UNDA MEDIA Pro.

UNDA MEDIA Pro. Habari kwa wote wakati wote

Haya twende Sasa!! πŸš¨πŸ“° Sead RamoviΔ‡ amepokea ofa ya kuvutia kutoka kwa CR Belouizdad.  πŸ‡©πŸ‡Ώ  Wameahidi kumlipa $40,000 kila...
04/02/2025

Haya twende Sasa!! πŸš¨πŸ“°

Sead RamoviΔ‡ amepokea ofa ya kuvutia kutoka kwa CR Belouizdad. πŸ‡©πŸ‡Ώ

Wameahidi kumlipa $40,000 kila mwezi na pia mkataba wa mwaka 1.5 kwenye meza.

Ofa nzuri sana kukataa kwa sababu hapokei kiasi hicho kutoka kwa Yanga.

Ramović anaondoka Tanzania kwenda Algeria lakini ni habari za kukatisha tamaa mashabiki wa Yanga.

Sura mpya inaanza. βœ…

wa Afrika

FOLLOW UNDA MEDIA Pro.

KUMEKUCHAAAAAAAA!ANAONDOKA  MOTO WA UBAYA UBWELA UNAWAMALIZA.C & P  from Mick jnr🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†:  Sead RamoviΔ‡ anaondoka Yan...
04/02/2025

KUMEKUCHAAAAAAAA!

ANAONDOKA MOTO WA UBAYA UBWELA UNAWAMALIZA.

C & P from Mick jnr

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†:

Sead Ramović anaondoka Yanga mara moja, imethibitishwa.

Amesema kuwa hajafukuzwa lakini amepokea ofa muhimu kutoka kwa klabu katika eneo la Kiarabu ambayo ilikuwa vigumu kuikataa.

Ni uamuzi wa kibinafsi lakini baadhi ya wanachama wa wafanyakazi wake wanashangaa.

wa Afrika

Follow unda media pro

WanalunyasiKikosi cha ubingwa.Wanafungwaje kwa mfano?
02/02/2025

Wanalunyasi

Kikosi cha ubingwa.

Wanafungwaje kwa mfano?


Leo ushindi lazimaViva mnyama
02/02/2025

Leo ushindi lazima

Viva mnyama



HAPA SIO ULAYA NI AFRIKA YA KUSININi Soweto derby!Je, derby huko kwenu ikoje ?Mick jnr anasema" Watu watafikiri hii ni U...
02/02/2025

HAPA SIO ULAYA NI AFRIKA YA KUSINI

Ni Soweto derby!

Je, derby huko kwenu ikoje ?

Mick jnr anasema

" Watu watafikiri hii ni Ulaya lakini jamani, ni Afrika Kusini - nyumbani kwa soka! πŸ‡ΏπŸ‡¦β€οΈ

Wakati Waafrika Kusini wanaamua kujitokeza, wanafanya kwa njia yao na daima ni nzuri. Hii ilikuwa derby sahihi ambayo nimeona. ✨

Soweto Derby ilikuwa na kila kitu. Mitetemo. anga. Furaha. Nishati. Mashabiki wenye shauku. Ninapenda siku k**a hizi. 😍

Ajabu. πŸ‘ "

FULL TIME YANGA SC 4 - 0  KAGERA SUGAR FC4G Imesoma Kmc complex
01/02/2025

FULL TIME YANGA SC 4 - 0 KAGERA SUGAR FC

4G Imesoma Kmc complex




Alisajiliwa Yanga sc kwa mbwembwe na kuondoka KimyakimyaNi Skudu  Makudubela raia wa jamhuri ya Afrika kusini na mchezaj...
01/02/2025

Alisajiliwa Yanga sc kwa mbwembwe na kuondoka Kimyakimya

Ni Skudu Makudubela raia wa jamhuri ya Afrika kusini na mchezaji wa zamani wa Yanga sc aliyesajiliwa kwa mbwembwe za kutisha jumlisha mapiano na hatimaye kuondoka kimyakimya, sasa amejiunga na As vita Club ya Congo DR akiwa mchezaji huru kwa mkataba wa miezi nane wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.

Kongole Makudubela

like and follow our page kwa habari bora wakati wote.

Endeleeni kung'ang'ania wachezaji wenu!KONGOLE SELEMAN MWALIMU..Wydad AC ndiyo kwanza imepokea ITC ya Seleman Mwalimu ku...
31/01/2025

Endeleeni kung'ang'ania wachezaji wenu!

KONGOLE SELEMAN MWALIMU..

Wydad AC ndiyo kwanza imepokea ITC ya Seleman Mwalimu kukamilisha kuhamia Klabu kwa mkataba wa miaka 4.5. πŸš¨πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Atasajiliwa k**a mchezaji wa vijana - mpango.

Rulani Mokwena ananiambia kuhusu fowadi huyo wa Kitanzania:

"Ana uwezo mkubwa na napenda kufanya kazi na wachezaji k**a hao." 🌟

Tazama Mokwena akimgeuza Mwalimu kuwa jini hivi karibuni.

C & P Mick jnr πŸ”₯

Ki Azizi na Hamisa  kwa raha zao!Hivi mechi ni lini vile?
29/01/2025

Ki Azizi na Hamisa kwa raha zao!

Hivi mechi ni lini vile?

Kutoka kwa Love Star SportsWAO WALISEMA KASAINI MIAKA MIWILI;TUKAWAAMBIA WAACHE UONGO Sasa Habari za Uhakika Pacome Zouz...
27/01/2025

Kutoka kwa Love Star Sports

WAO WALISEMA KASAINI MIAKA MIWILI;TUKAWAAMBIA WAACHE UONGO

Sasa Habari za Uhakika Pacome Zouzou bado hajasaini mkataba Wowote na Yanga,kwasasa kabakisha miezi 6 tu kumaliza Mkataba wake..

Yanga walitoa Ofa kwenda Zambro Sports ambaye Ndiye wakala wake wa Pacome Zouzoua signing fees 150K USD na mshahara wa USD 10K kwa mwezi

Pacome Zouzou aligoma Kusaini akaomba aongezewe zaidi ya hapo ili asaini miaka miwili mingine kuendelea kusalia hapo Jangwani

Tayari Club Ya Simba,Al Masry,Al Ahly Benghazi vinafatilia kwa Karibu Saini yake 🀝.

My name is β™₯️ ⭐ Sports TBC Ukweli na Uhakika

POLENI DAR YOUNG AFRICANS FC !
26/01/2025

POLENI DAR YOUNG AFRICANS FC !

SIMBA KIBOKO YAO !Mwarabu kafa 2 lupasoInaongoza kundiImefuzu robo fainali10million goli la mamaManeno kidogo vitendo  v...
19/01/2025

SIMBA KIBOKO YAO !
Mwarabu kafa 2 lupaso
Inaongoza kundi
Imefuzu robo fainali
10million goli la mama
Maneno kidogo vitendo vikubwa


SIMBA NA KAMPENI YA TUNAWAJIBIKA PAMOJA!" Mashabiki bora Africa kwa umoja wetu tuwajibike pamoja "
15/01/2025

SIMBA NA KAMPENI YA TUNAWAJIBIKA PAMOJA!

" Mashabiki bora Africa kwa umoja wetu tuwajibike pamoja "


SIO MBILI TENA NI MECHI MOJA TU!ILA BADO NI PIGO.
14/01/2025

SIO MBILI TENA NI MECHI MOJA TU!

ILA BADO NI PIGO.


Watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu. Mathayo 24:11Kongole Mnyama kwa kufudhu ugenini na mechi moja...
12/01/2025

Watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu. Mathayo 24:11

Kongole Mnyama kwa kufudhu ugenini na mechi moja mkononi


Dua imetiki!Wananchi kufuzu robo fainali CAFCL
05/01/2025

Dua imetiki!
Wananchi kufuzu robo fainali CAFCL

Jeshi la maangamizi!Mwarabu lazima akae kwake!
05/01/2025

Jeshi la maangamizi!
Mwarabu lazima akae kwake!

Shirikisho la mpira barani afrika CAF limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na timu ya taifa ya GUINEA dhidi ya TAIFA STAR...
30/12/2024

Shirikisho la mpira barani afrika CAF limeitupilia mbali rufaa iliyokatwa na timu ya taifa ya GUINEA dhidi ya TAIFA STARS baada ya kudaiwa kuwa mchezaji wa TAIFA STARS, MOHAMMED AME, namba ya jezi aliyokuwa ameivaa haikuwepo kwenye orodha ya wachezaji iliyo wasilishwa kwa ajili ya mechi hiyo.

Address

Kigoma
47512

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UNDA MEDIA Pro. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to UNDA MEDIA Pro.:

Videos

Share

Category