Mkuu wa Wilaya Ya Karatu Mhe. KOLIMBA ametembelea Hospital ya Wilaya
Tazama Muonekano na Maajabu Saloon Ya Kisasa Iliyopo Karatu Mjini. Lavida Barbershop Sasa Rasmi Kuanza kutoa Huduma Zake, Wanapatikana Mkabala Na Manyasini Garden Karatu
Tazama Muonekano Mpya wa Saloon ya kisasa kabisa, @precious_beautysalon22 Chakufanya Kama wewe ni mrembo na unapenda muonekano wako kuwa wa kisasa zaidi Kwa huduma Nzuri kabisa na za kisasa waweza kuwatembelea @precious_beautysalon22 Wanapatikana Karatu Mjini Mkabala Na PANORAMA au wasiliana nao kwa simu namba +255 756 347 799 @precious_beautysalon22 @precious_beautysalon22 Ndiyo suluhisho la Huduma za warembo. Karibu utangaze Biashara yako nasi kwa gharama nafuu WhatsApp +255 673 941 419
Izrael Natse, Karatu Imepata Kiongozi Awack Ni Jembe la Kazi
Follow @pick_point_ Kwa Bidhaa Bora na zenye viwango +255755101376
Salamu za Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Kwanza wa Ngazi za juu wa maendeleo wa kimataifa Beijing - China.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) iliyoketi katika kikao chake cha kawaida leo chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imepokea na kujadili kwa kina taarifa ya makubaliano ya uwekezaji na uendeshaji wa bandari na kuitaka Serikali iongeze kasi ya kutoa elimu kwa Wananchi juu ya uhalisia uliomo katika makubaliano ya uwekezaji na uendeshaji huo wa bandari.
Halmashaur Kuu hiyo pia imeazimia kwamba uwekezaji na undeshaji wa bandari ni kwa manufaa ya uchumi wa nchi na kwamba uwekezaji huo ni utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya CM ya Mwaka 2020 - 2025, ibara ya 59, ukurasa wa 92.
KikO hicho cha NEC, kilitanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi mapema leo.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kauli moja imezipongeza pia Serikali zote mbili za Chama Cha Mapinduzi, Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania chini ya Dkt. Samia na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuendelea kutafsiri kwa vitendo llani ya CM ya Mwaka 2020-2025, kwa maslahi na ustawi wa Watanzania wote.
Bandari Haijauzwa Msipotoshwe Wananchi magige (mb) Akizungumza na wanakijiji Wa Endamarariek Karatu.
Swali La Mhe: Zaytun Swai (MB) Je! Serikali ina mpango gani wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya sifuri hadi mwaka mmoja