BJ Fahamu

BJ Fahamu Wildlife and Environment contents creator focus on conservation.
+255743038781
Founder " "

macho yao husemwa kuwa ndiyo makubwa kuliko wanyama wote wa ardhini, yakiwa na sm 5, hivyo huweza kuwaona adui zao hata ...
07/12/2024

macho yao husemwa kuwa ndiyo makubwa kuliko wanyama wote wa ardhini, yakiwa na sm 5, hivyo huweza kuwaona adui zao hata wakiwa mbali sana. Macho yao yanakingwa na mwanga mkali wa jua kutoka juu. Jicho la Mbuni ni Kubwa kuliko hata Ubongo wake. Jicho la mbuni linalingana na yai la kuku. Hivyo ana uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kwenye giza.

Karani tamba ni ndege mkubwa, hasa wa nchi kavu. anapatikana katika bara la Afrika tu (endemic), kwa kawaida hupatikana ...
05/12/2024

Karani tamba ni ndege mkubwa, hasa wa nchi kavu. anapatikana katika bara la Afrika tu (endemic), kwa kawaida hupatikana katika nyanda za wazi na savanna za eneo la kusini mwa jangwa la Sahara, anapatikana kirahisi maeneo Tengefu ya hifadhi.
Licha ya ndege huyu kuwa na sifa nyingi na uzuri ulio kithiri baadhi ya mataifa k**a sudani na afrika ya kusini wanamtumia ndege huyu k**a sehemu ya nembo ya taifa.
Pia ni ndege aliye ibua mijadala mengi kwa wanasayansi wa ndege huku kila mwanasayansi kumuweka katika kundi analolijua yeye, mwisho wakaweka makubaliano na kumuweka katika familia ya Sagittariidae.

Karani tamba anatambulika papo hapo k**a ndege mkubwa sana mwenye mwili unaofanana na wa tai kwenye miguu inayofanana na korongo . Kimo-- hufikia kimo cha mita 1.3-1.4 wastani wa futi 4.5. Upana wa mabawa hufikia mita mbili ambao ni sawa na futi 6.6, Uzito-ndege hawa hufikia uziti wa kilogramu 2.3-5. Dume na jike wanafanana kwa sura, wana uso wa rangi nyekundu-machungwa usio na manyoya mengi ya kijivu, na sehemu ya giza iliyotambaa na manyoya na mapaja meusi ya ndege.

Ndege hawa ni wakimya sana na mara nyingi wanapotoa sauti basi huwa ni ya chini na husikika marachache sana watoapo sauti.

Kwelea domo-jekundu jamii ya ndege maarafu kwa jamii ya wakulima wa nafaka k**a mpungu, ndege hawa huingia  katika masha...
29/11/2024

Kwelea domo-jekundu jamii ya ndege maarafu kwa jamii ya wakulima wa nafaka k**a mpungu, ndege hawa huingia katika mashamba ya nafaka ambapo hula nafaka, na kusababisha uharibifu mkubwa, haswa kwani makundi yanaweza kuwa makubwa sana hadi kufikia idadi ya ndege milioni 2 katika kundi moja. Ilhali kila ndege anakula gramu 10 kwa siku, kundi kubwa la kwelea linaweza kumaliza tani 20 za nafaka kwenye siku moja. Kwa hiyo wanachukuliwa kuwa wasumbufu wakubwa wa kilimo.
Jamii nyingi za kiafrika humtambua k**a "NZIGE"

Kunguru bara-hindi jina maarufu  Kunguru wa zanzibar au kunguru mweusi, ni jamii ya ndege ambo asili yake ni huko bara l...
25/11/2024

Kunguru bara-hindi jina maarufu Kunguru wa zanzibar au kunguru mweusi, ni jamii ya ndege ambo asili yake ni huko bara la Asia hasa katika nchi ya India, lakin leo hii wanapatikana katika mabara yote isipokuwa bara la antakitiki.
Katika bara la afrika ni ndege walio letwa (introduced bird), inasemekana waliletwa kwa ajili ya kula mizoga ya wanyama walio kufa (scavenger) katika maeneo ya miji, pia kusafisha mazingira, lakini sasa imekuwa kinyume na lengo la kuwaleta, leo hii wao wamegeuka kuwa wachufunzi wa mazingira na kueneza magonjwa.
Baadhi ya watu wa bara wanaamini kunguru hawa asili (origin) yao ni zanziba ndio maana wanawaita KUNGURU WA ZANZIBA kitu ambacho sio kweli, asili ya kunguru wa zanziba ni nchini India waliletwa zanziba kwa ajili ya kusafisha miji ya uguja na pemba pembezoni mwa bahari ili kula mizoga ya wanyama walio kufa.
kunguru hawa wanauwezo mkubwa wa kuhama eneo lolote lile ndio maana leo hii wajamejaa sana maeneo ya bara.

"Huku kwenu ni changamoto gani inakutana nayo kutoka kwa kunguru hawa"

Tumbusi au tai mzoga mdomo yao imependa na yenye nguvu inayomsaidia kupasua na kutawanya mzoga . mdomo wake haushindwi k...
23/11/2024

Tumbusi au tai mzoga mdomo yao imependa na yenye nguvu inayomsaidia kupasua na kutawanya mzoga . mdomo wake haushindwi kutawanya mzoga hata kutawanywa mifupa wakati wa kula, hata baadhi ya wanyama wanamuogopa sana tumbusi kwa sababu ya mdomo wake simba na wanyama.

Tuwatunze tumbusi ni muhimu sana katika ikolojia

Usisahau kupanda miti    #
21/11/2024

Usisahau kupanda miti

#

Nature talk
19/11/2024

Nature talk

Usisahau kutunza mazingira
19/11/2024

Usisahau kutunza mazingira

Nature lovers
18/11/2024

Nature lovers

18/11/2024

Fahamu machache kuhusu nyati wa Afrika ( African buffalo)

Moyo wa uhifadhi
14/11/2024

Moyo wa uhifadhi

Chozi  wa Pemba ( Cinnyris pembae ) ni aina ya ndege wa jamii ya chozi anapatikana katika kisiwa cha Pemba, nchini Tanza...
13/11/2024

Chozi wa Pemba ( Cinnyris pembae ) ni aina ya ndege wa jamii ya chozi anapatikana katika kisiwa cha Pemba, nchini Tanzania tu hapatikani sehemu nyingine (endemic)

Shiriki katika uhifadhi wa wa ndege pori

The gray junglefowl (Gallus sonneratii), also known as Sonnerat's junglefowl, is one of the wild ancestors of the domest...
11/11/2024

The gray junglefowl (Gallus sonneratii), also known as Sonnerat's junglefowl, is one of the wild ancestors of the domestic chicken.

Kuku mwitu

Jenga moyo wenye kupenda viumbe hai
11/11/2024

Jenga moyo wenye kupenda viumbe hai

Bird watching for lifedesigning
09/11/2024

Bird watching for life
designing

FAHAMU: SIFA NA TABIA ZA KIPEKEE ZA NDEGE TUMBUSITumbusi ni ndege wakubwa wanao patikana kwenye familia ya Accipitridae ...
09/11/2024

FAHAMU: SIFA NA TABIA ZA KIPEKEE ZA NDEGE TUMBUSI

Tumbusi ni ndege wakubwa wanao patikana kwenye familia ya Accipitridae ambao sifa ya kubwa hula mizoga na uwezo wa kunusa. tumbusi ni jamii yenye mnasaba na Tai. Tai na tumbusi wapo katika kundi moja , tofauti kubwa kati ya tai na tumbusi, tai yeye anatafuta mawindo yake mwenyewe hali mizoga lakini tumbusi hula mizoga ilibakizwa na wanyama wengine k**a simba na chui. jina lingine hujulikana k**a tai mzoga.
Wanapatikana katika bara la Asia, Afrika, Amerika kaskazini na kusini. Tumbusi wana midomo yenye nguvun iliyopinda inayomsaididia katika kupasua mizoga.

HIFADHI NDEGE TUMBUSI KWA AFYA YA IKOLOJIA

Karani tamba ni ndege mkubwa, hasa wa nchi kavu. anapatikana katika bara la Afrika tu (endemic), kwa kawaida hupatikana ...
08/11/2024

Karani tamba ni ndege mkubwa, hasa wa nchi kavu. anapatikana katika bara la Afrika tu (endemic), kwa kawaida hupatikana katika nyanda za wazi na savanna za eneo la kusini mwa jangwa la Sahara, anapatikana kirahisi maeneo Tengefu ya hifadhi.

Licha ya ndege huyu kuwa na sifa nyingi na uzuri ulio kithiri baadhi ya mataifa k**a sudani na afrika ya kusini wanamtumia ndege huyu k**a sehemu ya nembo ya taifa.
Pia ni ndege aliye ibua mijadala mengi kwa wanasayansi wa ndege huku kila mwanasayansi kumuweka katika kundi analolijua yeye, mwisho wakaweka makubaliano na kumuweka katika familia ya Sagittariidae.

Karani tamba anatambulika papo hapo k**a ndege mkubwa sana mwenye mwili unaofanana na wa tai kwenye miguu inayofanana na korongo . Kimo-- hufikia kimo cha mita 1.3-1.4 wastani wa futi 4.5. Upana wa mabawa hufikia mita mbili ambao ni sawa na futi 6.6, Uzito-ndege hawa hufikia uziti wa kilogramu 2.3-5. Dume na jike wanafanana kwa sura, wana uso wa rangi nyekundu-machungwa usio na manyoya mengi ya kijivu, na sehemu ya giza iliyotambaa na manyoya na mapaja meusi ya ndege.

Hifadhi mazingira, tulinde mazalia ya ndege tamba

Address

P. O BOX 300O MOROGORO
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BJ Fahamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BJ Fahamu:

Videos

Share