Je m'appelle viny

Je m'appelle viny Football news This page just opened to support the football lovers
(1)

Unahofu kuhusu kiwango cha inonga varane?
20/09/2023

Unahofu kuhusu kiwango cha inonga varane?

ADMIN ๐Ÿ‘‰SENDING LOVE TO YOU I gained 936 followers, created 135 posts and received 95,607 reactions from June to Septembe...
19/09/2023

ADMIN ๐Ÿ‘‰SENDING LOVE TO YOU
I gained 936 followers, created 135 posts and received 95,607 reactions from June to September! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. ๐Ÿ™๐Ÿค—๐ŸŽ‰

BOCCO DE CAPTAINO ยฉUnaonaje kiwango chake anaupiga?
19/09/2023

BOCCO DE CAPTAINO ยฉ
Unaonaje kiwango chake anaupiga?

Kikosi kimewasili dar es salamaWar in dar inakujia karibuni
18/09/2023

Kikosi kimewasili dar es salama
War in dar inakujia karibuni

NOVATUS KUANZA NA FC PORTO Kesho UEFANyota wa Kitanzania, Novatus Dismas anatarajiwa kesho, Jumanne kuwa sehemu ya kikos...
18/09/2023

NOVATUS KUANZA NA FC PORTO Kesho UEFA

Nyota wa Kitanzania, Novatus Dismas anatarajiwa kesho, Jumanne kuwa sehemu ya kikosi cha FC Shakhtar Donetsk ambacho kitakuwa nyumbani kwenye uwanja wao wa National Sports Complex kwa ajili ya kutupa karata yao ya kwanza kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Porto ya Ureno.
Huu utakuwa mchezo wa tano kwa timu hizi mbili kukutana kwenye Ligi ya Mabingwa, huku FC Porto ikionekana kuwa na rekodi nzuri kwani imeshinda na kutoka sare mara mbili hivyo FC Shakhtar Donetsk itakuwa ikisaka ushindi wake wa kwanza.
Shakhtar Donetsk itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri ya kutopoteza ikiwa nyumbani katika mchezo wa ushindani mwaka huu.NOVATUS KUANZA NA FC PORTO KESHO

Nyota wa Kitanzania, Novatus Dismas anatarajiwa kesho, Jumanne kuwa sehemu ya kikosi cha FC Shakhtar Donetsk ambacho kitakuwa nyumbani kwenye uwanja wao wa National Sports Complex kwa ajili ya kutupa karata yao ya kwanza kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Porto ya Ureno.
Huu utakuwa mchezo wa tano kwa timu hizi mbili kukutana kwenye Ligi ya Mabingwa, huku FC Porto ikionekana kuwa na rekodi nzuri kwani imeshinda na kutoka sare mara mbili hivyo FC Shakhtar Donetsk itakuwa ikisaka ushindi wake wa kwanza.
Shakhtar Donetsk itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri ya kutopoteza ikiwa nyumbani katika mchezo wa ushindani mwaka huu.

Mwamba wa lusaka ๐Ÿฆโšฝ
18/09/2023

Mwamba wa lusaka ๐Ÿฆโšฝ

MANENO YA BUSARA KUTOKA KWA Kagere Medie TERMINATOR ๐Ÿฆ Natambua siwezi tena kuja kuwa mchezaji wa SIMBA kutokana na umli ...
11/09/2023

MANENO YA BUSARA KUTOKA KWA Kagere Medie TERMINATOR ๐Ÿฆ
Natambua siwezi tena kuja kuwa mchezaji wa SIMBA kutokana na umli wangu maisha ya football yana wakati wake nimefanya mengi nikiwa na timu ya Gor mahia ya Kenya nikaja kujiunga na SIMBA katika nyakati zangu nikiwa SIMBA sikuwai kujuta kuwa SIMBA ndomana mpaka sasa moyo wangu unakuwa na furaha kuona SIMBA inafanya vizuri kimataifa......

SIMBA ni timu ambayo inakaa na wachezaji wake vizuri na kumalizana nao vizuri ndomana mpaka sasa kuna wachezaji zaidi yangu waliopita SIMBA wanaipenda SIMBA kutokana na maisha waliopitia wakiwa hapo.....

Kwangu niwatakie kila la Kheli katika kusaka nafasi ya kuingia makundi natambua mchezo utakuwa mgumu sababu kwa sasa kila timu imejipanga kufanya vizuri mpira unazidi kuwa na ushindani Sana .......

Kuusu yanga siwezi kusema kitu ila kwangu nawakalibisha Rwanda sababu wanakuja wakati ambao nitakuwa mapumziko hivyo nitafika kuangalia mchezo huo niwambie tu yanga kuwa mchezo utakuwa wa ushindani Sana kulingana na timu pinzani kuwa na Record nzuri kimataifa ila sio kigezo chakusema kuwa awawezi kuvuka hapo hapana yanga kwa sasa ni timu nzuri Sana Mimi nawatakia maandalizi mema ....

Record yangu kubwa IPO simba sc

10/09/2023

WOSIA KWA WASICHANA WAREMBO๐Ÿ˜„

๐— ๐—˜๐—–๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œWafungaji wa mechi ya leo dhidi ya Ngome FC 09โ€™โ€”โŒ Phiri (penalty)31โ€™โ€”โšฝ๏ธ  Kapomeb41โ€™โ€”โšฝ๏ธ Kramo45โ€™โ€”โšฝ๏ธ Bale...
09/09/2023

๐— ๐—˜๐—–๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ

Wafungaji wa mechi ya leo dhidi ya Ngome FC
09โ€™โ€”โŒ Phiri (penalty)
31โ€™โ€”โšฝ๏ธ Kapomeb
41โ€™โ€”โšฝ๏ธ Kramo
45โ€™โ€”โšฝ๏ธ Baleke
66โ€™โ€”โšฝ๏ธ Onana
87โ€™โ€”โšฝ๏ธ Baleke
89โ€™โ€”โšฝ๏ธ Chilunda

Kikosi cha Simba X1:
Lakred, Kapombe, Hussein, Kazi, Che Malone, Ngoma, Kanoute, Miquissone Onana, Phiri.

NB. Simba SC imecheza mchezo wa tatu mfululizo na michezo yote wameshinda, Aubin Kramo amefunga michezo yote, Shabani Chilunda amefunga kwenye michezo miwili.

๐Ÿ”ดโšช๏ธ

MEDIE KAGERE AIPONGEZA STARS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ "hongera sana stars"
08/09/2023

MEDIE KAGERE AIPONGEZA STARS ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ "hongera sana stars"

Dhambi zote  za Kibu denis apewe mzize ๐Ÿ˜‚Admin SingidafountanegateFc
08/09/2023

Dhambi zote za Kibu denis apewe mzize ๐Ÿ˜‚Admin SingidafountanegateFc

Mzamiru Yasin kiungo punda unampa asilimia ngapi kiwango chake?
08/09/2023

Mzamiru Yasin kiungo punda unampa asilimia ngapi kiwango chake?

KIB Denis kiwango chake unampa asilimia ngapi?
08/09/2023

KIB Denis kiwango chake unampa asilimia ngapi?

HONGERA TANZANIA KWA KUFUZU AFCON 2024OFFICIAL: 18 Countries have qualified for the AFCON 2024.  ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocc...
07/09/2023

HONGERA TANZANIA KWA KUFUZU AFCON 2024
OFFICIAL: 18 Countries have qualified for the AFCON 2024.

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Ivory Coast
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ Senegal
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ Burkina Faso
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Zambia
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ถ Equatorial Guinea
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ผ Guinea-Bissau
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป Cape Verde
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Guinea
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Angola
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania

MASHUJAA WETU WAPOTAYARI KUTETEA NEMBO YA SIMBA SC ๐Ÿฆ Maandalizi yamekuwa vita siyo mchezo tena watu wako na sura za kazi
06/09/2023

MASHUJAA WETU WAPOTAYARI KUTETEA NEMBO YA SIMBA SC ๐Ÿฆ
Maandalizi yamekuwa vita siyo mchezo tena watu wako na sura za kazi

SIMBA SC 5-1 COSMOPOLITANMchezo wa kirafiki leo wafungaji hapa hapa14โ€™โ€”โšฝ๏ธ Phiri (tikitaka)16โ€™โ€”โšฝ๏ธ Baleke21โ€™โ€”โšฝ๏ธ Onana35โ€™โ€”๐ŸŸฅ...
05/09/2023

SIMBA SC 5-1 COSMOPOLITAN
Mchezo wa kirafiki leo wafungaji hapa hapa
14โ€™โ€”โšฝ๏ธ Phiri (tikitaka)
16โ€™โ€”โšฝ๏ธ Baleke
21โ€™โ€”โšฝ๏ธ Onana
35โ€™โ€”๐ŸŸฅ Kapombe
36โ€™โ€”โšฝ๏ธ Cosmo (pen)
58โ€™โ€”โšฝ๏ธ Kramo
85โ€™โ€”โšฝ๏ธ Chilunda
Kikosi cha Simba Kilichoanza:
Lakred, Kapombe, Hussein, Kazi, Che Malone, Ngoma, Kanoute, Miquissone Onana, Phiri, Baleke.

Address

Kilimanjaro
Moshi
474

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Je m'appelle viny posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Je m'appelle viny:

Videos

Share