Ladack Chasimbi

Ladack Chasimbi Simba Sc Tanzania

Simba Sc πŸ’ͺ🀩Thanks 6️⃣
02/03/2024

Simba Sc πŸ’ͺ🀩

Thanks 6️⃣

🦁
28/02/2024

🦁

🏟️🦁❀️
28/02/2024

🏟️🦁❀️

Another Day 🀩
07/02/2024

Another Day 🀩

UVINZAZahanati ya Mpeta imefikia 75% kukamilika.
15/06/2022

UVINZA
Zahanati ya Mpeta imefikia 75% kukamilika.

09/05/2022

KARIBU KIGOMA UJIJI

Barabara ya Kagera-Ujiji inayoelekea bonde la mto Ruiche (Ruanda)
12/04/2022

Barabara ya Kagera-Ujiji inayoelekea bonde la mto Ruiche (Ruanda)

Kitama-Buzebazeba Ujiji
21/03/2022

Kitama-Buzebazeba Ujiji

Mafuta ya Mawese na Mafuta ya Mise Kigoma
19/03/2022

Mafuta ya Mawese na Mafuta ya Mise Kigoma

Tunajivunia kuzaliwa kigoma
19/03/2022

Tunajivunia kuzaliwa kigoma

Chikichi zao Bora 🌴
19/03/2022

Chikichi zao Bora 🌴

Karibu Kigoma.    Sabuni (Gwanji kigoma)  zinapatikana
19/03/2022

Karibu Kigoma. Sabuni (Gwanji kigoma) zinapatikana

β™₯️✊
01/03/2022

β™₯️✊

Kigoma
11/02/2022

Kigoma

Heri ya kuzaliwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan
27/01/2022

Heri ya kuzaliwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan

Kasulu ❀️
07/01/2022

Kasulu ❀️

Unalipi la kuwaambia Tanesco ⚑
06/01/2022

Unalipi la kuwaambia Tanesco ⚑

Kambi za Wakulima Bonde la mto Luiche (Luanda)
28/12/2021

Kambi za Wakulima Bonde la mto Luiche (Luanda)

Kambi ya Mkulima Bonde la mto Luiche ✨🌴
28/12/2021

Kambi ya Mkulima Bonde la mto Luiche ✨🌴

Mchakatoto wa uzalishaji wa Mafuta ya Mawese kwa Mashine Bonde la mto Luiche, Mambo mazuri.
28/12/2021

Mchakatoto wa uzalishaji wa Mafuta ya Mawese kwa Mashine Bonde la mto Luiche, Mambo mazuri.

Mashine ya Mafuta ya Mawese imerahisishia Wakulima wa Michikichi katika Bonde la mto Lwiche.
28/12/2021

Mashine ya Mafuta ya Mawese imerahisishia Wakulima wa Michikichi katika Bonde la mto Lwiche.

Barabara iendayo Shule ya Sekondari ya Wakulima hadi Bonde la mto Lwiche (Kabogo)
28/12/2021

Barabara iendayo Shule ya Sekondari ya Wakulima hadi Bonde la mto Lwiche (Kabogo)

Athari za mvua zinazoendelea kunyesha za sababisha ongezeka kwa Kina cha Maji na kubomoka/kumong'onyoka kingo za mto Lwi...
28/12/2021

Athari za mvua zinazoendelea kunyesha za sababisha ongezeka kwa Kina cha Maji na kubomoka/kumong'onyoka kingo za mto Lwiche

Maji Taka juu ya bonde la mto lwiche (Wakulima)
28/12/2021

Maji Taka juu ya bonde la mto lwiche (Wakulima)

Tatizo la Maji lachukiza  Wanakigoma, Utatuzi wa haraka wahitajika.
27/12/2021

Tatizo la Maji lachukiza Wanakigoma, Utatuzi wa haraka wahitajika.

AIFORA EXPRESS
27/12/2021

AIFORA EXPRESS

09/12/2021
MAANDHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU YAZINDULIWA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJIManispaa ya Kigoma/Ujiji imezindua sherehe za  mia...
09/12/2021

MAANDHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU YAZINDULIWA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI

Manispaa ya Kigoma/Ujiji imezindua sherehe za miaka sitini (60) ya Uhuru wa Tanzania kwa kufanya usafi katika soko la Buzebazeba na upandaji Michikichi kando ya barabara ya Mwasenga

Uzinduzi huo umefanyika ukiongozwa na Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bi. Ester Alexander Mahawe ambapo ameshiriki shughuli hizo

Mkuu huyo wa Wilaya akiwa katika soko la Buzebazeba amewataka wafanyabiashara wa soko hilo kuzingatia suala la Usafi ili kudumisha afya zao na wanunuzi wa bidhaa kwa kuzuia milipuko ya Magonjwa inayoweza kutokea

Ameendelea kusema Upo mkakati wa kuanzisha mashindano ya Usafi wa Masoko ili kuhakikisha usafi unadumishwa na masoko yanakuwa rafiki katika shughuli za Kiuchumi

Aidha amewataka kuhakikisha wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji wanapanda miti ya Zao la Michikichi ili kutunza Mazingira na kupata faida ya mazao ya kiuchumi k**a ambavyo Rais wa Awamu ya Kwanza na Mpigania Uhuru Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere alipigania suala la Utunzaji wa Mazingira

Mkuu huyo wa Wilaya amesema maadhimisho hayo yanatarajiwa kuhitimishwa Desemba 9, ambapo kutakuwa na maonesho kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kuonesha bidhaa zao katika Uwanja wa Mwanga Community Centre na Michezo mbalimbali ikifanyika kwa makundi mbalimbali wakiwemo Wazee, Vijana, na Watoto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Kwanza Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Kuharibu Mazingira ni kuiba mali ya Vizazi ambavyo havijazaliwa, Ni kudhulumu haki ya Watoto na Wajukuu wa vizazi vijavyo, Mazingira mazuri tuliyonayo ni urithi kutoka vizazi vilivyotangulia, Hivyo ni Wajibu wa kuyalinda na kuyatunza Mazingira yetu "

Tanzania husherehekea Maadhimisho ya Uhuru Desemba 9, kila Mwaka ambapo Mwaka 1961 Tanzania wakati huo Tanganyika ilipata Uhuru kutoka kwa wakoloni Waingereza

Aifola Express
07/12/2021

Aifola Express

Barbara ya Burega to Aifora Aifora 🏊
07/12/2021

Barbara ya Burega to Aifora Aifora 🏊

Address

Lumumba Load Kigoma
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ladack Chasimbi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Media in Kigoma

Show All