Ebony FM - Bodaboda Life

Ebony FM - Bodaboda Life Kipindi kinachohusu usafiri wa bodaboda. Ni uwanja wa madereva na abiria wa usafiri huo.

TOA MAONI YAKO JUMA MOSI HII NINI KIFANYIKE KUDHIBITI WIZI WA BODABODA (PIKIPIKI)KIPINDI : BODABODA LIFE KITUO:EBONY FM ...
21/02/2024

TOA MAONI YAKO JUMA MOSI HII
NINI KIFANYIKE KUDHIBITI WIZI WA BODABODA (PIKIPIKI)

KIPINDI : BODABODA LIFE
KITUO:EBONY FM
MUDA:MASAA 2(11:00 HASUBUHI HADI 01:00 MCHANA )

Ebony FM wiki hii ndani ya Bodaboda life..Kwanini baadh ya watu hawaheshimu kazi ya bodaboda na madereva wa bodaboda..un...
29/09/2022

Ebony FM wiki hii ndani ya Bodaboda life..Kwanini baadh ya watu hawaheshimu kazi ya bodaboda na madereva wa bodaboda..unadhani Kwa Nini..Tupia comment yako chini usikike Ebony FM siku ya jumamosi hii Saa tano hasubuhi Hadi Saba mchana..Kwa mawasiriano ya changamoto zinazo husu bodaboda piga simu 0717511000

Tupia comment yako hapo chini itasomwa ndani ya EBONY FM jumamosi hii...je? Kuna haja ya kupanga umri maarumu wa kuendes...
23/09/2022

Tupia comment yako hapo chini itasomwa ndani ya EBONY FM jumamosi hii...je? Kuna haja ya kupanga umri maarumu wa kuendesha bodaboda Kwa wale wenye umri mdogo

Kwa nini madereva wa bodaboda wanalalamikiwa kuvunja sheria za barabarani..Tupia comment zako hapo chini usikike Ebony F...
14/09/2022

Kwa nini madereva wa bodaboda wanalalamikiwa kuvunja sheria za barabarani..Tupia comment zako hapo chini usikike Ebony FM jumamosi hii Saa tano Hadi Saa Saba mchana.

Bodaboda life jumamosi hii ndani ya Ebony FM.je? Madai ya mabodaboda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wa seko...
30/08/2022

Bodaboda life jumamosi hii ndani ya Ebony FM.je? Madai ya mabodaboda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wa sekondari ni kweli?..Tupia comment yako chini itasikika Kwa kusomwa hapa Ebony FM jumamosi Saa tano hasubuhi Hadi Saa Saba mchana.kwa changamoto zozote za Bodaboda piga simu namba 0717511000..Ebony FM hisi tofauti.

27/08/2022

Bodaboda life ndani ya Ebony FM Leo jumamosi.unafikiri Kwanini abiria wa bodaboda wengi wao hawapendi kufaa kofia yaan element.tupia comment yako itasomwa Leo hii ndani ya bodaboda Life saa tano hasubuhi hii Hadi saa Saba mchana hapa Ebony FM.

24/08/2022

Wadauuuu!!!.. wa bodaboda life Ebony FM..Kama Kawa tuma comment Yako Sasa hapo chini jumamos Saa Tano Hadi Saa Saba itasomwa hapa hapa Ebony FM..tuko pamojaaa..tiririka now..

Address

Iringa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ebony FM - Bodaboda Life posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share