Praisemedia

Praisemedia We Brings Updates & News To Your Hands

📌
14/02/2024

📌

20/11/2023

New model 2023
Zx

20/11/2023

New iOS contact share feature

16/11/2023

I phone Apple fifteen (.i15 ) vs Samsung S 22 & 23 utra............. Samsung

11/11/2023

Best event in leonel messi's History of football

27/02/2023

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo (Mb) Ba...
15/02/2023

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo (Mb) Balozi Mhe. Pindi Hazara Chana, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi

30/12/2022

Flags at the Home of FIFA in Zurich are flying at half-mast today, as we remember the eternal king: Pelé

19/12/2022

PDavido performance in Qatar

Ayo updates via PRAISEMEDIA
06/11/2022

Ayo updates via PRAISEMEDIA

Ijumaa hii Italy itakipiga dhidi ya England ambao walikipiga kwenye fainali za Euro 2020, Italy ikaibuka na ushindi! Je ...
23/09/2022

Ijumaa hii Italy itakipiga dhidi ya England ambao walikipiga kwenye fainali za Euro 2020, Italy ikaibuka na ushindi! Je leo hii ni taifa gani litaibuka na ushindi kwenye michuano ya ?
Ni ndani ya Poa sh 10,000 tu utaweza kushuhudia mchuano huu Live kupitia pekee

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza alipowasili kwenye...
01/07/2021

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Bujumbura nchini Burundi kwa ajili ya kufanya ziara ya siku moja.

Praisearin Journalist

29/06/2021

HATUA YA 16 BORA

Biriani Ulaya LIVE on

🏟️ Hampden Park (Glasgow)

Ukraine wakiwa hawapewi nafasi ya kusonga mbele, wamefanikiwa kuingia robo fainali baada ya kupata ushindi dhidi ya Sweden ndani ya dakika 120. 🔥🔥🔥

AFTER EXTRA TIME

Sweden 1-2 Ukraine

“Nimesikitishwa na kifo cha Mhandisi Patrick Mfugale (Mtendaji Mkuu-TANROADS), nitaukumbuka mchango mkubwa katika ujenzi...
29/06/2021

“Nimesikitishwa na kifo cha Mhandisi Patrick Mfugale (Mtendaji Mkuu-TANROADS), nitaukumbuka mchango mkubwa katika ujenzi wa miundombinu yetu hasa barabara, madaraja, reli na umeme, pole kwa Familia na Wizara ya Ujenzi, Mungu amweke mahali pema peponi, Amina”—

Praisearin Journalist

Baada ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuhukumiwa kwenda jela miezi 15 na Mahak**a ya kikatiba, Mahak**a hiy...
29/06/2021

Baada ya Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuhukumiwa kwenda jela miezi 15 na Mahak**a ya kikatiba, Mahak**a hiyo imempa siku 5 Zuma za kujisalimisha yeye mwenyewe kwenye Vyombo vya Dola ili aanze kutumikia hukumu yake.

Praisearin Journalist

“Tangazo la Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Tanzania inajiandaa kuwezesha chanjo za COVID-19 ziweze kupatikana kwa wale wo...
29/06/2021

“Tangazo la Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Tanzania inajiandaa kuwezesha chanjo za COVID-19 ziweze kupatikana kwa wale wote watakaozihitaji ni hatua muhimu itakayoisaidia Tanzania na dunia kutokomeza COVID-19. Marekani ipo tayari kusaidia” ——— U.S. Embassy TanzaniaU.S. Embassy Tanzania Embassy Tanzania

Praisearin Journalist

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022–2025/2026 utakaogha...
29/06/2021

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022–2025/2026 utakaogharimu shilingi trilioni 114.8, ambapo sekta binafsi inatarajiwa kuchangia shilingi trilioni 40.6 na sekta ya umma shilingi trilioni 74.2.

Praisearin Journalist

Polisi DSM wanawashikilia Watuhumiwa 60 wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu, wamek**atwa na vielelezo mbalimbali ikiwe...
29/06/2021

Polisi DSM wanawashikilia Watuhumiwa 60 wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu, wamek**atwa na vielelezo mbalimbali ikiwemo magari matatu, pikipiki 4, TV, friji 1, simu 5 na laptop moja vyote vikiwa vya wizi, pia imek**ata Bastola 2 zilizotumiwa kwenye uhalifu.

Praisearin Journalist

FT: England 2-0 Germany (Sterling 75’ 85’), England wanaitoa Germany katika hatua ya mtoano wa michuano mikubwa kwa mara...
29/06/2021

FT: England 2-0 Germany (Sterling 75’ 85’), England wanaitoa Germany katika hatua ya mtoano wa michuano mikubwa kwa mara ya kwanza toka 1966.

Praisearin Journalist

Mahak**a ya Katiba nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma baada ya...
29/06/2021

Mahak**a ya Katiba nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma baada ya kumkuta na hatia ya kukaidi agizo la kufika Mahak**ani ili kutoa ushahidi kuhusu shutuma za rushwa wakati wa utawala wake.

Praisearin Journalist

RC wa Dar es salaam, Amos Makalla, amepokea Mabasi 70 ya Mwendokasi kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma ya...
29/06/2021

RC wa Dar es salaam, Amos Makalla, amepokea Mabasi 70 ya Mwendokasi kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma ya usafiri kwa Wakazi wa Dar es salaam, RC Makalla amesema anafurahishwa kuona mafanikio hayo yamepatikana ndani ya siku 100 za Rais Samia.

Praisearin Journalist

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali alipo...
29/06/2021

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo June 29, 2021 akitokea Jijini Dar es salaam.

Praisearin Journalist

“Kuhusu Corona maamuzi yetu ni kwamba twende na Dunia inavyokwenda, niwe mkweli Tanzania tuna Wagonjwa wa Corona, kwa ta...
28/06/2021

“Kuhusu Corona maamuzi yetu ni kwamba twende na Dunia inavyokwenda, niwe mkweli Tanzania tuna Wagonjwa wa Corona, kwa takwimu nilizonazo tuna Wagonjwa k**a 100 na kitu, na kati yao Wagonjwa 70 naa, wapo kwenye mitungi na wengine matibabu ya kawaida”——Rais Samia..

Praisearin Journalist

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumatano  wiki hii atapokea ripoti ya uchunguzi wa fedha zilizotoka Benki Kuu ya Tanzan...
28/06/2021

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumatano wiki hii atapokea ripoti ya uchunguzi wa fedha zilizotoka Benki Kuu ya Tanzania kwa kipindi cha miezi mitatu

Praisearin Journalist

 : Ibrahim Yucel kutoka Uturuki ameamua kubuni kitu kinachofanana na Helmet na kuvaa kichwani huku kikiwa kinafungwa na ...
28/06/2021

: Ibrahim Yucel kutoka Uturuki ameamua kubuni kitu kinachofanana na Helmet na kuvaa kichwani huku kikiwa kinafungwa na kufuli wakati wote hadi pale anapotaka kula kwa lengo la kumsaidia kuacha sigara, kifaa hicho kikishafungwa mara nyingi funguo anatembea nazo Mkewe.

 : Kwa mujibu wa Emojipedia sasa rasmi Emoji ya kilio ya —>😭 < — inatumiwa zaidi na Watu baada ya kuipiku emoji ya kiche...
28/06/2021

: Kwa mujibu wa Emojipedia sasa rasmi Emoji ya kilio ya —>😭 < — inatumiwa zaidi na Watu baada ya kuipiku emoji ya kicheko ya 😂 ambayo imekaa kileleni kwa muda mrefu ikiongoza kwa kutumiwa zaidi.

PrPraisearin JournalistoPraisearin Journalist

Address

Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Praisemedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Praisemedia:

Videos

Share

Category


Other TV Networks in Moshi

Show All