Greencity Tv Online

Greencity Tv Online Karibu
Kituo chako bora cha matangazo Online
Kawa Habari za MICHEZO, BURUDANI, MATUKIO na HISTORIA ungana nasi

TUNAKUA KIDIGITALI

06/01/2026

Ila Mashabiki wa Simba
Dah πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

06/01/2026

*MAFUNDI USHONAJI UYOLE WAMESEMA NDIYO.*

Kila mmoja amefurahia na kuitumia fursa kutoka Tulia Trust ikiongozwa na Mkurugenzi wake ambae ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Jimbo la Uyole Mh. Dkt. Tulia Ackson kwa namna anavyo shiriki na kushirikiana na wananchi nyakati tofauti tofauti ili kuhakikisha jamiii inatabasamu.
ackson





06/01/2026

*WANA UYOLE NA FURSA.*

Baadhi ya mafundi wa ushonaji nguo ndani ya Jimbo la Uyole kwa Wanafunzi wanao ishi kwenye mazingira magumu wameonyesha kufurahishwa kwao kwa zoezi hili linalo kwenda kugusa maisha ya watu wengi na kumpongeza Mkurugenzi wa Tulia Trust ambae ni Spika Mstaafu wa Bunge La Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Uyole Mh. Dkt. Tulia Ackson.
ackson



06/01/2026

*FURSA KWA JAMII YETU.*

Mafundi wamepokea vifaa kwa ajiri ya kushona Sare za wanafunzi katika Jimbo la Uyole lenye kata Kumi na Tatu(13), zoezi hilo liliongozwa na timu nzima ya taasisi ya Tulia Trust.


FULSA KWA DANCERS WA MBEYA NA NJE YA MIPAKA YAKEHii ni Fulsa kwenu vijana, kutoka kwa KEMBO COMPANY LIMITED  #          ...
05/01/2026

FULSA KWA DANCERS WA MBEYA NA NJE YA MIPAKA YAKE

Hii ni Fulsa kwenu vijana, kutoka kwa KEMBO COMPANY LIMITED

#

05/01/2026

UYOLE KAZI, MOTO UNAUNGUA πŸ”₯

Kazi imeanza huko πŸ™ŒπŸΎ
Tulia Trust Jimbo la Uyole, zoezi la uandaaji wa Nguo za Shule kwaajili ya Wanafunzi limeanza rasmi ambapo Leo baadhi ya Materials zimeanza kununuliwa.
Ikumbukwe kuwa pia hii ni ajira kwa mafundi, waliobahatika kupata fulsa ya ajira iliyokuwa imetangazwa siku chache zilizopita.

.ackson

17/12/2025
15/12/2025

LINGA UKAPILIKA, NGUBHUJILA UKUKULINGISANIYA πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚

TAR 20 DEC 2025
TUKUTANE MATEMAAAA BEACH ⛱️ 😎

Tiketi ninazo hapa, niagize nikuletee ulipo.

"I'M THE SON OF GOD"
πŸ“² 0742116359

13/12/2025

HISTORIA FUPI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA PERAMIHO KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MAREHEMU JENISTA MUHAGAMA

Msikilize pia baadhi ya maongezi yake kwenye utendaji wake wa majukumu, akiwa Waziri.

08/12/2025

TAARIFA

Hii ni Channel yako pendwa   Ukitazama tafakuli usisahau ku SUBSCRIBE πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎβ˜ΊοΈ
17/11/2025

Hii ni Channel yako pendwa
Ukitazama tafakuli usisahau ku SUBSCRIBE
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎβ˜ΊοΈ

Leo Novemba 17 2025, Taasisi ya Tulia Trust iliyo chini ya Dkt Tulia Ackson ambaye ni Mbunge wa Jimbo jipya la Uyole na Raisi wa Umoja wa Mabunge Duniani...

02/10/2025

TRA MKOA WA MBEYA WATOA ELIMU YA NAMNA AMBAVYO WAFANYA BIASHARA WA MTANDAONI WANAWEZA KUWA SEHEMU YA KUCHANGIA KODI NCHINI.

Elimu hii iliyoambatanishwa na mafunzo ya Matumizi sahihi na salama ya mitandao, pia wamezitaja faida endapo mfanya biashara mtandaoni atazipata endapo atakuwa rasmi katika kulipa kodi.
Faida hizo ni k**a vile
1. Kupata utambulisho wa Kisheria
2. Kuaminika kwa wateja na washirika
3. Kupata Fulsa na Mikopo na Ruzuku
4. Ushiriki katika tenda na wazabuni
5. Kuepuka adhabu za kisheria
6. Kupata alama nzuri ya kikodi
7. Historia ya kifedha iliyowazi
6. Ulinzi wa Biashara yako na
8. Usaidizi wa moja kwa moja kutoka TRA

Pamoja na faida hizo, Meneja wa TRA Mkoa wa Mbeya Bw. Lukas Shaban amesema sasa TRA Mkoa wa Mbeya wameanzisha Dawati maalumu ili kuwasaidia wafanyabiashara wa mtandaoni. Dawati hili linashughulika na elimu pamoja na changamoto zote, ili kuhakikisha kila mmoja anaweza kulipa kodi yake kwa heari na kwa moyo.
Ameongeza kuwa TRA ni rafiki wa mfanya biashara, hivyo kukiwa na jambo lolote la sintofahamu lenye lengo la kudhoofisha ulipaji wa kodi basi fika ofisini mila ipo wazi.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Greencity Tv Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Greencity Tv Online:

Share