Mbulu dc

Mbulu dc HUDUMA NI JADI YETU, KARIBU MBULU DC KWA SASA TUKO DONGOBESH TUKUHUDUMIE
(1)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti zaMikoa na Mamlaka ya Serikali za Mita...
08/07/2024

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za
Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 9483 k**a ilivyoainishwa katika
tangazo hili.

KARIBU UTEMBELE BANDA LA MAONESHO   WA MANYARA
03/07/2024

KARIBU UTEMBELE BANDA LA MAONESHO WA MANYARA

01/07/2024


25/06/2024

24/06/2024

UTEUZI IKULU LEO TAREHE 22.06.2024
22/06/2024

UTEUZI IKULU LEO TAREHE 22.06.2024

*MAAFISA HABARI WA MIKOA NA HALMASHAURI WAPIGWA MSASA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.**Na, Ruth K...
20/06/2024

*MAAFISA HABARI WA MIKOA NA HALMASHAURI WAPIGWA MSASA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.*
*Na, Ruth Kyelula, Mbulu - DC.*
Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Ramadhani Kailima amewataka Maafisa Habari wa Serikali kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza Julai 1, 2024.

Kauli hiyo aliitoa Juni 15, 2024 wakati akifungua mkutano wa Tume na Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

“Ndugu Maafisa Habari, uboreshaji huu unahusu kila mwananchi mwenye sifa, Tumieni njia mbalimbali kuelimisha jamii umuhimu wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza”. Alisema Kailima.

Awali akiwasilisha mada kuhusu uboreshwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya mpiga kura, Bi. Giveness Aswile amesema zoezi hilo linatarajia kuanza Julai 01, 2024 na baada ya uboreshaji inatarajiwa kuwa daftari litakuwa na jumla ya wapiga kura 34,746,638.

“Katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kuzingatia matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka 29,754,699 ya mwaka 2020 hii ni ongezeko la wapiga kura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7,” alisema Bi. Givennes.

Bi. Giveness aliyataja mambo yatakayohusika kwenye uboreshaji wa daftari kuwa ni pamoja na kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu 2025 na kutoa fursa kwa wapiga kura waliopo kwenye daftari na ambao wamehama, waweze kuhamisha taarifa zao kutoka kata au jimbo waliloandikishwa awali.

Pia alisisitiza kutoa fursa kwa wapiga kura walioandikishwa kurekebisha taarifa zao zikiwemo majina na taarifa nyingine, kutoa kadi mpya kwa wapiga kura waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika na kuondoa wapiga kura waliopoteza sifa za kuwemo kwenye daftari kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo na kuukana uraia wa Tanzania au kifo.

19/06/2024
18/06/2024

17/06/2024

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA,MKURUGENZI MTENDAJI WA  HALAMSHAURI YA WILAYA YA MBULU ANAWAKARIBISHA   WOTE.   ...
13/06/2024

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA,MKURUGENZI MTENDAJI WA HALAMSHAURI YA WILAYA YA MBULU ANAWAKARIBISHA WOTE.

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA
12/06/2024

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MTOTO WA AFRIKA

UTEUZI MPYA IKULU LEO TAREHE 06.05.2024
06/06/2024

UTEUZI MPYA IKULU LEO TAREHE 06.05.2024

KARIBU KATIKA UZINDUZI WA BWAWA LA SAMAKI YAEDA CHINI TAREHE 30.05.2024
28/05/2024

KARIBU KATIKA UZINDUZI WA BWAWA LA SAMAKI YAEDA CHINI TAREHE 30.05.2024

UFUNGUZI WA BWAWA LA SAMAKI YAEDA CHINI TAREHE 30.05.2025
28/05/2024

UFUNGUZI WA BWAWA LA SAMAKI YAEDA CHINI TAREHE 30.05.2025

24/05/2024

23/05/2024
17/05/2024

16/05/2024


15/05/2024

TAARIFA KWA UMMA UCHUKUAJI WA VYETI WALIOSHIRIKI ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022
08/05/2024

TAARIFA KWA UMMA UCHUKUAJI WA VYETI WALIOSHIRIKI ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA YA 60 YA SHEREHE ZA MUUNGANO
24/04/2024

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA YA 60 YA SHEREHE ZA MUUNGANO

Address

Mbulu
Manyara

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743583078

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbulu dc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbulu dc:

Share

Category


Other Manyara media companies

Show All

You may also like