99.3Thejointshow

99.3Thejointshow Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from 99.3Thejointshow, Broadcasting & media production company, mbeya uyole, Mbeya.

07/11/2024

HATA K**A KINYAKYUSA KIGUMU...LAKINI KWA NIABA YA YANGA AFRICANS....NAOMBA NISEMA IBMBWELE MULUK**AπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

23/10/2024
10/09/2024

SASAHIVI SIYO SAVANA TENA,UTASKIA NINUNULIE SUPU...🀣🀣🀣🀣

IT'S SUMMER BEACH PARTY 2024πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Like nobody's business,we have to enjoy our life times ..03 sept 2024 uelekeo ni ...
30/08/2024

IT'S SUMMER BEACH PARTY 2024
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Like nobody's business,we have to enjoy our life times ..03 sept 2024 uelekeo ni matema beach at LAKE PHOENIX HOTEL
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

Bango lina someka Hivyo..

Activities
πŸ“πŸ“πŸ“
πŸ₯©Kutafuna nyama choma

🚣Boat ride

πŸŽ§πŸŽΆπŸ’ƒπŸ»πŸ•ΊπŸ» Dancing

Music policy by

Dj brian babu
(expendable soul)

NB all foods & drinks available with free parking

Bila kusahau vyumba kwaajili Ya malazi vipo

(weka booking mapema)
0672793577

Location ni matema beach

Mahali ni lake PHOENIX HOTEL

Kiingilio ni 3000 TSH

Wote mna karibishwa
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

01/08/2024

Italian Relationship:
1st day= S*x
2nd day= S*x again.

French Relationship:
1st day = movies & kiss
2nd day = S*x
3rd day = S*x again

British Relationship:
1 day= hangout & kiss
2nd day = kiss & hug
3rd day= kissing, hug and smooching
4th day = s*x and more s*x

American Relationship:
1st day= Date
2nd day= Hug
3rd day= Hug again (warmly)
4th day= Kiss
5th day= Long kiss
6th day= S*x

African Relationship:
Especially TANZANIA
1st day= Toast
2nd day= Toast
3rd day= Toast again
4th day= Agree
5th day= Date
6th day= Date again
7th day= Date again with three of her hungry friends or cousins.
8th day= Date & Hug
9th day= Tried to peck but failed.
10th day = Peck
11th day= Tried to kiss but failed.
12th day= kiss
13th day= Long kiss
14th day= Tried to have s*x but failed.
15th day= Tried to have s*x but quarrelled
16th day= Didn't talk to each other
17th day= Malice till the next day
18th day= The man called but the woman didn't pick
19th day= The man called, the woman picked and asked: "what is it?"
The man apologize and the replied: "Leave me alone, am not that type of girl"
The man continued to beg till the next day.
20th day= The woman accepted the unwarranted apology
21st day= Hug
22nd day= Long hug
23rd day= Kiss
24th day= Long kiss
25th day= Tried to have s*x but the woman complains that her phone is bad. Guy promises to buy her a new one.
26th day= Tried to have s*x but the woman said until he buys the phone
27th day= Tried to have s*x but the woman asked: "where is the phone? U are not serious, call me when you are serious"
28th day= R**e.
29th day= Police caseπŸ˜‚

UTAMU WA MUZIKI🎸 UPATE KILE UNACHOHITAJI HAPA PEPE KALE KULE BONGOMAN KATI PAPA WEMBA WAKATI GROUP TUNATULIA NA WENGE BC...
20/04/2024

UTAMU WA MUZIKI🎸 UPATE KILE UNACHOHITAJI HAPA PEPE KALE KULE BONGOMAN KATI PAPA WEMBA WAKATI GROUP TUNATULIA NA WENGE BCBG HII NDIO MAANA HALISI YA BURUDANIπŸ“’ SIKU NI JUMAAPILI 2️⃣NA MAHALI NI MWAILUBI CAR WASH AND LOUNGEπŸ›• UNAKOSAJE SASA KWENYE SUNDAY BUZUKI ACHA WENYE ENZI WAKUMBUMBUKE ENZI ZAO MUZIKI ULIPOKUA MUZIKIπŸ“Ί NA DJ BRIAN BABU🎚️ LEGENDARY MNYAMAAA

13/04/2024

VIBE πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯LA JUMAPILI HII NDANI YA MWAILUBI πŸš— AND LOUNGE NI 🎸MWENDO WA ZOUK RHUMBA,BAKULUTU MAYENU,SOUKOUS,BILA KUSAHAU MAMBO YETU YA TAZARA πŸš‚ CLUB ENZI HIZO,MTAJI WA MASIKINI,BETA MUSICA,FM NA NGOMA KIBAO KALI ZA BOLINGO ENZI ZILE....SHOW NZIMA ITA ANZA SAA NANE MCHANA,CHINI YA USIMAMIZI WA DJ BRIAN BABU & DJ ADAM MAKOPA❀❀❀......HAKUNA KIINGILIO

KATIKA KU SHEREHEKEA  SIKUKUU YA EID ...MWAILUBI CARWASH & LOUNGE TUNA KULETEA MKALI WA KARAOKE TZ 🎀.  ..(THE JACKO),NJO...
10/04/2024

KATIKA KU SHEREHEKEA SIKUKUU YA EID ...MWAILUBI CARWASH & LOUNGE TUNA KULETEA MKALI WA KARAOKE TZ 🎀. ..(THE JACKO),NJOO TUIMBE PAMOJA NAE...HUKU BURUDANI 🎹🎼 YA NGOMA KALI ZITA SHUSHWA NA MWAILUBI DJS...πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯DJ ADAM MAKOPA,BILA KUSAHAU THE SUPER SUB,A.K.A DJ BABU....BILA KUSAHAU ⚽⚽ SOCCE K**A KAWIDA YETU GAME ZOTE ZITA ONYESHWA KUANZIA GAME YA YANGA SAA 2:00 USIKU,NA ZILE ZA UEFA....BARCELONA ZIDI YA PSGπŸ’₯πŸ’₯ NA ATL MADRID ZIDI YA BORUSSIA DORTMUND...BILA KUSAHAU TUNA KUPA NAFASI YA KUPELUZI KWA FREE WI-FI UKIWA NDANI YA MWAILUBI....KARIBU TUKU HUDUMIE

07/04/2024

VIBE πŸ”₯NI KILA SIKU,J3 HII NDANI YA MWAILUBI 🚘WASH & LOUNGE NI BATA K**A KAWAIDA CHINI YA USIMAMIZI WA DVJ ADAM MAKOPA,ALONG SIDE DJ BRIAN BABU,ISSUE NI JUKE BOX NIGHT,NJOO UCHAGUE NGOMA NASI TUKUGONGEE...MAANA YAKE MTEJA NDIYO DJ...NINOMA NA NUSU....NI MWENDO WA 🍺🍻🍻 NA MUZIKI ...J3 NI JINA SISI NA VIBE DAMDAM... LALA πŸ›ŒπŸ» UZEENI

21/03/2024

SISI NDIYO WA KWANZA KABISA...HURUHUSIWI KUIPENDA TIMU YA TOFAUTI NA KWETU...DAH YAANI HUU NI UNYANYASAJI KABISA....HADI MAMBO YA FURAHA BINAFSI TUNAPANGIWA....MAMA TUTETEE...MIMI SINA TIMU NINAYO IPENDA HAPA KWETU NA SINA JEZI ZA HIZO TIMU...HAKUNA KINACHO NIVUTIA....NAIPENDA MAMELODY KWANINI WANA TULAZIMISHA TUWA SHABIKIE NA IHALI HATU RITDHISWI NA WANACHO ZUONYESHA....

Address

Mbeya Uyole
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 99.3Thejointshow posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 99.3Thejointshow:

Share