01/01/2025
As Salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakat.
Tunawaalika katika kundi la WhatsApp la Al Aqsa Media Online. Kundi hilo ni la kuchangia shughuli yetu ya Daawah mtandaoni kwa hiyari kwa chochote utakachojaaliwa.
Hivyo iwapo uko tayari unakaribishwa uungane nasi kupitia namba (+255) 0715439740
Kumbuka: Ni Kundi la kuchangia kwa lengo la kutafuta radhi za Allah; siyo Kundi la kupiga soga na upuuzi.
Wajazakumllah Khairan