarifa ambayo wakazi wa eneo la mradi waliikataa.
Kutokana na utata huo Aweso alimtaka meneja huyo kuonyesha eneo ambalo mkandarasi wa mradi huo alimwaga tope lililotolewa kwenye bwawa na meneja huyo kuonyesha vifusi vilivyokuwepo ambavyo waziri alisema kuwa vifusi hivyo havikuwa na tope k**a alivyosema meneja huyo bali ni mchanga.
Aweso pia alilazimika kumpigia simu mkandarasi aliyetekeleza mradi huo ambaye amesema kuwa mradi umetekekezwa kwa asilimia 70 huku akiwa amelipwa Sh46 milioni ambapo meneja wa wilaya alisema kuwa mkandarsi huyo alisitisha kazi baada ya kuharibikiwa kifaa cha kazi akiwa kazini.
Alipoulizwa meneja wa mkoa k**a alifanya ukaguzi wakati wa utekelezaji wa mradi huo, meneja huyo Sadiki Chaka amesema kuwa aliwahi kufika katika mradi huo siku moja ingawa alifika jioni na hivyo kushindwa kuonana na uongozi wa serikali ya kijiji maelezo ambayo waziri Aweso aliyakataa na kusema ni uongo.
"Meneja kwanini unanidanganya, mnaona nimekuja kucheza hapa? Mnajua Ruwasa ilianzishwa ili wananchi wa vijijini wapate maji ya uhakika, mbona mnachokifanya hapa ni tofauti na madhumuni yetu?" alihoji Aweso.
Amesema kuwa watendaji hao wakuu wa mkoa na wilaya wameshindwa kutiniza wajibu wao kwa makusudi kwani serikali iliwapa fedha za kutosha kwaajili ya kutekeleza miradi ya maji pamoja na ufuatiliaji badala yake fedha hizo zimeachwa kwenye akaunti bila sababu yoyote.

ZIARA YA WAZIRI WA MAJI MKOANI MARAWaziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasili Mkoani Mara kwa ajili ya ziara yake y...
05/01/2021

ZIARA YA WAZIRI WA MAJI MKOANI MARA

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewasili Mkoani Mara kwa ajili ya ziara yake ya Siku Tatu ya kukagua miradi ya maji mkoani humo.

Ziara hii ni ya kwanza mkoani humo tangu ameteuliwa kushika wadhifa huo.

Pichani akipokelewa na wataalam wa Sekta ya Maji Mkoani Mara.

Miradi itakayotembelewa ni pamoja na Gamasara, Magoma, Nyantira na Nyarwana ya Wilayani Tarime, Miradi ya Komuge, Ingri Juu na Shirati Wilayani Rorya, Miradi ya Bulingaโ€“Bujaga ya Musoma na Mradi wa chujio la maji Nyabehu (Bunda).

03/09/2020

Watoto hawa wanafurahisha Sana๐Ÿ‘๐Ÿ‘

26/07/2020

MATOKEO YA KURA ZA MAONI NAFASI YA UDIWANI(CCM) JIMBO LA SERENGETI.
1. MUGUMU.
1.Samwel Wambura-19.
2.Robert Ngโ€™oina-14
3.Thomas Burito-11

2. STENDI KUU.
1.Joseph Mapancha 18.
2.Charles Ryoba 10.
3.Paulo Magoiga 6
4.Lucas Marwa 6.

3. GEITASAMO.
1.Joshua Nyansiri (36)
2.Chacha Nyansenso (25)
3.Johanes Bunyige (10)

4.RUNGโ€™ABURE.
1.Mchungaji Samwel Nguti (87).
2.Elias Merengo (71) (Ameangushwa.
3.Nyamani Chacha (4).

5.RINGโ€™WANI.
1.Hellena Chacha (65)
2.Pastor Maiso (42) (Ameangushwa.
3.Matiko Nsaho (20).

6.MANCHIRA.
1.Joseph Kitenana (72)
2.Sokoine Joram (40)
3.David Manteini (19)
4.Charles Shamimu (12) (Ameangushwa.

7.KYAMBAHI.
1.Herman Kinyariri (29)
2.Paulo Hussein Matembo (27)
3.Emmanuel Nyangaka (15).

8.SEDEKO.
1.Raphael Matiko (102) ametetea nafasi yake.
2.Richard Nyakera (36)
3.Joseph Muniko (19).

9.NYAMBURETI.
1.Peter Bachuta (63)
2.Alphonce Sinta (56)
3.Nicholaus Maro (52) Amengushwa.

10.MOSONGO.
1.Samson Mrimi (68) Aliunga Juhudi.
2.Kefa Mugaya (50)
3.Maro Simongwi (31).

11. KISANGURA.
1.Samson Ryoba (50)
2.Daniel Rachau (21)
3.Francis Msabi (19).

12. ISSENYE.
1.Mosi Ally Nyarobi (75) Ametetea nafasi.
2.Damian Thobias (33)
3.William Mrigo (5).

13.NAGUSI.
1.Andrew Mapinduzi (31)
2.Jackson Manyeresa (27) Ameangushwa.
3Mehora Sambarai (7).

14.MAGANGE.
1.Laurian Kyariga (78)
2.Boniphace Mochumali (39)
3.George Mahemba (19) aliyeunga juhudi ameanguka.

15.KENYAMONTA.
1.Marwa Nyamete (101)
2.Block Sylivester (56)
3.Wambura Nyakuke (46)
4.Sosthenes Mgicho (24) ameangushwa.

16.NYAMATARE.
1.Edwin Muhoni (54)
2.Julius Akweso (15)
3.Geofrey Wambura (14)
4.Kembo Manyanya (7) ameangushwa

17.MACHOCHWE.
1.Joseph Mhegete (60)
2.Bhoke Nchwagwa (40)

18.RIGICHA.
1.Moranya Baruti (65).
2.Nyambureti Haraka (19)
3.Benard Lubeli(15).

19.MBALIBALI.
1.John Ghati (173)
2.Muhere Muhere (43)
3.Samwel Mnanka (7).

20.NYAMOKO.
1.Bugi Mkami (59)
2.Marwa Waitara (56)
3.Charles Ngโ€™angโ€™a (19).

21.KISAKA.
1.Alenga Masyana (92)
2.Paulo Wangwe (64)
3.Chacha Ndege (54).

22.NATTA.
1.Juma Porini (163) Ametetea.
2.Kirigiti Matera (67)
3.Nyora Magoto (4).

23.BUSAWE.
1.Ayubu Makuruma (amepata kura za ndiyo 142.

24.MOROTONGA.
1.Mussa Magasi (21)
2.Kuncha Kola (9).
3.Kinyama Nyitika (7).

25.MAJIMOTO.
1.Chacha Masirori (87)
2.Nyitamboka Kitangโ€™ita (36) Ameangushwa.

26.NYANSURURA.
1.Josephat Seronga.
2.Joseph Gesaina (31)
3.Zakaria Kituni (22).

27.KEBANCHABANCHA.
1.Chacha Matiko (80) Ametetea.
2.Joseph Itukya (33)

28.IKOMA.
1.Michael Kunani (40) Ametetea.
2.Mtiro Marinya (30).

29.UWANJA WA NDEGE.
1.Matoke Mwita (59).
2.Kambarage Kichororo (25)
3.Daniel Kigocha (9) Ameangushwa.

30.MATARE.
1.Wambura Chore (22)
2.Benjamini Bahebe (18).

Tambua nguvu ya wajumbe,

Tunaendelea kukusanya Wilaya zingine CCM OYEEEEEEE

KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)wakat...
08/07/2020

KATIBU Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kulipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma.

08/07/2020

*Watia nia kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Rorya wa CCM* ni

1.Prof Julius W Nyahongo
2.Francis Olwero
3.Eng.Wambura C Nchama
4.Fadhili A Maganya
5.Mwl.Ezekiah T Oluoch
6. Prof Deo Chimba
7.Adv Juvenalis Motete.
8.Adv Hamisi Samara
9.Christopher M Sanya
10.Emmanuel D Mbasa
11.Jackson Oganga
13. Juma John Oluomba
14.Dady Igogo
15.Erick Obwasa
16.Adv. Maina Ang'iela Owino
17.Peter Sarungi
18.Mwl. Lameck Sylvester
19.Chacha Mirumbe
20.Emmanuel Obimbo.
21. Leonard Otuoma
22. Mwl.Pasaka Rucho
23 . CPA Albert Kodewa
24. David Wembe
25. Dr. Fred Okangi
26. Dr Samwel Apollo
27. Sasi Wambura
28. Col.Mathoro
29. Emmanuel Yusto
Tenge
30.Joash nyabange
31.Lameck Airo
32.Francis Odongo
33. Denis Ongiri
34.Samwel Shadrack
35. Oketch Okido Okola
36.Julius Nashon
37, Samwel Adogo
38. Alex Ongoro
39. Gomba Omwanda
40. Aliwa deo Aliwa
41.Okoth Odindo
42, Stephen Onyango
43. Sarawat Odira
44. Orucha Chiro
45.Kasera
46.Baraka Otieno

*Jimbo la Serengeti* 2020

1. Marwa Ryoba - CCM
2. Abel Maganya- CCM
3. Amsabi โ€“ CCM
4. Mapinduzi Maro Ruge - CCM
5. Bigeso Makenge Ruge โ€“ CCM
6. Catherine Makore Ruge โ€“ CHADEMA
7. Nyahori Mahumbwe - CCM
8. Mahende Mwita-CCM
9. Ernest Igonga - CCM
10. Dk. M'nata Resani- CCM
11. Eng. Michael Kisaka-CCM
12. Dr. Steven Kebwe - CCM
13. Chandi Marwa Bhahiri - CCM
14. Paul Makuri - CCM
15. Magesa - CCM
16. Jumanne Nyakirang'ani - CCM
17. Dr. Mathias Muhochi-CCM
18. Eng Thomas Nyahende - CHADEMA
19. Dr. Mrs. Wanyancha - CCM
20. Maseke Mwita - CCM
21. Masiko Merama - CCM
22. Joseph Nchagwa - CCM
23. Mbiru Mapombe - CCM
24. Stephen Masse - CCM
25. Dr. Gregory Ntibani - CCM
26. Maguye S. Maguye - CCM
27. Vincent Nyamasagi-CCM
28. Mokoro Rugatiri - CCM
29. Lucy Magereli- CHADEMA
30. Mwl Chori - CCM
31. Manawa Mossy- CHADEMA
32. Gesecho Nyamhanga - CCM
33. Arch Bernard Lutege- Chadema
34. Robert Martinus - CCM
35. Dr. Michael Nyagoga - CCM
36. Mh. Juma Porini- CCM
37. Etanga - CCM
38. Dr. Deogratias Maro George Mwita โ€“ CCM
39. Chacha Adolph Hi**er Kegoro - CCM
40. Alphonse Simango Kyariga โ€“ CCM
41. Sosthenes Chacha Birage โ€“ CCM
42. Charles Jackson Moremi - CCM
43. Advocate Tabitha Mwita Mataro - CCM
44. Dr. Isaya Daniel - CCM

Waliotia nia MUSOMA VIJIJINI
1.Prof Keregero
2.Prof Kaswamila
3.Prof Biswalo
4.Prof Mujungu
5.Prof Kambarage
6.Prof Masamba
7.Prof Mhongo
Idadi bado inaendelea k**a una ubavu wa kutia nia na si mguu basi ingia hapa

MUBASHARA
16/05/2020

MUBASHARA

Address

Musoma

Telephone

+255624203541

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCM MARA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other News & Media Websites in Musoma

Show All

You may also like