Jiku Tech Tips

Jiku Tech Tips Daraja ni sehemu ya kupita ufike ,Maudhui ya humu ndani ni k**a daraja
(1)

06/10/2024

K**a utakuwa ume elewa na ukafanya namna yoyote k**a video hii usiache kushare matokeo na wengineKupata Vitabu 1 Niche +Followers=Napesahapa utajifunza namna...

12/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Focus Andrew Jr., Kilabha Nyanguleta

Affiliate marketing ni njia ya mtu kupata mapato kwa kuuza bidhaa au huduma za kampuni nyingine kwa kutumia viungo maalu...
11/09/2024

Affiliate marketing ni njia ya mtu kupata mapato kwa kuuza bidhaa au huduma za kampuni nyingine kwa kutumia viungo maalum (affiliate links). Mkakati unaweza kujumuisha hatua k**a vile kuchagua niche sahihi ya soko, kuandika maudhui bora, kujenga ushirikiano na kampuni, kuongeza uwepo wa mtandaoni na kutumia njia za masoko ya mtandaoni k**a vile SEO, mitandao ya kijamii na matangazo ya kulipia ili kuvutia wateja walengwa. Kwa kufuata mkakati huu vizuri, mtu anaweza kufanikiwa kupata mapato mengi kupitia affiliate marketing.

Vijana wengi nchi za ulaya na marekani wanafanya sana hii

07/09/2024

Kujihusisha na kitu ambacho hukiamini ni moja ya njia za kupoteza muda,

07/09/2024

Peke yake mmiliki wa kitu ndio anaweza kukuelekeza kutumia kitu chake, Watanzania nia wengi wanapenda kurahisi na kuruka utaratibu

02/09/2024

Huenda lilikuwa haliwezekani Jana, labda Leo linawezekana jaribu TEHAMA inabadilika Kila dk

K**a beginner koala version ya Android Studio kwenye template ili utumie java chagua template ya empty views activity
02/09/2024

K**a beginner koala version ya Android Studio kwenye template ili utumie java chagua template ya empty views activity

Hakikisha  umetoa antivirus kwenye computer Kwa ajili ya adb.exe kuwa salama kwenye android Studio Yako
02/09/2024

Hakikisha umetoa antivirus kwenye computer Kwa ajili ya adb.exe kuwa salama kwenye android Studio Yako

02/09/2024

Kujifunza Mobile App Development kunaweza kukusaidia kuwa na ujuzi wa kisasa na mahitaji katika soko la ajira. Pia, unaweza kujenga programu zako mwenyewe au hata kufanya kazi k**a freelancer. Kwa kuongezea, unaweza kubuni programu inayoweza kubadilisha maisha ya watu au kusaidia biashara kukua. Kuj...

11/08/2024

Wasiliana 0682329852 kupata maelezo ya kujiunga na taaluma hii

21/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Msakila Maghabi, Paul Mafuru

Android Networking Na hii ndio summary ya Somo   lililofanyika mjini Jiku Tech Tips YouTube channel Watumiaji JinaUmriNa...
20/06/2024

Android Networking Na hii ndio summary ya Somo lililofanyika mjini Jiku Tech Tips YouTube channel

Watumiaji

Jina
Umri
Namba

Server side/upande seva
Android side

Server

Data management

Create database --- duka
watumiaji____ id,jina,umri,namba_za_simu

Database name,dbpasswaord, usernamedb, hostname.

File manager

Ktkktk

init.php
insert.php
Method GET ,,,,POST
watumiaji
jina,umri,nambazasimu.
...................

Android side

Create new project

Main activity

UI
activity_main.xml
Muonekano kwa mtumiaji
Kuweka jina,umri,nambayasimu
Button ___tuma

Java files
Mainactivity.java
Mchakato wa kutuma taarifa

Url encoder

Url -->>> server --request

Variable
Variable name

jina -jiku
umri-15
nambayasimu-0000

jina-alex
umri-

how to insert data in MySQL database using retrofit

how to insert data in MySQL database using volley

0682329852
https://www.youtube.com/live/NTVTO4dEisU?si=8NOxeOylH59xPl3l

Unaruhusiwa ku subscribe ili kuwa wakwanza kupata taarifa ya masomo yanayo kuwa yanaendelea

# Best screen recorder and live stream maker. XRecorder helps you capture fantastic moments and share your experience with the world. Download: htt...

SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING Lengo la kitabu hiki ambacho ni maalumu ni kujifu...
03/06/2024

SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING

Lengo la kitabu hiki ambacho ni
maalumu ni kujifunza kwa namna gani
unaweza kuweka taarifa kwenye web
server database kwa kutumia Android
Studio na kuzi view kwenye mobile
app .
Faida ya Application hii ni kwamba mtu
unatengeneza Server kwa ajili ya
kuhifadhi taarifa zako ambazo aidha
yanaweza kuwa maelezo au picha au
audio au videos na ukazionesha kwa
kutumia mobile app uliyo tengeneza
mwenyewe
Kila mwenye APP yako anakuwa na
uwezo wa kuona taarifa alizo weka
admin
Tutatumia Server ya Bure inayo
000webhostapp.com kwa ajili ya kuhifadhi taarifa zetu na kuzichukua
huko kuzionesha katika project yetu
Tutatumia
Recycle view kuonesha taarifa zote
zilizopo katika server yetu hii
tutaitumia ndani ya android
Nitachukulia mfano kwamba nna
wanafunzi kumbuka kila mwanafunzi
ana
Jina
Namba ya Simu
Mkoa anao ishi
Na taarifa zingine nyingi mno ambapo
tutatumia hizo taarifa kwa kila
mwanafunzi
Tutakuwa na wanafunzi 20 katika
server yetu, tuta chukua taarifa zao na
kuzionesha kwenye Android App Yetu .
tunawezaje kuzionesha hizi taarifa za
kila mmoja kwa pamoja basi ndio hapo tunatumia Recycle View Ambayo ni
Difined Class
Lakini sasa ili utumie Recycle View
itatubidi tuwe na zana mbalimbali
k**aifuatavyo,
Tutakuwa na zana yetu ya kwaza
ambayo itafanya kazi ya kuongoza
taarifa huitwa Model hupokea taarifa
kutoka kwenye server na kutoa ruksa ya
kutumika sehemu yoyote katika
projects yako.

ITAENDELEA

K**a hauelewi kinacho endelea fuatilia masomo yaliyo pita kwenye YouTube yangu.

Address

Mpanda Katavi
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jiku Tech Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jiku Tech Tips:

Videos

Share