Ukweli Ni Uhuru

Ukweli Ni Uhuru Usikate tamaa, bado hujachelewa.

"K**a watu wanakusifia wewe badala ya kumsifia Mungu kupitia wewe, ujue bado moto haujateketeza madhabahu yako." Pr Don ...
23/05/2024

"K**a watu wanakusifia wewe badala ya kumsifia Mungu kupitia wewe, ujue bado moto haujateketeza madhabahu yako." Pr Don Maclaferty

"Usimuabudu Bwana kwa kuwa tu anaweza kukuponya, Bali muabudu Yeye kwa Sababu anastahili." Pr Don MacNi katika mikutano ...
20/05/2024

"Usimuabudu Bwana kwa kuwa tu anaweza kukuponya, Bali muabudu Yeye kwa Sababu anastahili." Pr Don Mac
Ni katika mikutano mikubwa inayoendelea hapa Singida ya Uamsho na Matengenezo, yenye wajumbe zaidi ya 800.

Friends indeed.❤️
11/05/2024

Friends indeed.❤️

Ungefanya nini k**a ungeambiwa kwamba umebakiwa na masaa 24 pekee ya kuishi? Dondosha majibu kwenye comment nisome. Na u...
08/05/2024

Ungefanya nini k**a ungeambiwa kwamba umebakiwa na masaa 24 pekee ya kuishi? Dondosha majibu kwenye comment nisome. Na ukitaka somo zima, nicheki kwenye namba hiyo.

Baada ya kupitia makaratasi haya, nimejiuliza swali la msingi sana: Maisha maana yake ni nini? Na nini mwisho wa mambo h...
19/03/2024

Baada ya kupitia makaratasi haya, nimejiuliza swali la msingi sana: Maisha maana yake ni nini? Na nini mwisho wa mambo haya yote ambayo watu huwapelekea kugombana, kudharauliana, kuuana, kuibiana na hata kusalitiana? Maisha haya yanapita upesi, na licha ya makaratasi yote unayoweza kupata, unazikwa na kusahauliwa. K**a Yesu asipokuwa wa kwanza, hakuna chochote kinachofika salama.

Tunahitaji kuisikia injili kila siku, kwa sababu tunaisahau kila siku.
29/02/2024

Tunahitaji kuisikia injili kila siku, kwa sababu tunaisahau kila siku.

23/02/2024
Moyo wa kupenda.❤️
22/02/2024

Moyo wa kupenda.❤️

Unafikiri bado umbali kiasi gani twende nyumbani?
30/01/2024

Unafikiri bado umbali kiasi gani twende nyumbani?

Siku ya 8
17/01/2024

Siku ya 8

Mungu ndiye anayetupatia afya ya kwenda katika kazi zetu. Kila siku ndiye anayetuamsha wala siyo alarm za simu zetu, siy...
07/01/2024

Mungu ndiye anayetupatia afya ya kwenda katika kazi zetu. Kila siku ndiye anayetuamsha wala siyo alarm za simu zetu, siyo umakini wetu. Tunapoenda na kurudi ni Bwana anayetulinda kwa kutumia malaika zake. Basi anatarajia tujisikie kudaiwa shukrani. Si kwa nguvu wala kwa maarifa, bali ni neema Yake kwamba tuendelee kulitukuza jina lake katika kazi zetu. Hebu turudishe mwitikio wa upendo kwake katika zaka na sadaka zetu zilizo kamili. Hebu tupate ujasiri wa kusema, Bwana haya niliyonayo ni wewe umenipatia, na katika haya nimekutolea. Najua haya hayalipi unachonifanyia, lakini yanaonesha kwamba najua unachofanya maishani mwangu. Hebu kila mmoja wetu ajisikie furaha kuwa wakili mwema kupitia matoleo yake. Baraka za Bwana ziwe pamoja nawe.

Kwa sababu Bwana anaishi, na Tumaini letu liko kwake, Nawaombea wote ambao wanamtazama Bwana kwa shauku ili awapatie wat...
03/01/2024

Kwa sababu Bwana anaishi, na Tumaini letu liko kwake, Nawaombea wote ambao wanamtazama Bwana kwa shauku ili awapatie watoto. Nawaombea Bwana aingilie kati, afungue njia, Nasi tukauone utukufu wake. Kwa imani, itakuwa. Bwana awaangazie nuru ya uso wake na kuwabariki.

Birthday yangu mwaka huu nataka kushiriki pamoja na watoto wa kimasai wasio na sare za shule. Ukiamua kushiriki nami, ni...
31/12/2023

Birthday yangu mwaka huu nataka kushiriki pamoja na watoto wa kimasai wasio na sare za shule. Ukiamua kushiriki nami, nitumie mchango wako kwa namba 0769518343.

Karibuni
28/12/2023

Karibuni

Unajisikia kukosa furaha kwa sababu ya mipango ambayo hujaitimiza mwaka 2023? Hesabu baraka za Mungu, amini katika nafas...
28/12/2023

Unajisikia kukosa furaha kwa sababu ya mipango ambayo hujaitimiza mwaka 2023? Hesabu baraka za Mungu, amini katika nafasi ya pili mwaka 2024. Usighubikwe na yale ambayo hukuyatimiza, bali furahia yale ambayo Mungu alikuwezesha kuyafanya. Kwa sababu bado unaishi, amini kwamba Mungu bado ana kazi na wewe, na kwamba kurasa za maisha yako bado zinaandikwa. Mungu yuko upande wako. 2024 hautakuwa mwaka rahisi, lakini Mungu atakufanya kuwa imara ili uweze kustahimili. Kuna furaha pale juu kileleni baada ya kushinda. Yesu anakuja tena!

My favorite books, 2023.
24/12/2023

My favorite books, 2023.

Bwana anajua kila unalopitia.
07/12/2023

Bwana anajua kila unalopitia.

Endeleeni kuwaalika marafiki watafaidika sana na masomo haya. Link ni hii hii:
16/11/2023

Endeleeni kuwaalika marafiki watafaidika sana na masomo haya. Link ni hii hii:

WhatsApp Group Invite

Have watched the documentary? Of not, you're not late... Click the link and enjoy Maasai flavors: youtu.be/pO_XPy1aM_k…
16/10/2023

Have watched the documentary? Of not, you're not late... Click the link and enjoy Maasai flavors: youtu.be/pO_XPy1aM_k…

Mchungaji wakati akitazamiwa kuwa imara siku zote, kutabasamu, kutia moyo, kutenga muda wa kuombea wengine, kutembelea n...
14/10/2023

Mchungaji wakati akitazamiwa kuwa imara siku zote, kutabasamu, kutia moyo, kutenga muda wa kuombea wengine, kutembelea na kuwa hamasa na mfano kwa kila anayemuona, hata hivyo k**a binadamu mwingine yeyote, mchungaji pia hukata tamaa, huhuzunika, hulia, huugua, hufadhaika. Siyo rahisi kuwa imara wakati wote. Je, umetenga muda kumuombea mchungaji wako?

Usikose sehemu ya tatu.
19/09/2023

Usikose sehemu ya tatu.

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukweli Ni Uhuru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share