Kabata+

Kabata+ Media Group

🚨🚨
05/10/2024

🚨🚨

Gundua historia ya kushangaza kuhusu sababu iliyosababisha mashirika ya ndege kuhamasisha abiria kupanda kupitia upande wa kushoto badala ya upande wa kulia....

πŸ”₯πŸ”₯KUVUTWA KWENYE MAAMUZI YA MASOMO: KUWEKA MIPAKA KWA UKUAJI BORA WA VIJANA WETUJe, wazazi wanapaswa kuingilia maamuzi y...
05/05/2024

πŸ”₯πŸ”₯KUVUTWA KWENYE MAAMUZI YA MASOMO: KUWEKA MIPAKA KWA UKUAJI BORA WA VIJANA WETU

Je, wazazi wanapaswa kuingilia maamuzi ya vijana kuhusu masomo yao ya CHUO KIKUU? Uchaguzi wa fani ni safari ya kujitambua na kujenga mustakabali wa maisha. Katika makala hii ya leo, tutaangazia jinsi kuingiliwa katika maamuzi ya kuchagua fani ya kusomea kunavyoweza kusababisha mgogoro na msongo wa mawazo kwa na kushauri njia bora za kuwasaidia vijana wetu kufanya maamuzi sahihi kuhusu elimu yao ya baadaye. Jiunge nasi kwa mjadala wa kusisimua! kwenye video hii hapa https://youtu.be/tKGm-0YDLoc?si=4BrgefO5OksdMH4e

Ukiacha kolabo yao ni kitu gani kingine wakifanya wanaweza kuendana? Weka comment yako
15/03/2024

Ukiacha kolabo yao ni kitu gani kingine wakifanya wanaweza kuendana? Weka comment yako

Ili taifa la Tanzania kiweke historia ya kufuzu nusu fainali kwa ngazi ya vilabu kwa msimu huu. Ni sharti hayo majina ya...
13/03/2024

Ili taifa la Tanzania kiweke historia ya kufuzu nusu fainali kwa ngazi ya vilabu kwa msimu huu. Ni sharti hayo majina yafutwe kwenye Semifinal Odds 😭😭. We chama lako limepewa kumngo'a nani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Happy International Women's Day to you all cute and lovely women.
08/03/2024

Happy International Women's Day to you all cute and lovely women.

Kila la Kheri chama languπŸ₯° ushindi ndiyo dua yetu, tuko nyuma yako katika hari zote. Enjoy soka, hakuna kisichowezekana....
17/01/2024

Kila la Kheri chama languπŸ₯° ushindi ndiyo dua yetu, tuko nyuma yako katika hari zote. Enjoy soka, hakuna kisichowezekana. Hata k**a haiwezekani leo, kesho itawezekana. Angola ameshiriki zaidi yetu lakini hakua hata na point moja. Kaishaipata kwa kusawazishia mbambe Algeria. Jana Namibia kupitia kwa Hotto wamemkalisha chuma moja ya Kerubu Tunisia. Majina yasikutishe kabisaaaa. Pambano boys tuko pamoja

HARA MADRIDKile ninachokisema hiki hapa mtu kapigwa 4 kwa 1 metch ya finali lakini bado Barcelona haiachi kuwa club BORA
15/01/2024

HARA MADRID

Kile ninachokisema hiki hapa mtu kapigwa 4 kwa 1 metch ya finali lakini bado Barcelona haiachi kuwa club BORA

HAIKUA VIBAYA KUJIANDAA Lakini maandalizi yakiambatana na majigambo na mdomo mwingi k**a vile mtu anaijua baadae bila BA...
14/01/2024

HAIKUA VIBAYA KUJIANDAA

Lakini maandalizi yakiambatana na majigambo na mdomo mwingi k**a vile mtu anaijua baadae bila BAADAE SIYO YA MTU ni ya MAJALIWA inaumiza na ni kiti kinachoweza kulididimiza soka letu. Wasemaji k**a hawa ni mwimba kwenye maendeleo ya mpira wetu.

Wasemaji wapokonywe mamlaka zao, au wabadilishiwe utaratibu wa kazi. Maana imekua k**a vile usemaji ni kupiga maneno k**a siasa vile. Sijui hata nisemeje. Hivi waandishi wazoefu k**a kina ,

n.k hawawezi kutumia uzoefu wao kuwafunda hawa wasemaji ili wawe professional na siyo kuwaamshia hisia washabiki kwa jambo lisilokuwa la uhakika?

Natamani nguli hawa kwenye medani za michezo watoke waseme huko tunakojifunza mambo mengi, ULAYA na ASIA mambo yako hivi ktk kuendesha mpira?

HONGERA MSUMBIJI, SARE YENU NI FUNZO KWETU NA TAIFA STARS....Kwa ilivyozoeleka, si kawaida kuiona timu ya Misri inasuluh...
14/01/2024

HONGERA MSUMBIJI, SARE YENU NI FUNZO KWETU NA TAIFA STARS....

Kwa ilivyozoeleka, si kawaida kuiona timu ya Misri inasuluhu na timu k**a ya Msumbiji. Tena wakiwa wametangulia wao, wakasawazishiwa, wakaongezwa ndiyo dakika za mwishoooni wanajitetea tena kwa Goli la PENATI ya VAR.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiki ndiyo ninachotamani watu waelewe kuwa mambo yanabadilika. Hata uliyemtangulia kuzaliwa anakua anafikia kuwa mtu mzima mwenye nguvu na uwezo saa nyingine kuliko hata wale waliomtangulia.

Tusishangae siku tukaikosa Misri kwenye mashindano na BINGWA akawa mwingine. K**a mashindano yanahusisha timu zilizofuzu ujue ipo siku walioaminika ni wababe wa soka watapungua na wataibuka wengine na pengine baadae itakua ni k**a kuimba, kupokezekana.

Historia ya soka itabadilika kuliko kawaida....

Hili liwe funzo kwa timu yetu ya taifa. Matokeo haya yawe chachu kwa Taifa Stars inapoenda kumenyana na Morocco, iiendee k**a timu kubwa ndiyo lakini siyo k**a timu yenye haki pekee ya kushinda. Taifa Stars ijipange kushindana kufa kupona.

Mlandenge leo Kala SimbaDhana ya mpira wa wetu imejengwa kwenye historia ya vilabu vyetu, hii imeingia hadi kwenye mishi...
13/01/2024

Mlandenge leo Kala Simba

Dhana ya mpira wa wetu imejengwa kwenye historia ya vilabu vyetu, hii imeingia hadi kwenye mishipa wa wapenzi na wafuatiliaji wa mpira. Wote, washabiki, waachambuzi wa mambo ya mpira wa miguu.

Sitaki kusema kuwa hata wawekezaji wanaishi na dhana hii, na pengine hata wachezaji na mabenchi ya ufundi huamini hivyo pia. Vipi kuhusu viongozi wa mpira mpaka ngazi ya juu? Dhana hii isipobadilika ipo siku tutashangaa kuona vilabu vyetu havipigi hatua kwa kukosa ushindani.

Timu zinazoitwa kubwa zinaamini zitasalia hapo zilipo na zile zinazoitwa ndogo zinaamini kusalia hapo zilipo, dhana hii ni mfu sana katka ulimwengu wa maendeleo na mafanikio. Inafifisha shauku ya kusonga mbele kwa soka letu kwa kiasi kikubwa. Kwa kuwa timu zinazoaminika kua kubwa hazipati msukumo na mitihani stahiki kutoka kwa hizo timu ndogo. Hii inamaanisha vipimo sahihi ni pale vilabu vuetu vinapotoka nje. Kitu hiki kimekua kikizikwisha timu zetu, mabili na kuamini kua ipo siku zitakua. Tutarajie huo kua muujiza. Ikitokea tutashukuru.

Ki ukweli inahitajika mapambano ya dhati kutoka kwa wanahabari, wamiliki, waaamuzi, wachezaji, na kwa sehemu kubwa viongozi wa soka kuanzia ngazi ya vilabu mpaka taifa na zaidi sana washabiki.

Washabiki wa soka waliowengi wana vipato vya kawaida, lakini hunyima na kulipia nauli na viingilio vyao ili tu wakatoe hamasa wakati mchezo unaendelea. Hivyo mini naona wanaomchango mkubwa wa kuelekeza soka liende wapi. Najiuliza tu siku washabiki kwa umoja wakaachana na kushabikia timu fulani, je, hiyo timu bado itaishi??

Waanahabari waandike habari za ukweli wa mambo kwa tafiti za timu za wenzetu waliokua kiasoka. Waoneshe kuwa timu k**a Aston Villa inaweza kumfunga Liverpool magoli mengi ukiachilia mbali utofauti wa utajiri wao kihistoria. Waataditi kwa nini Manchester United, Arsenal n.k. zinajitafuta kuwania ubingwa. Waandike Newcastle United ilikuaje na nini kilitokea. Waoneshe goli tano kuifunga timu yoyote inawezekana na haipaswi kuwa suala la kuzungumziwa muda wote. Waoneshe wazi kuwa ipo siku mpira huu unaweza kukua k**a taratibu zikifuatwa. Waoneshe kuwa ili timu ifanye vizuri haihitaji maombi wala ndumba, bali hata kwa kujiandaa tu n.k.

OKRAH ni Mwananchi pure
31/12/2023

OKRAH ni Mwananchi pure

Wananchi waivurumusha Jamuhuri yao kwa πŸ–οΈ na sasa wote wamepumzika
31/12/2023

Wananchi waivurumusha Jamuhuri yao kwa πŸ–οΈ na sasa wote wamepumzika

Unawamiss nani zaidi kati ya hawa miamba ya wakali wa Jangwani?
26/12/2023

Unawamiss nani zaidi kati ya hawa miamba ya wakali wa Jangwani?

Ali Kamwe anena Mengi.  Juu ya issue ya Chama, Hakuna siri tena.
25/12/2023

Ali Kamwe anena Mengi. Juu ya issue ya Chama, Hakuna siri tena.

Swipe kulia uone muendelezo wa ubabe wa miamba hii,  and  hadi kwenye graphics design. Comment chini tuone nani mwenye g...
25/12/2023

Swipe kulia uone muendelezo wa ubabe wa miamba hii, and hadi kwenye graphics design. Comment chini tuone nani mwenye goli nyingi hapoπŸ˜‚πŸ˜‚

Vikosi, Yanga vs Medeama
20/12/2023

Vikosi, Yanga vs Medeama

Address

Keko
Keko

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kabata+ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kabata+:

Videos

Share

Manchester City punishes all top EPL teams, they have become the solutes to get dissoved into the solvent, Man City of Pep G.

All the best Man City it is your turn let you not hesitate to punish any petite or giant animal in EPL kill and consume and win it look at not its face.