Intelligencia wa Habari moto moto ndani na njee.

Intelligencia wa Habari moto moto ndani na njee. Pata habari za kila siku zinazojiri hapa ulimwenguni miongoni mwa habari hizo ni za Kitaifa,Kimataifa, Michezo ndani na njee ya nchi. Tunakukaribisha sana.

Habari yako natumaini ni mzima wa afya tele, karibu katika fans page yetu hii ili upate habari za kila siku zinazojiri ulimwenguni kote ziwe za Siasa,Afya,Jamii,Utamaduni,Michezo,Kitaifa na Kimataifa,Teknolojia,Elimu,Mahusiano na nyingine nyingi,bila kujari itikadi za aina yoyote ile. Habari hizo zitakuwa zinakujia kwenye mfumo wa lugha kuu mbili Kiswahili au kiingereza ili mradi kila mtu anufaike

katika uwasilishaji wa habari kemkem. Hivyo basi ili uweze kupata habari hizi ni lazima u like page yetu ili zikufikie kwa urahisi zaidi. Tunawatakia kila kheri.

Address

Mbeya
MBEYA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Intelligencia wa Habari moto moto ndani na njee. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Intelligencia wa Habari moto moto ndani na njee.:

Share